cv ya bibi arus

cv ya bibi arus

lucresia

Member
Joined
Mar 25, 2011
Posts
15
Reaction score
1
MC katika kumpamba Bi harusi akasema , "sasa nawapa sifa kubwa ya bibi harusi. tangu mi namfaham huwa havai nguo za ndani." watu wakaduwaaaaaaaa...... Akasema "Narudia kwa mcisitizo na sijakosea. Bi harusi huyu havai kabisa nguo za ndani. Yeye ni za kutoka nje Italy,England na USA, hebu msangilieni....." kila mtu akarespond "KHAAAAA"
 
mc mmoja pia nilimsikia akisema ''Huyu bibi harusi hajawahi hata siku moja'' watu wazima wote tukaangalia chini kwa aibu huku wengine wakimkonyeza mc aipotezee lakini yeye ndio akarudia tena na tena kwa msisitizo. Mpaka pale alipomalizia sentensi yake kwa kusema ''Huyu bibi harusi hajawahi hata siku moja.............kumtukana mtu'' ndio tukanyanyua vichwa na kusema ''ahaaaa!''
 
Hakuna kitu kinanikera kama sherehe za haruzi zenye ma mc. Hivi huu utamaduni umetokea wapi?
 
teh teh teh te... mama wee look what u've done sina mbavu mbili sasa.
 
ahahahaaah!! Ma mc wana vituko, kama yule jamaa wa mawingu redio!
 
mmmhh,asante sana mdau kwa vituko vya hawa maMC.
 
Back
Top Bottom