Nnyindojihadini
JF-Expert Member
- Nov 12, 2018
- 643
- 437
Hapo ndipo anaposhindaga TL kamheshimu in terms of age na utangulizi kwenye fani ya sheria lakini kwenye hoja alikalishwa mpaka anataka kupigana
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanataka takwimu tu ...mengine mbwembwe tu
Umeombwa kutoa takwimu wewe unaleta uswahili!Hujanipata kwa hilo njoo chivingine.
Umeombwa kutoa takwimu wewe unaleta uswahili!
Nilichogundua Masilingi Mtutsi
Hata usipotaja jina lako mbele za watu, huna effect yoyote ktk jamii; kwani una nini cha mno?.Mwijage na Masilingi wananifanya nisitaje jina langu kamili mbele za watu kudisclose my tribe aseeh..!!
Nimeangalia video ya Lissu na huyu balozi wetu, kiukweli kama binadamu nilie kamili, nime muonea huruma balozi wetu, ana tia huruma mnoo. so sad maana hata kujieleza kwakwe shida kidogo
Lissu alimjibuje?Nilicheka sana ile interview. Eti lissu wewe ni mdogo angu, lissu alichomjibu aibu niliona mimi[emoji23][emoji23][emoji23]
Ifike mahali watu wamuache lissu kutafuta kuumbuka tu
Kwaiyo sasaivi hamna kitu ila zamani alkua noma hahahahaJua kuwa huyo balozi ni wale vichwa Nyerere alituachia katika dakika zake za mwisho wa uongozi wake. Inasemekana alikuwa mmoja wa mahakimu vijana waliotingisha enzi hizo kwa kutia hatiani vigogo wahalifu walikuo na uwezo wakununua maisha yako.
Alimjibuje asee?[emoji1787][emoji1787][emoji23]Nilicheka sana ile interview. Eti lissu wewe ni mdogo angu, lissu alichomjibu aibu niliona mimi[emoji23][emoji23][emoji23]
Ifike mahali watu wamuache lissu kutafuta kuumbuka tu
Wewe kiazi tulia. Hujui chochoteHata usipotaja jina lako mbele za watu, huna effect yoyote ktk jamii; kwani una nini cha mno?.
Huo ni utumwa wa mawazo
Point yako ni nini haswa?masilingi ni msomi mzuri,ana degree saba,CCM tuna hazina kubwa ya wasomi,mfano profesa kabudi,ana PHD tatu,mwigulu ni mtaalamu wa uchumi africa nzima,professa mkumbo yeye amesoma hadi akarudi chuo kikuu kufundisha degree
Kwani junior na senior unaelewa maana take nini?TL mwenyewe alichachawa na kila wakati akimwita a very senior lawyer in Tanzania which means TL na misifasifa yake yote anakubali ni jr kwa mh Masilingi.
Mkuu kuna mtu ameishaegemea upande mmoja hata kabla ya debate kuanza.Masilingi hakupwaya hata kidogo. Ila zipo hoja ambazo hata ungemuweka Lissu kwenye upande wa balozi angepwaya sababu hazina majibu hadi leo. Kama waziri wa mambo ya ndani hana straight answer vipi balozi? Masilingi ni super genius na bingwa wa sheria, pia uzoefu wake ulimsaidia kumtoa Lissu kwenye angle flani ambazo wengi najua hamkuweza kusoma. Rudieni mahojiano yote muone mjadala uliegemea wapi na kwanini! Yule mzee yuko vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimeona poinnt yake hapo "sisiem wana hazina kubwa ya wasomi"
Naamini kuwa Masilingi alipata Baraka toka juu kwenda kwenye hiyo midaharo ......... kama hakupata, inabidi atumbuliwe. His performance was not acceptable at all ...!!