kichwa mbovu
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 706
- 504
Walitoa ushirikiano wa 1 bilioni na chai?? Azory?CCTv inasubiria wahanga wstoe ushirikiana sio kukimbilia ughaibuni. Ndg wa Dewji wslitoa ushirikiano na majibu chanya yakapatikana.
TL atuambie katika utafiti wake alioufanya na kuaminisha watu amejua simu ya dereva wake iko wapi?
Wakikupa misaada sio mabeberu,wakiwaita watu kuwahoji ukweli mabeberu,ndo maana Afrika hatutaweza kuendelea".....mtangazaji na mgeni mwalikwa wote wako dhidi yako...", umetumia akili nyingi kuliona hilo. Shaka mpaka sasa Uganda huingia kwa kunyemelea kutokana na propaganda zake dhidi ya Afrika kupitia VoA. Msilingi alijikuta katikati ya vibaraka wawili wa mabeberu na shahidi(kiranja)mmoja.
labda wataalamu wa silaha watuambie inachukua muda gani kwa bunduki ilosetiwa kupiga rapid kutoa risasi 38?Hilo swa
Hilo swali la kwanini alipigwa risasi 16 lkn dreva yeye hakupigwa hata moja,.. Hili ni swali zuri wakiulizwa waliokuwa wamepewa kazi ya kumuua LISU.
Lkn jibu linaweza kuwa rahisi sana kwamba TARGET ya wauaji ilikuwa ni Lisu na siyo Dreva.
Sasa kwa maneno haya ya kuhitimisha tunaposema huyu ni mhaini anayeshirikiana na wahaini wenzake mbona mnalalama. Ushahifi gani unahitajika zaidi ya huu? Na bungevlinaendelea kumuongezea fedha za kustop the cat!!!
Hiyo ni nadharia yangu tu. Kama nchi ni lazima tukue kisiasa. "To stop Magufuli" siyo uhaini; it is a ligitimate political activity ambayo kwa katiba yetu ingepaswa kufanyika waziwazi. Sasa madam serikali yetu hairuhusu ndiyo maana watu wenye mapenzi mema wako tayari kusaidia harakati za kisiasa kama vile kutoipatia serikali yetu misaada; kutokopesha fedha kwa miradi yenye ubaguzi wa aina yoyote, kuwaunga mkono wapinzani wa wa kisiasa ambao serikali inawakandamiza isivyo halali, nk. Demokrasia ya vyama vingi inayo misingi yake ambayo ukiikubali kama nchi halafu waziwazi unakiuka mchana kweupe lazima uonekana kituko. Hawasaidii kupindua serikali halali bali kupiga matendo yake yanayokwenda kinyume na uhuru wa kisiasa.
😀😀😀😀😀😀😀 mkuu umenichekesha sana na hii sarcastic post.masilingi ni msomi mzuri,ana degree saba,CCM tuna hazina kubwa ya wasomi,mfano profesa kabudi,ana PHD tatu,mwigulu ni mtaalamu wa uchumi africa nzima,professa mkumbo yeye amesoma hadi akarudi chuo kikuu kufundisha degree
Hapo kwenye nyekundu, fedha za hisani hazifanyiwi kazi kwa namna hiyo. Mpaka sasa kwa upande wa nchi za Ulaya ni Denmark tu ndio wamesimamisha fedha kwenda kwenye bajeti ya serikali. Hata Umoja wa Ulaya hawajasimamisha mpaka sasa, labda baada ya kupitia upya mahusiano yao na serikali ndio watafanya uamuzi huo. Hata hivyo, kwa taratibu za fedha za hisani ya maendeleo haziwezi kupelekwa kumhudumia mtu. Taratibu za fedha za hisani huwa na utaratibu mwingine kabisa ambao huandaliwa baina ya wahisani na nchi nufaishwa, na unawekwa kwenye mkataba.Mimi sijui nani anagharamia safari za TL lakini dunia hii inao watu wema wengi tu. Mbona hujauliza nani amegharamia matibabu yake Nairobi na Belgium? Kwa mfano, hiyo misaada ambayo Mabeberu walitaka kuipatia nchi yetu na sasa wamesimamisha kwanini sehemu ndogo isitumike kumgharimia Lissu ambaye ni mwanasiasa wa upinzania aliyetendewa vibaya kwa sababu ya siasa? Isitoshe Lissu hakuenda kutibiwa Belgium kwa bahati tu. Alikwenda huko kimkakati; makao makuu ya EU. Na Jarida la Economist limepata kuandika "How to save Tanzania: start by stopping Magufuli. How do you stop Magufuli? There are many ways to skin a cat!
yule angalia vizuri hizo clips ni mtu "short temper"Mbaya zaidi kwenye hii interview ya pili, hata kufuata taratibu ndogo tu za midahalo ya kistaarabu hakuweza.
Kupigwa risasi ni ujinga wake kama alivyodhhiirisha tena katika kujiingiza kwenye uhaini kwa juhudi na maarifa.
Alijitahidi. Huwezi kumbeza kirahisirahisi!Kwa CCM, CV doesn't matter at all, na ndio maana huwezi kutofautisha anapoongea mtu kama Kibajaji aliyeishia Darasa na Nne na Profesa X aliyebukua mabuku yote hadi yakawa yanakimbia pindi yakimuona!!
Mkuu " kupigwa risasi ni ujinga wake"...???? Inamaana alikua anajua..??
Alitukanaje, kwa mfano.Balozi Masilingi: Ni muungwana na mwelevu pia ana staha nyingi na mwisho ni diplomat - sasa Lissu hayo yote hana yeye kucharanga ulimi kama amemeza cassette akitapika matusi na uongo - mtu mzima mwenye kuiwakilisha nchi yake hawezi kushindana naye. Lissu anafanya yale yafanywayo na maiti kaburini - huku akisema wataniona wapi (Ebyo omufu akolela a'nyanga ati baliba bambonaa!). Hivyo msilinganishe.
Kuitana Sr lawyer ni kuheshimiana, siyo udogo.TL mwenyewe alichachawa na kila wakati akimwita a very senior lawyer in Tanzania which means TL na misifasifa yake yote anakubali ni jr kwa mh Masilingi.
Kuitana Sr lawyer ni kuheshimiana, siyo udogo.