CV ya Balozi mpya wa Uingereza nchini Tanzania

CV ya Balozi mpya wa Uingereza nchini Tanzania

Conspiracy theories zinasema kwamba high commissions zote za UK na USA waliowahi kufanya kazi China ni majasusi wa kiwango cha juu.
Yaani nchi yenye uchumi mdogo ndiyo inawekewa jasusi aliebobea, hongera Tanzania kwa jinsi unavyoheshimika mabeberu watatuelewa tu.No longer shamba la bibi.Nyambafu kabisa
 
jasusi amekuja kujifunza jinsi gani tumerudisha ligi yetu na namna tunawahandle mashabiki uwanjani
naona atapata mbinu na kwenda kuishauri epl
 
Conspiracy theories zinasema kwamba high commissions zote za UK na USA waliowahi kufanya kazi China ni majasusi wa kiwango cha juu.
Eti wa viwango vya juu! Camillius atakuwa kiwango cha chini mkuu.
 
Sarah cooke alikuwa Jasus, David jasus, wanatafuta nini huku?
1594538365221.png


1594538422841.png


1594538484479.png


UK hawana makando kando walipopata taarifa tu Cooke amegeuka kuwa mwanaharakati wakamlima as soon as possible, maana moto ulianza kufukuta. Na pale alipokutana na Ka- Zito Kabwe ikawa kiama chake.
 


UK hawana makando kando walipopata taarifa tu Cooke amegeuka kuwa mwanaharakati wakamlima as soon as possible, maana moto ulianza kufukuta. Na pale alipokutana na Ka- Zito Kabwe ikawa kiama chake.

Tatizo, baadhi ya hawa watu huwa wanasahau majukumu yao na mkataba wa Viena.

Mkataba wa Viena au Viena:

The Vienna Convention on Diplomatic Relations of 1961 is an international treaty that defines a framework for diplomatic relations between independent countries.

It specifies the privileges of a diplomatic mission that enable diplomats to perform their function without fear of coercion or harassment by the host country.
 
Naona Sara kapeleka taarifa sahihi pamoja na yule wa america. Kifuatacho ni yale yote mtakayoyafanya hapa wakati wa Uchaguzi yatasababisha watu kulala nje.
Endelea kuota ndoto ukiamka asubuhi njoo utuambie.
 
Mr David Concar

​
Mr David Concar has been appointed British High Commissioner to the United Republic of Tanzania in succession to Ms Sarah Cooke who will be transferring to another Diplomatic Service appointment. Mr Concar will take up his appointment during August 2020.

CURRICULUM VITAE
Full name: David William Concar

Married to: Caroline Virginia North

Children: Three

2020FCO, Director, Protocol
2016 to 2019Mogadishu, Her Majesty’s Ambassador
2014 to 2016FCO, Head, International Organisations Department and Commonwealth Envoy
2012 to 2014FCO, Head, Climate Change and Energy Department
2011 to 2012Beijing, Counsellor – Prosperity
2009 to 2010Beijing, Counsellor – Climate Change and Energy
2006 to 2008Beijing, Counsellor – Science and Innovation
2004 to 2006Beijing, First Secretary – Science and Innovation
2004Joined FCO
1996 to 2004Deputy Editor, New Scientist magazine

Credit: Change of British High Commissioner to Tanzania: August 2020
Beberu kabisaaa
 
Atakuja atafanya anachopaswa kufanya kisheria muda ukiwadia ataondoka. Akizingua tunamlaza na viatu. Mazee hii ni nchi ya ma survivor fitna za magharibi na ujasusi wao tunadeal nao toka nchi ilivotangazwa kuwa ya kijamaa na wakombozi wa nchi za kusini so hamna jipya watakalokuja nalo tusiloweza kuhandle.
 
Kingine kilichomponza kuku oops Cooke hiki hapa:


​
 
M16 huyu tena alitokea SAS .we dare wings noma sana ni jasus haswa maana match zake amezipigia sana china na thibitisha
M16 huyu tena alitokea SAS .we dare wings noma sana ni jasus haswa maana match zake amezipigia sana china na PRK

M16 huyu tena alitokea SAS .we dare wings noma sana ni jasus haswa maana match zake amezipigia sana china na PRK
THIBITISHA
 
Balozi aliyeondoka amechafuliwa kwa kufanya kikao na Zito Kabwe kinyume na zinavyotaka sheria za ushirikiano kimataifa

Mbele ya Magufuli kila goti litapigwa
Sasa hivi yeye ndio anapiga magoti na sio goti.
 
Back
Top Bottom