Cv Rorya MP ( Lakairo)

Kaa la Moto

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
7,903
1,053
Sasa basi kama elimu si muhimu kwa nini ccm walipendekeza elimu ya mgombea uraisi iwe ni angalau undergraduate?? si wangeacha raisi akawa wa std 7?

Angalia na huyu? miswada hii inayoletwa kwa kiingereza anaambulia kitu?

Yaani hata ccm kwenyewe hajatumika chochote mbali na ukamanda wa vijana wa ccm ambao kwa wanaojua hutolewa kwa wafanyabiashara ili wapate ufadhili!

[h=2]Member of Parliament CV[/h]
GENERAL
SalutationHonourableMember picture
1666.jpg
First Name: Lameck
Middle Name: Airo
Last Name:Okambo
Member Type:Constituency Member
Constituent: Rorya
Political Party: CCM
Office Location: Box 594, Mwanza
Office Phone: +255 784 444305/+255 684 005000/+255 777 444305
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: lokambo@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 28 October 1966
EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
Nyanduga Primary SchoolPrimary Education19751981PRIMARY
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From DateTo Date
The Parliament of TanzaniaMember - Rorya Constituency20102015
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location Position FromTo
Chama Cha Mapinduzi, CCMUVCCM - Commander (Councillor)1994
 
yan huyu bwana hakika pesa ni kitu kingine nikimkumbuka alivyokuwa anasoma magendo kutoka kenya kuja mwanza hv leo ni mbunge hakika ccm ni kiboko
 
The fact kuwa ameweza kuanzisha na kuisimamia Lakairo Company ambayo inamilii biashara mbai mbali ikiwemo Lakairo Hotel ni uthibitisho kuwa elimu aliyonayo inamtosha kuendesha maisha, kani hao akina Lowassa, Chenge na Dr Idrissa waliokuwa na shahada za vyuo vikuu wametufanyia nini cha ziada kama sio ufisadi tuu. Mimi naon haya ni majungu tuu.
 
Alianza kwa wizi na ujambazi wa kila aina ukiwemo wizi wa kutumia funguo bandia kwenye mahoteli, guests,... na bado ni mfadhili mkubwa wa mambo haya kama lile jamaa la AM Investments toka Kilimanjaro.
 
Kuna jamaa alitoa hapa JF quote ningeomba kama ananisoma airudie ili inikae vizuri kichwani na pia nimfahamu aliyeitoa. Lakini ilikuwa inakwenda kama hivi.

"THE PROBLEM OF THIS WORD IS THAT THE EDUCATED ARE FULL OF DOUBT BUT THE FOOLISH ARE FULL OF CONFINDENCY"

Ukiisoma hiyo quote between the lines, ndiyo utafahamu kwanini watu kama akina Maji Marefu ni MP na Ma-professor wamebaki kuwalamba miguu akina Maji Marefu wawafikilie japo kuwaongezea posho ya kufundishia.

Huyu Lameck Kairo alimpiga chini kwenye nomination Prof. Sarungi, japo Sarungi ndiye aliyempatia UTAJIRI huu alionao wakati alimpompatia tender ya ku supply combats na boots kwa JWTZ, wakati huo Sarungi akiwa waziri wa Ulinzi enzi za mzee ruksa. Ndiyo mwanzo wa Lameck kuacha biashara ya Magendo kutoka Kenya na Ujambazi.
 
Watanabe, hujamwelewa mtoa uzi, anasemaaa, "Angalia na huyu? miswada hii inayoletwa kwa kiingereza anaambulia kitu?" hiyo ndio issue kubwa kaka/dada, kuna vitu vimepitishwa huko kwenye bunge hili la bi Kiroboto hadi vinatia kichefu chefu, issue ya Katiba, mswaada ya mafao ya uzeeni, wote tumeona na tunaona kinacho/kilicho endelea baada ya miswada hiyo kupita Bungeni.

The fact kuwa ameweza kuanzisha na kuisimamia Lakairo Company ambayo inamilii biashara mbai mbali ikiwemo Lakairo Hotel ni uthibitisho kuwa elimu aliyonayo inamtosha kuendesha maisha, kani hao akina Lowassa, Chenge na Dr Idrissa waliokuwa na shahada za vyuo vikuu wametufanyia nini cha ziada kama sio ufisadi tuu. Mimi naon haya ni majungu tuu.
 
Huyo ndie mh Lamek Airo,one of the tycoons in mwanza.shule hana,pesa tele.watu kama hawa ndio wazee wa ndioooooo.
 
yaani huyu hana sifa ya kuwa mbunge kabisa,kutokana na sifa ile ya ,,
AWE ANAJUA KUSOMA NA KUANDIKA KISWAHILI NA KIINGEREZA.
Sasa hapo kwenye English Language mmh?¿Itabidi kuwe na test ya English kwa wabunge wetu.
 
"Awe anajua kusoma na kuandika Kiswahili AU Kiingereza" Yeye ali opt kwa Kiswahili na akapita vihunzi vyote lakini sasa ameligawa jimbo letu na kuna maeneo mengine haruhusiwi kukanyaga! Mwisho wa Ubunge wake ni 2015
 
Kuna jamaa alitoa hapa JF quote ningeomba kama ananisoma airudie ili inikae vizuri kichwani na pia nimfahamu aliyeitoa. Lakini ilikuwa inakwenda kama hivi.

"THE PROBLEM OF THIS WORD IS THAT THE EDUCATED ARE FULL OF DOUBT BUT THE FOOLISH ARE FULL OF CONFINDENCY"

Ukiisoma hiyo quote between the lines, ndiyo utafahamu kwanini watu kama akina Maji Marefu ni MP na Ma-professor wamebaki kuwalamba miguu akina Maji Marefu wawafikilie japo kuwaongezea posho ya kufundishia.

Huyu Lameck Kairo alimpiga chini kwenye nomination Prof. Sarungi, japo Sarungi ndiye aliyempatia UTAJIRI huu alionao wakati alimpompatia tender ya ku supply combats na boots kwa JWTZ, wakati huo Sarungi akiwa waziri wa Ulinzi enzi za mzee ruksa. Ndiyo mwanzo wa Lameck kuacha biashara ya Magendo kutoka Kenya na Ujambazi.

Siyo Professor Sarungi pekee Lameck Airo alivunja rekodi kwa kuwabwaga chini maprofessor wawili yaani Prof. Sarungi na Prof. mwingine toka chuo cha uhasibu Arusha. Nadhani na yeye anahitaji kuitwa Dr. Airo wa hekshima kama wenzake wa CCM kwa kuwabwaga chini watu waliobobea kwenye fani zao
 
Katika uongozi kinachotakiwa ni mtu mwenye hekima,mchapakazi na anaemwogopa Mungu na si lazima awe graduate.Ufisadi kwenye mabenki,wanaoingia mikataba michafu ya madini na wazungu kuifilisi nchi na tenda hewa za serikali si zinafanywa na hao hao mnaowaita wasomi.
 
Siyo Professor Sarungi pekee Lameck Airo alivunja rekodi kwa kuwabwaga chini maprofessor wawili yaani Prof. Sarungi na Prof. mwingine toka chuo cha uhasibu Arusha. Nadhani na yeye anahitaji kuitwa Dr. Airo wa hekshima kama wenzake wa CCM kwa kuwabwaga chini watu waliobobea kwenye fani zao

Kusoma sana si kuongoza.
 
Back
Top Bottom