Cuthbert Swai ndani ya mtego wa Lema na Mbowe

Nimeandika uzi huu VIDEO YA CCTV CAMERA IKIMUONYESHA MKUU WA WILAYA YA HAI AKITESA MTU NA WATU WAKE
Mods wakafuta nimeona bora niandike huu
 
Nilivyoona umesema kuwa umekua ndani ya chama cha chadema kwa miaka mingi sana..nikajua tu hapa hamna kitu
 
Zile video zinakutia uchizi? Yaani huyo sabaya wako ni mwizi mjinga! Unavamia eneo bila kuwa na ramani na kujiridhisha Kama hakuna macho ya kizungu ( CCTV camera)? Wa kale wakisema; " siku za mwizi ni 40"! Arobaini yake imefika leo.
Anadhani madame President hakuona zile picha za kumvamia Mbowe nyumbani kwake na silaha nzito huku akimjeruhi mlinzi wake kwa risasi? Mama aliona, alisikia na alikasirika kwa aina Ile ya uvamizi hata Kama akitaka ccm ishinde! Kwa Sasa Hana jinsi zaidi ya kumpumzisha ili wengine waliokasimiwa madaraka watende kwa uadilifu na busara na siyo nguvu Tena za silaha!
Najiuliza, Mbowe angekuwa na silaha Kisha akaamua kujihami no kitu gani kingetokea?
 
🙏🙏🙏🙏

ExFdpBBWgAgHCrO.jpg
index.jpg

Dunia MVIRINGO
 
..katika aya ya kwanza muandishi anajitambulisha kama mwanachama wa cdm kwa kusema ameshiriki ktk kukijenga chama hicho.

..katika aya ya mwisho muandishi anafunga kwa kusema yeye ni kada mtiifu wa ccm na atakilinda chama chake.

..sasa nadhani tunahitaji ufafanuzi ktk vipengele hivyo viwili.
 
🤣🤣🤣
Mara niitwe Sabaya mara Mchengerwa mimi huyu
Hata mwanamke aliyeachika huwa na Tania ya kumsema mmewe vibaya! Na kisasi unachompachika Mbowe wewe unacho pia Tena kilichopitiliza! Na Kama kweli ulishiriki kutekeleza uovu unaodai mliufanya mkiwa CDM Basi jiandae kwa mashitaka na jela utaenda ikithibitika ulishiriki uhalifu!
Ndio maana nikakuita mwizi mjinga usiyejua taaluma ya wizi! Yaani unashiriki, unatenda na kuulinda au kulinda taarifa za uhalifu huku ukijua ni kosa la jinsi Kisha unakuja hapa kujitapisha! Yaani wale polisi ninaowajua Mimi watapita na wewe na kukuweka sehemu salama na hivi mama hapendi ujinga!
 
Kikubwa dua🙏🙏🙏

Haraka ya kuandika kajisahau.......
 
Kwenye Ile CCtV ameonekana kwenda kugeuza camera isichukue tukio alilokusudia kufanya. Kama Nia yake ilikua njema kwa Nini aogope camera?

Nia ovu ya mtu huonekana anavyoshughulikia Mambo yake.
Huyu tumempatia ulinzi, gari, Ofisi, na mshahara anakuja kuwatendea vibaya wannachi. Kwenye Ile video ya Arusha Wala hata sio eneo lake la kazi, yeye sio takukuru, Wala polisi, walaTRA, Wala special force lakini alitesa raia kuumiza na kupora pesa na Mali zingine.

Mh. Rais Hawa ndio viongozi wasio waadilifu. Ufisadi inaonekana kwenye report ni kwa sababu ya viongozi Kama Hawa, FUKUZA WOTE.
 
Kunahitajika akili kuelewa acha kwanza nijibu tuhuma

Back
Top Bottom