🤔🤔🤔 Nawaza tuMara umeanza kujinasibu wewe ni chadema uliyeshiriki oparesheni na kukijenga chama, mwisho umegeuka na kujiita kada mtiifu wa ccm (kinyonga).
Maelezo meeengi kona kona kibao, sawa basi hatuamini ya Swai sisi tuko makini na zile CCTV footage na kike kiburi dhidi ya mama Anna nazo una lipi la kuzisemea!?
Msali sana... maana kwa wiki hizi mbili, mama kaonyesha wababe hawatakwenda Kaanani.kikubwa uzima na Dua mkuu 🙏🙏🙏
ndio maana ck ile msibani alilia sana coz alijua nguzo yake imekwendaSambaya ni muhuni na ni jambazi kwa masilahi ya jiwe hana lolote zama zake zimeisha,hafai kuwa kiongozi
Mi huwa sijali aliyetumwa ni Malaika au shetani, ujumbe tu unatosha. Thibitisheni ujumbe huu. Ni kweli hiyo hapo juu au hapana? Kama ni kweli nazidi kulaani kwamba ndo maana CHADEMA haitafika mbali kwenye nchi ya makabila 120. Tutaendelea baadaye.CUTHBERT SWAI NDANI YA MTEGO WA LEMA NA MBOWE
.......................Mbowe, Cuthbert na Lema hawa wote ni Wachaga wa Machame wameungana kupambana na kijana wa Kimasai Lengai Ole Sabaya.