nimeipenda hii
na mi nakupenda
na mi nakupenda
Nakupenda pia
mtatongozana utani utani huu. Shauri yenu mie simo
akiniipenda nafanya kweli
nina miaka saba sijafanya nadhani zitajaa fanta
Uwiiii kumbe anafanya kutongoza mi namwitikia tu hahaaaa Elli nimeacha huyu asije nitafutia balaa
Woow! Nice
Hahahahahaaaaa Mpwa ulidhani kutongozwa ni hadi aseme kaa sawa sasa nakutongoza! Mtu mwenyewe ashasema ana chupa nzima ya fanta, shauri yako. Ila sijasema umkatae