Customs(tra) kunani jamani

sakata

New Member
Sep 17, 2010
1
0
Its really frustrating jamani,sekta muhimu kama TRA bado wanazembea kazi,hii inaonekana wazi kwenye maswala ya clearing and fowarding.Inasikitisha sana jinsi mafaili ya wateja yanavyochelewa,unapeleka documents,baada ya siku tatu ndo inafanyiwa kazi,kila mara,system down! kwa hali hii tutafika kweli? Mamlaka ya mapato ndo sekta mabayo inafaa kuwa na teknelojia ya juu kupitiliza,ni sekta ambayo inaitaji ufanyaji kazi masaa 24 na wafanyakazi wenye professional zao! Tunaitaji marekebisho jamani lasivyo wawekezaji hatutawaona! Wadau mnasemaje?
 
Back
Top Bottom