Customer Care wa TTCL una nyodo sana jirekebishe

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,233
Wakuu hawa walioliangamiza Shirika bado wapo TTCL inajiribu kujivuta irudi katika Soko Bado Wanakwamisha tena.

Nilinunua line ya TTCL tarehe 26/4/2017 sasa ilikua ina Ofa Kufikia Tarehe Moja nikawa nashindwa Ku access internet lakini nikiangalia Salio la Internet zikawa zimebakia 658MB huku nikiwa nimepata SMS Kua Bando langu lita expire tarehe 3.

Sasa nikaona tatizo nikampigia Simu Customer care huyu wa kiume halafu sijui yuko mmoja tuu inawezekana kwani hawana hata Wateja 400,000 kwa sasa nimempigia ana nyodo sana kuliko wana wake wengi katika Huduma za Customer care ananiambia Mimi kwenye system naona Bando lime expire tarehe Moja na Mimi namwambia mbona Nikiangalia Salio inaniambia Nina 658MB na Nimetumiwa SMS Kua litaexpire tarehe tatu Jamaa akaniambia ""basi tumia hiyo system uliyonayo wewe hapo kwenu Mimi nimeshakwambia hutaki Kuelewa"" Alisema kwa Ukali.

Nikasema isiwe Kesi ila naomba mjirekebishe na kama haufiti ni vema tuu ukaachia nafasi wengine hawajui hata masuala ya Kitaalam kuhusu internet halafu anakujibu Customer care unamwambia Internet yenu inasumbua anakuuliza Simu yako Ulishawahi kuiunganisha na Huduma ya Internet? This is nonsense.
 
Sasa kwanini usipeleke hayo malalamiko yako pale Lumumba wanaokupa bando la kutukana upinzani humu? Tena huyo mhudumu angetakiwa akutukane matusi ya nguoni kabisa
 
Wakuu hawa walioliangamiza Shirika bado wapo TTCL inajiribu kujivuta irudi katika Soko Bado Wanakwamisha tena.

Nilinunua line ya TTCL tarehe 26/4/2017 sasa ilikua ina Ofa Kufikia Tarehe Moja nikawa nashindwa Ku access internet lakini nikiangalia Salio la Internet zikawa zimebakia 658MB huku nikiwa nimepata SMS Kua Bando langu lita expire tarehe 3.

Sasa nikaona tatizo nikampigia Simu Customer care huyu wa kiume halafu sijui yuko mmoja tuu inawezekana kwani hawana hata Wateja 400,000 kwa sasa nimempigia ana nyodo sana kuliko wana wake wengi katika Huduma za Customer care ananiambia Mimi kwenye system naona Bando lime expire tarehe Moja na Mimi namwambia mbona Nikiangalia Salio inaniambia Nina 658MB na Nimetumiwa SMS Kua litaexpire tarehe tatu Jamaa akaniambia ""basi tumia hiyo system uliyonayo wewe hapo kwenu Mimi nimeshakwambia hutaki Kuelewa"" Alisema kwa Ukali.

Nikasema isiwe Kesi ila naomba mjirekebishe na kama haufiti ni vema tuu ukaachia nafasi wengine hawajui hata masuala ya Kitaalam kuhusu internet halafu anakujibu Customer care unamwambia Internet yenu inasumbua anakuuliza Simu yako Ulishawahi kuiunganisha na Huduma ya Internet? This is nonsense.
Pole sana
 
Back
Top Bottom