cursor inanizingua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

cursor inanizingua

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Adolph, Dec 26, 2011.

 1. Adolph

  Adolph JF-Expert Member

  #1
  Dec 26, 2011
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 870
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  nikiamini kama hapa ndo kisima cha maarifa nimeona nilete tatizo langu natumai nitapata jibu...nina computer yangu cursor inapotea..mwanzo nilidhani ni matatizo ya mouce...nikabadili mouce hali ado ikawa pale pale...unatumia vizuri baada ya muda cursor haifanyi kazi..nikaona isiwe tabu labda ni kirusi kimeingia..nimeiformat computer.daah tatizo bado lipo pale pale..naombeni msaada wen wanajamvi tatizo la cursor kutokufanya kazi ni nn?
   
 2. Mwazange

  Mwazange JF-Expert Member

  #2
  Dec 27, 2011
  Joined: Nov 16, 2007
  Messages: 1,051
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Tolea maelezo zaidi mkuu. Mashine ya aina gani? inatumia OS ya aina gani? mapafu yake saizi gani na mambo kama hayo, ili mtu akitaka kukusaidia kung'amua tatizo lako, anakuwa na kaufahamu fulani anadili na nini.
   
 3. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #3
  Dec 27, 2011
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Duh! hilo tatizo la ukweli unatumia antivirus?
   
Loading...