johnmweusi
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 201
- 268
wakuu naombeni msaada maana kwa muda wa wiki nzima sasa computer yangu inanisumbua, nikiwa naichaji cursor inapotea mpaka nitoe charger ndio naweza kuitumia, sasa naomba kujua tatizo linaweza kuwa ni nini? na suluhisho lake ni nini? natanguliza shukrani.