Curriculum Vitae kwa kiswahili ni nini?

Naam, uko sawa kabisa.

CV ni 'muhtasari (ufupisho wa maelezo) wa elimu, ujuzi, maarifa, na tajiriba ya/za kazi'.

Sawa mkuu, kwa hiyo kama heading, tutanaweza kufupisha kwa kusema kuwa ni "Maelezo/Taarifa Binafsi"?
 
CV ni Curriculum Vitae, literally "Maisha ya Mitaala/Usomi". Strictly speaking it should be more about academic achievement than career achievements/ history, this is why in the US "Curriculum Vitae" is used in academic settings and "resume" is what is known as "Curriculum Vitae" in Tanzania.

It is common to see University professors and Ph.D aspirants refer to their printed record of academic achievement as "Curriculum Vitae", while jobseekers without an extensive record in academia would refer to their job history as "resume".

See

The Difference Between a Curriculum Vitae (CV) and a Resume

Ahsante mkuu ila bado umenizamisha kwenye hiyo lugha ya watu....

Nasubiri msaada wako ili niweke haya mambo kwenye kimatumbi chetu...
 
Ahsante sana Mkuu EMT,

Hiyo ya maelezo binafsi nakubaliana nayo kwa kiwango kikubwa.

Ila nilipata tatizo nyingine wakati naweka vichwa vidogo vidogo (sub-heading) ambapo nilitaka kuwa na,
A) Personal particulars or biodata (hii ni sahii kwa kusema ni "taarifa binafsi"??)
B) Academic details (Elimu/taaluma)
C) Professional experience (Uzoefu wa Kazi)
D) Other information (Taarifa nyinginezo)
E) Referees (Wadhamini).

Naomba michango yenu kuhusu hili,

Mkuu nafikiri upo sawa.

Atakayesoma hiyo CV na kutoelewa hizo sub-headings then atakuwa ana sababu nyingine.

Hiyo CV ni educational qualifications, work experience or skills based?
 
Ahsante sana Mkuu EMT,

Hiyo ya maelezo binafsi nakubaliana nayo kwa kiwango kikubwa.

Ila nilipata tatizo nyingine wakati naweka vichwa vidogo vidogo (sub-heading) ambapo nilitaka kuwa na,
A) Personal particulars or biodata (hii ni sahii kwa kusema ni "taarifa binafsi"??)
B) Academic details (Elimu/taaluma)
C) Professional experience (Uzoefu wa Kazi)
D) Other information (Taarifa nyinginezo)
E) Referees (Wadhamini).

Naomba michango yenu kuhusu hili,

A) Personal particulars or biodata (hii ni sahii kwa kusema ni "taarifa binafsi"??)

Hivi bongo bado kuna habari za kuandika "Marital Status"? That's some quaint shyt right there, ground for unfair discrimination.

Mtu anaomba kazi kuwa Engineer marital status ya nini?
 
Huku Bongo kuna waajiri wanatoa gharama za kusafirisha waajiriwa wao kutoka kwao hadi vituo vyao vya kazi. Pia baadhi ya ofisi zinatoa huduma ya tiba kwa mwajiriwa na wategemezi wake. Kwa hiyo sioni kama ni vibaya kujua taarifa kama hizo.

Pia kuna maeneo ya mikoani kama hapa Tanga, ukiajiri binti ambaye hajaolewa, ujiandae kwamba akishaolewa atahamia kwa mume na hasa hasa kama mume yuko Dar es salaam. Pia kama ni mwanamke kaolewa na mume yuko Dar, huyo akiajiriwa mikoani mara nyingi anakuwa njia moja (on transit).

Kwa hiyo, taarifa binafsi zinamsaidia mtoa ajira kujipanga.....
 
What's next? Umpe muajiri bank statement kama sehemu ya taarifa binafsi ili zimsaidie kujipanga?

Kwa hiyo umuambie muajiri nina mke na watoto saba upfront ili aache kukuchagua kwa sababu gharama za kukusafirisha/ kukukatia bima na familia ni kubwa zaidi ya za mtu ambaye hana mke? Unaona hapa habari za "marital status" kazini zinavyokuwa zinaleta mwanya wa discrimination?

What's next? Uweke dini nayo?

Unatoa marital status kwenye kazi kwani unaenda kuoa huko?
 
Mkuu watu wanatofautiana mitazamo hata kama kwa kufanya hivyo kunasababisha unyanyapaa na ubaguzi.

Binafsi kama nataka kuajiri mtu kwenye kampuni yangu nitapenda kujua taarifa hizo.
 
  • Thanks
Reactions: HT
Mkuu watu wanatofautiana mitazamo hata kama kwa kufanya hivyo kunasababisha unyanyapaa na ubaguzi.

Binafsi kama nataka kuajiri mtu kwenye kampuni yangu nitapenda kujua taarifa hizo.

Sishangai, habari nzima ya faragha ni jambo geni bongo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom