Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
Tabata maeneo gani nikujoin lolcurrent location:
this hour somewhere in tabata,dar city.
![]()
Tabata maeneo gani nikujoin lolcurrent location:
this hour somewhere in tabata,dar city.
![]()
Wengine watatuma za uongokama watu hawataingiza porojo za kisiasa, mapenzi au udini,thread hii itakuwa nzuri sana.
hapa ni kutupia picha tu ya eneo au madhari ulipo na kusepa.hapahitaji story nyingi.
nimeliona hilo...tayari zipo picha za uongo zimeshatumwa...ila sio kesi,za ukweli zitajulikana tu.Wengine watatuma za uongo
wapi huko ambako jua linawaka mpaka mda huu?....bila shaka itakuwa ni ughaibuni.

No ilikua jion before sijaona hii threadwapi huko ambako jua linawaka mpaka mda huu?....bila shaka itakuwa na ughaibuni.![]()
![]()
Mkuu hizi bia anakununulia yule rafiki yako muhaya?current location:
this hour somewhere at tabata,dar city.
![]()
hapana....najinunulia mwenyewe mkuu.