kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,755
This place looks so beautiful....wapi hii?.karibun![]()
This place looks so beautiful....wapi hii?.karibun![]()
Mkuu nilikuwa kwetu Kwamtogole mbona
Uliipenda Chinese meal?Hahaha, baada ya kuiona thread yako ya chinese food nikaona bora nipite hayo maeneo ili kujionea
Kuna jipya gani hapo Mkuu?View attachment 574249
kwa mpemba darajani ccm Mwanza
Misosi si unaona chicken tanduru,mishikaki
Tanduru ndo nini Mkuu?Misosi si unaona chicken tanduru,mishikaki
Kuku inapakwa viungo inakuwa na ladha flan hivii ,,,sijui kuelezeaa
Ahaaaa!! Kwa Dsm nahisi wanasema ni Kuku changamoto pale mitaa ya kinyereziKuku inapakwa viungo inakuwa na ladha flan hivii ,,,sijui kuelezeaa
NadhaniiAhaaaa!! Kwa Dsm nahisi wanasema ni Kuku changamoto pale mitaa ya kinyerezi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana
Tosamaganga kwa masista pale mkuu?