senetor, umenena mtandao wa Chadema hapa JF mpana inabidi tufanye kazi ya zaida kuubomoa. Kesho tusubiri uzinduzi rasmi wa chadema utaona posts zikimiminika kama mvua na ole wako uzipinge utashambuliwa kama nyigu.
acha bange .... umesahau ya ccm? - Unakumbuka NEC na CC za ccm zilivyokuwa na habari live hapa? Hii JF is more CCM than chadema. Umeisikia toka kwangu hapa right now.
ndagafijo
--------------------------------------------------------------------------------
Join Date Fri Aug 2010
Posts 1
Thanks : 0Thanked 0 Times in 0 PostsRep Power 0
Karibu kwenye Jamvi
Pole sana ungejuwa msimamo wangu wala usinge kurupuka kuyasema hayo yote... pole sana kijana!
Fanya utafiti kwanza kabla ya kutuma posts zisizokuwa na data. Hapa JF chadema ndiyo mshindi.
Hivi unanielewa lakini au unakurupuka tu na jazba zako? Hivi unaweza kuleta ushahidi wa kawaida yangu?Kulikuwa hakuna swali hapo. Ilikuwa statement yenye alama ya kuuliza mwishoni (kinafiki kama kawaida yako).
Kama kuna swali liulize na usikurupuke kutoa mapovu mkuu
Ijumaa ndo jumapili kwa wanaCUF
Duni haji anasema ahadi anazoweka JK ni kama za Abunuwasi mana ni kama ndoto za mchana..mana zinategeme wamarekani watoe msaada.Ameorodhesha ahadi zote za JK alizotoa 2005 ..watapita kila mkoa kuuliza kama zimetekelezwa!!
Hivi unanielewa lakini au unakurupuka tu na jazba zako? Hivi unaweza kuleta ushahidi wa kawaida yangu?
Uzinduzi umekwenda vyema sana..police wametoa ushirikiano na kulikuwa hakuna matatizo...tusubirie ngoma ya Chadema..najua watakuwa wamejipanga vyakutosha kuzungumzia mafisadi..ila leo CUF wasemaji wake wote hawajagusia ufisadi kivile zaidi ya kusema ukiwa masikini ni rahisi kutawalika ,..ni vigumu sana kumwongoza na kumtawala mtu mwenye fedha
Hivi unanielewa lakini au unakurupuka tu na jazba zako? Hivi unaweza kuleta ushahidi wa kawaida yangu?
kwani Chadema ni chama cha kidini au cha kikabila?Kwani wana tofauti gani na Chadema...!?
Siku ya Ijumaa ama kweli CUF Kiboko
Prof ameomba hilo waweke mdahalo wa kujadiliana kuhusu sera na kujenga hoja za kuinua maisha ya mtanzania.Ameongelea sera zao kwa ufupi jinsi yakubadilisha maisha ya mtanzania maskini.NI vema CUF ikazungumzia sera na nini itafanya endapo itaingia madarakani badala ya nini hakikutekelezwa na Kikwete.
Mkuu Rev sasa unazidi kwani Ijumaa si siku kama siku zengine? Mbona Chadema wanazindua kampeni Jumamosi? Au udini ni tatizo!!!
Fikra mgando badala ya kufikiria kujenga hoja wewe unawazia kubomoa mtandao mtakaliaga hayo hayo milele.senetor, umenena mtandao wa Chadema hapa JF mpana inabidi tufanye kazi ya zaida kuubomoa. Kesho tusubiri uzinduzi rasmi wa chadema utaona posts zikimiminika kama mvua na ole wako uzipinge utashambuliwa kama nyigu.
kwani Chadema ni chama cha kidini au cha kikabila?