CUF wasema Bai Bai UKAWA wajiunga na CCM

CUF wasema Bai Bai UKAWA wajiunga na CCM

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024
[h=3]Mgombea Urais CCM Dk.John Magufuli akipokea kadi za wanachama wa CUF baada ya kujiunga na CCM Tunduru[/h]




 
duh mbona wachache sana ukilinganisha na waloingia ukawa
 
united we stand divide we fall
 
Muona njia

vijana ccm ; azee ukawa
 
Hapo hakuna mwenye kura hata mmoja. Sijui kwanini ivo. Picha ya kwanza ni vijana wa kihuni tu na nina hofu kama ni kadi za ukweli hizo
 
Duh! mbona huyo mmoja anaficha uso ama ana mpango wa kurudi CUF nini?
 
Wanaccm mmewapa kadi za CUF halafu mnasema ni wana cuf wanajiunga na CCM kenge nyie
 
Kuna mmoja kajifunika kitambaa usoni, kwanini! halafu vijana wa kihuni tu! Lol hii no!
 
Duh! hiz comedy za ccm mwaka huu niacheni nicheke2, hahahaaaa!
 
Dr Slaa hajarudisha kadi, wao wamerudisha kwa maana wanauchungu kuliko dr Slaa.
 
Kuhama chama ni jambo ni jambo jingine lakini kupigia kura Ukawa ni muhimu sana
 
CCM wanapenda kampeni za maigizo.
Hapo akimaliza kupokea hizi kadi feki anapanda shilole kukata viuno. Akimaliza magufuli anaimba alimselema na kufunga mkutano.
Endelea kufuata mkumbo na kujiliwaza. Watu wanaingia CCM kila sekunde.
 
Back
Top Bottom