CUF wakanusha taarifa za kifo cha Maalim Seif

Si afe tu,kwani atakua wa kwanza kufa,mbona kipenzi chetu nyerere kafa na watu tuko kimya?

Ni kweli kufa ni haki ya kila mwanadamu, akifa ndio kafa huyo. Lakini Nyerere ni kipenzi chako na familia yako na wengine kama wewe. Sio kipenzi wa kila Mtanzania. Kama ulilia na kusikitika kwa kifo chake basi ni wewe peke yako. Wengine hata hatukusikitika
 
Watu mnaochangia kwenye nyuzi kuweni na ueledi. Haiwezekani mnajadili vifo vya watu kwa urahisi kiasi hicho. Pamoja na ukweli kwamba kifo hakiepukiki lakini hakuna binaadamu mwenye mamlaka nacho. Ni mmoja tu anayeweza kutoa au kutwaa. Sasa kwa nini ushabikie jambo ambalo huna uwezo nalo? Ni sawa na kujaribu kujishibisha Upepo!
 
Yote sawa lakini sasa akumbuke maadui wake wamezidi ubaya..
Anatakiwa kuchukua hadhari kubwa hasa huko kwenye vikao kuhakikisha hanywi na kula chochote...bora afunge au ende na maji yake
 
Zanzibar ni nchi kama mnavyoimba kila siku. Yamalizeni wenyewe ya nchi yenu.
Wanayamalizaje wenyewe ikiwa wapo Wa-bara wanaoingilia ya-kwao (Wazanzibar)
Ilhali wana sauti na nguvu, Kwa Rungu LA muungano??

Yawezekana huoni,Kusikia nako?
Au na wewe ni walewale?
 
quote_icon.png
By Gagnija

Teh teh teh!...
 
Lazima kuna something behind that issue, HAIWEZEKANI TAARIFA ZISAMBAE TANGU JANA NA MWENYEWE MAALIM SEIF HAJAJITOKEZA HADHARANI KUKANUSHA TAARIFA HIZO.
 
Wanayamalizaje wenyewe ikiwa wapo Wa-bara wanaoingilia ya-kwao (Wazanzibar)
Ilhali wana sauti na nguvu, Kwa Rungu LA muungano??

Yawezekana huoni,Kusikia nako?
Au na wewe ni walewale?
Masuala ya uchaguzi Zanzibar yapo chini ya ZEC, chombo ambacho hakipo chini ya muungano na Magufuli hana mamlaka nacho. Narudia tena, ni mambo yao na wayamalize wenyewe. Sisi kwetu tumetimiza wajibu wa kulikata fisadi na kazi inaendelea.

Jaribu kutumia kilicho kichwani mwako efficiently hata kama ni kamasi.
 
Ni kweli kufa ni haki ya kila mwanadamu, akifa ndio kafa huyo. Lakini Nyerere ni kipenzi chako na familia yako na wengine kama wewe. Sio kipenzi wa kila Mtanzania. Kama ulilia na kusikitika kwa kifo chake basi ni wewe peke yako. Wengine hata hatukusikitika
Hukusikitika wewe na mkeo na wachawi wenzako, lakini du?ia nzima ilipata simanzi kuu!
 
Masuala ya uchaguzi Zanzibar yapo chini ya ZEC, chombo ambacho hakipo chini ya muungano na Magufuli hana mamlaka nacho. Narudia tena, ni mambo yao na wayamalize wenyewe. Sisi kwetu tumetimiza wajibu wa kulikata fisadi na kazi inaendelea.

Jaribu kutumia kilicho kichwani mwako efficiently hata kama ni kamasi.

Yanayoingiliwa huko si la uchaguzi wa mwaka huu pekee.

Unafahamu asili ya muungano wenyewe?

Unafahamu yaliyotokea katika matokeo ya chaguzi zote tangia vyama vingi vianze?

Yalikuwa yapi? Na ilikuwaje?

Kwa taarifa yako tu ni kuwa kuna watu 'wana-influance', haikutokea mara moja, si mara mbili wala tatu.

Nakuomba usinitie majaribu niende 'in deep', -Nikasughulikiwa na sheria ya mtandao.

Sitaki kuamini kuwa hujui.

-NIMEFUNGA MJADALA-
 
Kuna tofauti kati ya ujinga na upumbavu, huyu au hawa waliotoa taarifa hii ni wapumbavu kwasababu wanaujua ukweli, lakin wangekuwa wajinga ingewezekana pengine kufanya makusudi au bahati mbaya, kama lengo lao maalim Seif afe kwanza watatangulia wao maana haya mengine ni ya Mungu sio ya mafatani.
 
Mfamaji baharini haachi kutapa tapa, rejeeni tu uchaguzi wenu maana nyiye si mnajiendesha bila ya msaada.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom