Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,468
- 113,583
FGM, usitake nimwage humu mambo ya CUF mpaka ya chumbani!. Kwa vile CUF bara ni non issue na kule ZNZ ndio bado wako kwenye fungate ikiwemo GNU kitekeleza sera za CCM, naomba tuwaache wafu wawazike wafu wao!. Sisi tusonge mbele kuelekea katiba mpya.@Pasco, si vibaya mtu kuwa confident, lakini kwenye blue kunanipa mashaka kama kweli unazijua siasa za ndani za CUF kama unavyotaka tuamini! Nani alikuambia Seif ni kama mungu mtu ana anaabudiwa? Na nani alikuambia uongozi wa ndani wanatazamana kwa sura na ni uongozi wa mazoweya? Pasco nani anakupa hizi habari? Labda kama unaongelea CUF ya Tanganyika, lakini kwa CUF ya Zanzibar mambo ni tofauti kabisa. Na ili uilewe CUF -Zanzibar inabidi urudi 1964. Halafu uangalie walianza lini kuwekeza kwenye rasilimali watu! It is complicated!