viongozi wa cuf wakiongea kwa wakati tofauti baada ya kumalizika kwa uchaguzi mdogo wa jimbo la igunga mkoani Tabora wamesema siasa za Tanzania bara muelekeo wake ni mbaya na itachukuwa muda mrefu kuja kuitoa CCM mpaka viongozi wa dini watakapotenganisha dini na Siasa kuacha kuwatolewa matamko waumini wao ni Chama gani cha kukupa kura na chama gani hakifai kupewa kura, hili litaligawa Taifa letu na kupelekea kupata Viongozi wabovu wa Taifa letu.