CUF: Viongozi wa dini ndio wanaoendesha Siasa

mkigoma

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
1,180
309
viongozi wa cuf wakiongea kwa wakati tofauti baada ya kumalizika kwa uchaguzi mdogo wa jimbo la igunga mkoani Tabora wamesema siasa za Tanzania bara muelekeo wake ni mbaya na itachukuwa muda mrefu kuja kuitoa CCM mpaka viongozi wa dini watakapotenganisha dini na Siasa kuacha kuwatolewa matamko waumini wao ni Chama gani cha kukupa kura na chama gani hakifai kupewa kura, hili litaligawa Taifa letu na kupelekea kupata Viongozi wabovu wa Taifa letu.
 
I don't see any possibility of separating politics from religion. It's same members of churches, mosque etc who come out to vote during election days therefore they have their legitimate right to be well-informed before deciding on who should they elect. In Britain itself, the church of Anglican have several times came out boldly and endorsed their favourite campaigners during elections there. Why should it appear odd in Tanzania?
 
ikiwa ni hivyo, itafikia siku moja vyama havitafanya kampeni kabisa katika majukwa ya kisiasa, na wakati unajua kuwa mgombea wangu anapigiwa kampeni kwenye nyumba ya ibada, na viongozi wa dini wana nguvu kuliko wanasiasa, je? huoni hili linapelekea kuligawa Taifa? na kupelekea kupata viongozi wabovu, 2005 viongozi wa dini ndio waliotuambia KIKWETE chaguo la Mungu leo hao hao wamebadilika, ni Mungu aliyewafunulia hivyo kama interest zao za kisiasa?
 
Taifa haliwezi kugawanyika eti kwasababu watu wameambiwa wamchague nani. Ili watu wapige kura ni lazima wapate taarifa sahihi kutoka chanzo chochote na ni jukumu lao kupima taarifa hizo. Kura inabaki kuwa siri ya mtu kwahiyo sioni lawama zozote hapo.
 
BAKWATA na DC wao wa Igunga ambaye ni Muislam aliyeritadi ni tatizo kwa afya ya siasa nchi yetu.
 
Kama CUF ina ndoto za kuitoa madarakani CCM ni vizuri wavunje ndoa yao kwanza kisha harakati nyingine ndio ziendelee.
 
CUF haivunji serikali ya umoja wa kitaifa na wala mawazo hayo hayapo, hii ni hatua ya kuchukua serikali ya Zanzibar, CDM endeleeni na kampeni zenu za makanisani, na CCM waendelee na kampeni za misikitini, tutajua mwisho wake.c
 
CUF mlidhani udini ni dili,ipo siku mtabaki pemba tu,hata Unguja itakuwa ndoto
 
I don't see any possibility of separating politics from religion. It's same members of churches, mosque etc who come out to vote during election days therefore they have their legitimate right to be well-informed before deciding on who should they elect. In Britain itself, the church of Anglican have several times came out boldly and endorsed their favourite campaigners during elections there. Why should it appear odd in Tanzania?
Mr. MKAMA hi, how do you do and how is it going down there??..
 
CUF haivunji serikali ya umoja wa kitaifa na wala mawazo hayo hayapo, hii ni hatua ya kuchukua serikali ya Zanzibar, CDM endeleeni na kampeni zenu za makanisani, na CCM waendelee na kampeni za misikitini, tutajua mwisho wake.c

haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!ama kweli nyani haoni kundule,leo hii mshasahau kuwa ndo nyiyi waasisi wa hiyo kitu

Kuna diwani ustaadh ameshinda CHADEMA kule kwa Marry Nagu,vipi nae kafanya kampeni Kanisani au
 
I don't see any possibility of separating politics from religion. It's same members of churches, mosque etc who come out to vote during election days therefore they have their legitimate right to be well-informed before deciding on who should they elect. In Britain itself, the church of Anglican have several times came out boldly and endorsed their favourite campaigners during elections there. Why should it appear odd in Tanzania?

Inaonekana hauelewi kwamba kwa Uingereza Anglican is the state religion
 
Soma historia ufahamu tofauti kati ya Afrika au kwa ufupi Tanzania na Ulaya. Kifupi kila nchi ya ulaya ilitambulika kama nchi ya dini ya dhehebu moja. Kwa mfano si rahisi mkatoliki kuwa waziri mkuu Uingereza, au muanglikan kuwa kiongozi Ujerumani n.k.

Ulaya vyama vya kidini vuipo na vinakubalika, kama ujerumani ndio chama kinachoongoza sasa hivi 'CDU- CHRISTIAN DEMOCRATIC PARTY'. Haya ni rahisi kuwepo kwa ulaya kwani nchi zao toka awali ziliundwa katika mfumo huo na kila nchi ilikuwa na dhehebu moja tu lililotambulika kitaifa. Halikadhalika usitegemee Russia muanglikan au mkatoliki kuwa rais- kule rais lazima ajitambulishe kama mu othodox.

Soma historia itakusaidia sana kuelewa tofauti za mazingira na sio kuiga tu bila kufahamu madhara yake.
 
Kwa wakristo hata ikitamkwa kuwa dhehebu fulani inaunga mkono chama fulani iaina hathari kubwa manale mwisho wa soku serikali inafanya kazi kwa taratibu zake bila kuingiliwa na kanisa. tatizo lipo kwa dini zingine ambazo hata kama zina maelfu ya miaka lskini upeo wao bado ni duni na wa kiimla zaidi. Huku dini zinataka upendeleo kwa mgongo wa serikali. nchi za wenzetu dini zimepoteza maana na hazina umuhimu kihivo. ni katiba huru na ya kidemokrasi inayofanya kazi na c mawazo ya masheikh au mapadre. yaani dini ni kama taasisi isiyokuwa na umijimu kisiasa. kwa hiyo tusichukulie mazingira ambako watu wana upeo wa juu kiasi hcho kulinganisha hapa kwetu.
 
viongozi wa cuf wakiongea kwa wakati tofauti baada ya kumalizika kwa uchaguzi mdogo wa jimbo la igunga mkoani Tabora wamesema siasa za Tanzania bara muelekeo wake ni mbaya na itachukuwa muda mrefu kuja kuitoa CCM mpaka viongozi wa dini watakapotenganisha dini na Siasa kuacha kuwatolewa matamko waumini wao ni Chama gani cha kukupa kura na chama gani hakifai kupewa kura, hili litaligawa Taifa letu na kupelekea kupata Viongozi wabovu wa Taifa letu.
Mbona CUF, hata siku moja hamjaungana na CDM kuitahadharisha CCM kwa kuwatumia BAKWATA? Matamko yote yanayotolewa ya kidini kutoka kwa Wanazuo, nk mlikuwa mnakaa kimya. Sasa mmeona mtaji wenu wa kukaa kimya umewageukia. Tabia yenu ya Undumakuwili ndo imeshaanza kula kwenu. Na bado, kama hamta onyesha true colour yenu, mtazidi kuvuna mabua> Cha msingi au mvunje chama muanzishe chama kingine au muhamie CCM A
 
Nyie ni makatonta mtageuzwa geuzwa 2015 mtageuziwa ccm, tatizo lenu tunajua ni KIKWETE na kusumbuliwa na UDINI
 
Inaonekana hauelewi kwamba kwa Uingereza Anglican is the state religion

I suggest to you to forgive this man Mwita25 freely,normal his trend is to come out with contributions as if ametoka kulala...
 
Back
Top Bottom