TUNTEMEKE
JF-Expert Member
- Jun 15, 2009
- 4,587
- 579
Mkuu Chadema-kata nashukuru kwa hoja zako murua, umetufumbua vichwa tunashukuru sana kwa hiyo Chadema ni chama rasmi cha Wakiristo tu? Mwanza hata mimi napajua vizuri sana, sasa wale Waislam waliopigia Chadema Kura, Waislam wa Kirumba, Nyegezi, Igogo, Mkuyuni, Nyamanoro, Rufiji, Nyakato, Pansiansi, Igoma, Uhuru, Mtakuja, Mbugani, Bugarika, Mabatini, wapo wengi sana leo wamekuwa wabaya? nyie ndio mnaichafua Chadema nadhani ata Dk Slaa akisoma posts zako lazima atapike, Unawafukuza Waislam Chadema, wewe Chadema-kata ni Jabber basi tena ni Insubstatial
Mie sijazungumzia uislam unayesema uislam ni wewe mie nimesema upemba, sasa kama neno Upemba na uislam zinafanana fine, Iam now becoming worried with your understanding capacity I might be a dealing with a fool, and in CDM we believe Dont urge with a fool , people will not differentiate, katika maandiko yangu yote sijataja dini yoyote nilichosema mimi ni kuwa sehemu nyingi bara hata unguja ambapo CUF huwa inashinda ni kwenye Wapemba wengi na si Waislam .