Nawasalim WanaCUF,
Bila kung'ata wala kumung'unya maneno ninyi ni wanafiki. Wanafiki sana.
Kwa nini nawashutumu? Kwa sababu tabia ya unafiki haijifichi. Hata kama wengine wote hawaioni ila mwenye tabia anajua kwamba anachofanya ni unafiki.
Mnawashutumu CDM kwamba ni kikwazo cha upinzani. Mnasema CDM wanadharau maamuzi ya ya wazanzibari kuhusu serikali ya umoja wa kitaifa.
Mara mnakurupuka na kusema mnaenda kuwashtaki CCM kwa wananchi. Wananchi wapi? Watanzania Bara peke yake au pamoja na Visiwani?
Hayo mnayoenda kuwashtakia kwa wananchi, i.e. Malipo ya dowans, bei za bidhaa, mgawo wa umeme, nk wananchi wanaishi nayo. Wanayajua. Pia CDM wameshawaambia.
Lakini, kama CCM ndio chanzo, ni huku Bara peke yake? CCM wameshindwa Bara peke yake? Visiwani mnamshtaki nani?
Hapa ndipo unafiki unapokuwa wazi. Hakuna asiyeuona unafiki wenu. Visiwani ninyi ni serikali. Matatizo ya wananchi mnatakiwa kuyatatua kama serikali. Hicho ndicho mlichokubaliana na CCM.
Huku Bara ninyi ni upinzani mkishirikiana na TLP, NCCR na UDP. Mnapinga au kukosoa wanayofanya CCM. Mnajidai kutokuona tatizo hapo. Hata kama muungano una matatizo hii nchi bado ni moja. Hatuna serikali tatu.
Tuna serikali mbili. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Serikali ya Jamhuri ya Muungano.
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inawakilishwa kwenye Serikali ya Jamhuri. Kwa hiyo mpo kwenye Serikali.
Je mnataka tuamini mnaenda kujishtaki au hamna uwezo wa kuleta mabadiliko mkiwa ndani ya serikali yenu? Mnataka kuwa serikali na upinzani kwa pamoja?
Huwezi kula keki yako na kubaki nayo; you can not eat your cake and have it.
CUF, you have made a political mistake and error. Rectify it. The train is moving. Acheni kuwa wanafiki. It will push this country further down the abyss.
Tatizo si CUF si CCM wala si CHADEMA. Tatizo lenu ni wapenda damu za binaadamu basi.CUF imepotoshwa na Hamad. Hamad karudi ccm kama Mrema na Lamwai walivyofanya, nyie wanachama na washabiki wa cuf sasa mmepotea na sijui kama mtarudi kuwa chama cha siasa tena. Mnacheza na ccm nyie, CDM tunapigana na ccm kila kona na tunajua jinsi gani walivyo na hatari, nyie wa-cuf mliweka too much hope kwa Hamad na amewatosa kwenye mdomo wa mamba. Lipumba siku nyingi anachukua na kulipwa na ccm, poleni na lengo la cuf sasa muanze kuvaa nguo za kijani.
Hivi Zanzibar ni Mkoa au Nchi? Jazeni nyie wenyewe.
Nawasalim WanaCUF,
Bila kung'ata wala kumung'unya maneno ninyi ni wanafiki. Wanafiki sana.
Kwa nini nawashutumu? Kwa sababu tabia ya unafiki haijifichi. Hata kama wengine wote hawaioni ila mwenye tabia anajua kwamba anachofanya ni unafiki.
Mnawashutumu CDM kwamba ni kikwazo cha upinzani. Mnasema CDM wanadharau maamuzi ya ya wazanzibari kuhusu serikali ya umoja wa kitaifa.
Mara mnakurupuka na kusema mnaenda kuwashtaki CCM kwa wananchi. Wananchi wapi? Watanzania Bara peke yake au pamoja na Visiwani?
Hayo mnayoenda kuwashtakia kwa wananchi, i.e. Malipo ya dowans, bei za bidhaa, mgawo wa umeme, nk wananchi wanaishi nayo. Wanayajua. Pia CDM wameshawaambia.
Lakini, kama CCM ndio chanzo, ni huku Bara peke yake? CCM wameshindwa Bara peke yake? Visiwani mnamshtaki nani?
Hapa ndipo unafiki unapokuwa wazi. Hakuna asiyeuona unafiki wenu. Visiwani ninyi ni serikali. Matatizo ya wananchi mnatakiwa kuyatatua kama serikali. Hicho ndicho mlichokubaliana na CCM.
Huku Bara ninyi ni upinzani mkishirikiana na TLP, NCCR na UDP. Mnapinga au kukosoa wanayofanya CCM. Mnajidai kutokuona tatizo hapo. Hata kama muungano una matatizo hii nchi bado ni moja. Hatuna serikali tatu.
Tuna serikali mbili. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Serikali ya Jamhuri ya Muungano.
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inawakilishwa kwenye Serikali ya Jamhuri. Kwa hiyo mpo kwenye Serikali.
Je mnataka tuamini mnaenda kujishtaki au hamna uwezo wa kuleta mabadiliko mkiwa ndani ya serikali yenu? Mnataka kuwa serikali na upinzani kwa pamoja?
Huwezi kula keki yako na kubaki nayo; you can not eat your cake and have it.
CUF, you have made a political mistake and error. Rectify it. The train is moving. Acheni kuwa wanafiki. It will push this country further down the abyss.
Nonda,
..nadhani kuna watu ama wameshindwa kuelewa hoja za CDM, au wameamua kuzipotosha.
..msimamo wa CDM unaeleweka kwamba wanataka serikali 3. huo pia ndiyo msimamo wa CUF.
..wanachodai CDM, and particularly Tundu Lissu, ni kwamba mabadiliko ya katiba yaliyotokea Zenj, yameongeza mkanganyiko/"unafiki" ktk suala zima la muungano wetu.
..Tundu Lisso alieleza wazi, nenda kasikilize hoja zake pale Nkrumah Hall, kwamba mabadiliko ya katiba Zanzibar yanaongeza nguvu kwa hoja kwamba TUNAHITAJI KATIBA MPYA, siyo kutia viraka.
..hoja ya CDM na Tundu Lissu ni kwamba muungano unaongozwa zaidi na "MAZOEA" badala ya kuongozwa na SHERIA na KATIBA.
Sio kweli kuwa CUF haijajitangaza Bara, mbona ilifanya juhudi kubwa na hata kufikia kupata ubunge Bukoba. Tunasahau kuwa element ya udini ndio iliyowaangusha CUF Bara. Si mlikipa jina kuwa ni Chama cha Kidini? CCM walipiga debe, vyama vya upinzani vikafurahia kwa kuogopa kukosa umaarufu> Kibao kimegeuka na udini umekuwa issue moto na CCM ikaamuwa kuhamishia udini kwa CHADEMA na hivyo CHADEMA kuanza kuona ubaya wa unafiki.Nonda,
..nadhani CDM au vyama vya upinzani kutojitangaza Zanzibar is nothing but NUMBERS GAME.
..pia kuna suala la "historia" ambalo limejikita sana Zanzibar na kusababisha kuwa vigumu kwa chama kipya kujitangaza huko.
..kwa upande wa Tanganyika uwanja wa kisiasa uko more open, pia kuna idadi kubwa sana ya wapiga kura.
..sasa kwanini CUF haijitangazi huku Tanganyika kwa nguvu ileile inayotumika kule Zanzibar?
..hii hoja ya kutojitangaza upande wa pili wa muungano nadhani inawaelemea zaidi CUF kuliko chama chochote kile cha upinzani.
..binafsi ningependa CUF na CDM waache kushambuliana kwa wakati huu. mazingira hayo yatatoa nafasi ya wao kuweza kufanya kazi pamoja in the future.
NB:
..wakati naelewa umuhimu wa kuwepo kwa serikali ya umoja wa kitaifa kule Zanzibar, je CUF waliwafikiria wenzao wa Tanganyika wakati wanasaini makubaliano hayo?
..sasa hivi CUF-Bara wamekuwa kama yatima wa kisiasa. kuna wakati wanazungumza kama chama tawala, then ghafla wanageuka na kuzungumza kana kwamba ni wapinzani.
Ngekewa,
Inawezekana nina chuki binafsi na CUF. Inawezekana kwamba CDM haijawahi kuwa na habari na CUF. Na inawezekana chati ya CUF inapanda, Je hayo yote yanaondoaje unafiki wao wa kwenda kurudia waliyosema CDM (wakati wameshasema kufanya hivyo CDM walikuwa wanahatarisha amani na utulivu?) na hao wananchi wanaoenda kuwashtakia CCM ni wananchi wapi? Walioko Zanzibar au Tanganyika?
Siamini kwamba ni lazima 'vyama vya upinzani' viungane ili kuishinda CCM. Muungano huo utakuwa kama wa Zanzibar na Tanganyika. Au kama kitu kinachoitwa 'marriage of convinience'. Matatizo yake ni makubwa siku zote. Lengo litafikiwa lakini halitadumu. Angalia Kenya. Angalia Zanzibar.
Tafadhali angalia hoja yangu na si chuki unayodhani ninayo. Ukiweza ijibu hoja yangu.
Mkuu, nadhani unajua kama Tanzania kuna vyama vingi vya siasa na kila chama kina malengo yake na kila chama kina haki, naona utataka vyama vyote vifuate maelekezo kutoka kwa Chadema? NCCR, TLP, CUF, CHADEMA, wote wanaweza kupita Tanzania nzima wakafanya mikutano yao wananchi ndio wakuamua wamfate nani nadhani huu sio Unafiki kama unavyosema wewe. naona umekuwa indulgence na CUF kuliko CCM, pambana CCM kuwang'oa madarakani
Moto huo ulizimwa lini na ulizimwa na nani?:focus:Hujui ulinenalo ni bora ukae kimya. Subiri moto wa baraza la wawakilishi ufike bungeni ndio utajua nini karata za CUF.
nimeona madiwani wa cuf mwanza, nimeona madiwani wa cuf musoma ( mara), nimeona madiwani kagera, kumbe wapemba wengi. hapo kwenye red tufahamishe vizuri wewe chadema-katahuwezi kuitoa ccm kama vyama vya kidini, kikanda na vinavyoongozwa na watu ambao hata kimaisha ni failure kama cuf,unaijua vizuri historia ya lipumba from when he was at udsm alikuwa anapendelea sana watu wa imani fulani hivi, soma kitabu kimoja kinaitwa" myth of mzee punch" kimeandikwa na mmoja wa wahanga wa mgomo wa ud 1990, maalimu seif alitumia mbinu zake na uwezo wake wa kupndwa pemba kutafuta watu wa kumfuata, i promise you kama sheria ya kusajili chama ingekuwa hairuhusu kuwa na pande zote za muungano cuf isingekuwepo bara for sure, maana hata udiwani huwa inashinda maeneo ambayao ya wapemba wengi, hata majimbo iliyochukuwa unguja ni pale penye wapemba wengi,muulize lwakatare kipi kilimtoa cuf, muulize tambwe hiza ,muulize professor safari na bwana mdogo mwalimu mtatiro namsikitikia sana watamtoa tu kwenye reli hicho chama hakina sura ya kitaifa, kama wewe siye wa lile tabaka , mapalala alitolewa cuf kwa nini na wote hao ni watu wa dini moja why isiwe hamad rashid au lipumba afukuzwe cuf, mustafa wandwi wa msoma mbona hawafukuzwi??