Inaelekea umeanza kumsikia Maalim Seif majuzi tu.Sidhani kama nikweli CUF ni Maalim seif na Maalim seif ni CUF.
CUF ni zaidi ya Maalim Seif,unakumbuka kuna mwaka aliwahi kutupiwa mawe.Hii ilitokana na wanachama wake kuhisi amewasaliti.
Na ni Proffessa Lipumba ndie alitumia busara zake kuwatuliza wafusi wa CUF.
Big Up MKuuHizi porojo tupu., si lazima kuja hapa na kuandika chochote kama hakileti mantiki yeyote., CUF gani bara na Tanganyika inamuunga mkono Lipumba zaidi ya Abdalla Kambaya? Sekaya? yale mengine ni mapandikizi ya CCM huvalishwa sura ya CUF., huoni Lipumba amefungiwa ndani anapewa hadi ulinzi na jamuhuri??
Uchochezi mtupu ulioandika hapa., lete maneno yenye mashiko CUF ni taasisi na ipo imara zaidi, CUF sasaiv ndio inapaa zaidi na zaidi Tz.,
Na tuzo ya kufanikisha ujecha tumpe nani?Ya Jecha mwachie Jecha!
Ni kwamba CUF ilikuwa na sura ya muungano baada ya kujishikiza kwa Chama cha Wananchi cha mzee Mapalala. Historia inaonyesha kwamba wale wanasiasa waliofukuzwa CCM wakati huo wakiwa akina Hamad Rashid, Seiff Shariff Hamad, Mloo, nk walianzisha KAMAHURU huko Zanzibar wakati wa vuguvugu la uanzishwaji wa vyama vingi. Baaada ya vyama vingi kuruhusiwa, KAMAHURU ilikosa sifa ya kuandikishwa kwa kuwa haikuwa na sura ya Muungano. Hivyo basi maalim na wenzake wakamfuata Mzee Mapalala akiwa na chama chake kikiitwa Chama cha Wananchi, wakaungana na kuanzisha CUF na hivyo kuwa na sura ya muuungano na kupata usajili. Baadaye wakamtupia virago Mzee Mapalala.
Hali ilivyo sasa ni kwamba CCW na KAMAHURU ndio vinajitenga na kujionyesha sura zao halisi na kwa hakika CUF itafutwa kwa kuwa itakosa sifa ya kisheria ya kuendelea kuwemo kwenye daftari l msajili wa vyama.
Iwe hivyo unavyotaka kutuaminisha. Mimi nashindwa kufahamu kwa nini CUF inashinda uchaguzi kwa mara ya tano na CCM inachakachua matokeo na kujitangaza(kutangwazwa kijecha jecha) kwamba imeshinda. Je CCM haiumizwi na madaraka, madaraka yanamuumiza Maalim Seif tu?Kinachomuumiza Maalim Seif ni madaraka. Tangia alipobwagwa na Hayati Abdulwakil kule Dodoma basi hajawahi kurudi kuwa sawa. Maalim aliamini kwamba baada ya Mwinyi kule Zanzibar ni yeye lakini watu wakamuona hafai wampa Abdulwakil.
Soma historia ya Maalim Seif utagundua kwamba ameyatamani madaraka tangia wakati wa Marehemu Jumbe, akakosa tena baada ya kufanya fitina kubwa. Akaja mwinyi Maalim akatamani madaraka akashindwa na Abdulwakil, Maalim akasusa na kupiga kampeni dhidi ya Abdulwakili. Mzee akasinda na kumpa Seif u Waziri kiongozi lakini hakuridhika. Amekuwa Katibu Mkuu wa CUF tangia mwaka 1993, amekuwa mgombea mara tano na amekuwa akishindwa.Iwe hivyo unavyotaka kutuaminisha. Mimi nashindwa kufahamu kwa nini CUF inashinda uchaguzi kwa mara ya tano na CCM inachakachua matokeo na kujitangaza(kutangwazwa kijecha jecha) kwamba imeshinda. Je CCM haiumizwi na madaraka, madaraka yanamuumiza Maalim Seif tu?
Nimeuliza kwa nini Maalim Seif anaposhinda uchaguzi mkuu kule Zanzibar, mshindi anatangazwa mgombea wa CCM?Soma historia ya Maalim Seif utagundua kwamba ameyatamani madaraka tangia wakati wa Marehemu Jumbe, akakosa tena baada ya kufanya fitina kubwa. Akaja mwinyi Maalim akatamani madaraka akashindwa na Abdulwakil, Maalim akasusa na kupiga kampeni dhidi ya Abdulwakili. Mzee akasinda na kumpa Seif u Waziri kiongozi lakini hakuridhika. Amekuwa Katibu Mkuu wa CUF tangia mwaka 1993, amekuwa mgombea mara tano na amekuwa akishindwa.
Alishinda lini?Nimeuliza kwa nini Maalim Seif anaposhinda uchaguzi mkuu kule Zanzibar, mshindi anatangazwa mgombea wa CCM?
Kaka sijui kwanini kuna vitu hukutaka kuvisema labda kwakuwa muktadha wa mada ulikuwa ni kuhusu CUF...lakini kinachotokea sasa na hiki ulichoandika msingi wake ni muungano wetu na ccm yakeWahenga walisema masaa 24 katika siasa ni muda mrefu sana.
Lakini katika siku na wiki za hivi karibuni tumeshuhudia jinsi CUF inavyozidi kudidimia na kukosa sura ya kuitwa chama cha siasa chenye ushawishi nchi nzima. Kitendo cha CUF-Zanzibar kuwa na mgongano mkubwa na CUF-Tanganyika knaanza kuleta sura isiyotegemewa katika chama hicho.
CUF-Zanzibar mhimili wake ni katika ungozi wa Maalim Seif na wafuasi wake ambao hawasikii la muidhini wala shehe mwingine. CUF-Tanganyika inaanza kuonekana ina ongozwa na Prof Lipumba. Jaribio la CUF -Zanzibar kumweka Mtatiro, ambaye anaonekana kuwakibaraka wao, linaelekea kuwa limegonga mwamba.
Sioni jinsi CUF kuendelea kuwa chama cha kitaifa, bali pengine kuwa vyama viwili katika kila upande wa muungano.
Naomba kuwasilisha.
Mkuu kizazi cha sasa cha watanzania waliowengi hawajui maana halisi ya ukosefu wa amani nchini.Kaka sijui kwanini kuna vitu hukutaka kuvisema labda kwakuwa muktadha wa mada ulikuwa ni kuhusu CUF...lakini kinachotokea sasa na hiki ulichoandika msingi wake ni muungano wetu na ccm yake
Kama sio mabavu na kila aina ya fitina mambo yangekuwa tofauti kabisa leo hii kwakuwa hata hiki kinachoitwa muungano kimebakia kwenye uzi mmoja tu wa siasa kati ya nyuzi nyingi zilizokuwa zinaunda muungano
Hizi porojo tupu., si lazima kuja hapa na kuandika chochote kama hakileti mantiki yeyote., CUF gani bara na Tanganyika inamuunga mkono Lipumba zaidi ya Abdalla Kambaya? Sekaya? yale mengine ni mapandikizi ya CCM huvalishwa sura ya CUF., huoni Lipumba amefungiwa ndani anapewa hadi ulinzi na jamuhuri??
Uchochezi mtupu ulioandika hapa., lete maneno yenye mashiko CUF ni taasisi na ipo imara zaidi, CUF sasaiv ndio inapaa zaidi na zaidi Tz.,
Waulize CCM, Jecha na Kikwete watakupa majibu yaliyoshiba.Alishinda lini?
Mkuu kizazi cha sasa cha watanzania waliowengi hawajui maana halisi ya ukosefu wa amani nchini.
Wengine tumekuwepo toka kipindi baada ya uhuru na tumeshuhudia kwa macho na kuona maana halisi ya wasiwasi kutokana na mapinduzi na hata uasi wa jeshi 1964.
Sitaingia katika historia ya muungano maana inafahamika, lakini stabilising power ilikuwa muungano wenyewe.
Naamini hujawahi kusikia bubduki ndogo tu ya LMG light machine gun in action.
Its terrifying na tumeyaona.
Sumu haionjwi, na wale wanaoquestion muungano kama stabilising power hawajui mbadala wake.
Hizi porojo tupu., si lazima kuja hapa na kuandika chochote kama hakileti mantiki yeyote., CUF gani bara na Tanganyika inamuunga mkono Lipumba zaidi ya Abdalla Kambaya? Sekaya? yale mengine ni mapandikizi ya CCM huvalishwa sura ya CUF., huoni Lipumba amefungiwa ndani anapewa hadi ulinzi na jamuhuri??
Uchochezi mtupu ulioandika hapa., lete maneno yenye mashiko CUF ni taasisi na ipo imara zaidi, CUF sasaiv ndio inapaa zaidi na zaidi Tz.,
Watu kama Maalim, dhambi ya bagzi ni asili yao.....long live "mafunzo ya mwalimu JKN", ktk kweli!
...."dhambi ya ubaguzi, ukishaianza......."