Lole Gwakisa
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 4,777
- 2,392
Vyama vya upinzani munkari unawaponza.Hapo ndo huwa naona umahiri wa CCM, baada ya fisadi kuhamia CDM walicheza na Lipumba na Dr. Slaa na wakafanikiwa. Hadi JK alikiri kwamba kama CCM haikufa walipomkata mkia Lowassa haifi tena. Sasa hili bao CUF hawachomoi na kitafutwa tu.
Ni kama beki kucheza chenga mbele ya goli lake.
CCM wana ma straika wakali tu wa kufunga magoli ya uhakika.