CUF na SIASA SAFI

Kim Kardash mbona mada yako ni maji taka tupu? Ulitegemea CUF ambayo is in the same bed with CCM to say anything different from what her husband has told her to say? The glib answer is nay. Thus those who think CCM and CUF are two different entities politically must be yahoos if not gowks. CDM has been dealing with issues more than personalities. Again, for those whose ears eyes and hearts are gagged, this is nothing they can see. To them whatever CDM does to erase the long time debauchery, is but abuses and what not. Guy, what don't you grow up at least cognitively so that you can see the light instead of thinking that the dark is the light and vice versa?

matusi is not gonna help either,chanzo cha mapato ya kutoa elimu na afya bure tofauti na kuja kutukamua sisi wapiga kura ni kipi?
 
Imekua ni aghalabu panapotokea mikusanyiko ya vyama vya siasa hususan chama kimoja cha siasa hapa nchini ambacho nisingependa kukitaja kwa kuepuka fitna muda mwingi kutumika kufanya siasa za maji taka.... .siasa za kusema na kukichafua ccm pamoja viongozi wake instead of politics of issues,the folks are more than happy to talk about everything they think is wrong with ccm na serikali yake but they didn't have much to say about how they will make it right...wanasema watatoa elimu bure ukiwauliza vyanzo vyao vya mapato vitakavyowawezesha kutekeleza hilo wanaitisha press com. Sio kujibu hoja bali kukutukana na kudai hufai hata kuwa kiongozi wa kata n.k wametawaliwa na uoga usio na msingi... Naomba nichukue nafasi hii ya thamani sana kukipongeza chama cha siasa cha cuf hasa bwana lipumba kutokana na kuzungumza mambo ambayo watanzania wanapea kuyasikia.

lecture ya lipumba leo jangwani:anasema tanzania inakusanya bilioni 400 na nusu kila muda mfupi toka mauzo ya mali asili..ambapo kila mtanzania anaweza kugaiwa dola 100 kwa ajili ya shuguli zake binafsi...na anatoa mifano kwamba hili limewezekana nchi za alaska..mongolia na bolivia.

Nawasilisha.
kaka alaska sio nchi. lipumba ni chizi sasa wewe dola 100 itakupeleka wapi?
 
Majungu......sijaona cha maana hapo!

Apambane na ccm aache kupambana na CDM manake hakipo madarakani!

Yeye wakati anawakataza waislamu wasihesabiwe alikuwa anafanya siasa za maji safi?

Hana hoja kwanza siku hizi kapoteza mvuto hivyo asitafute umaarufu kupitia chadema! Chadema chama kubwa wala haiwezi kamwe! AACHE MAJUNGU AIMARISHE CCM B YAKE MANAKE TUKIZIKA CCM A na hiyo B haiwezi kubaki salama!

hamnazo kichwani wewe lipumba hatafuti umaarufu tayari maarufu naa angalia maneno unayotamka lipumba hajawashi waislam wasijiandikishe kuwa makini na post zako zinaonekana hazina shule umbumbu umekutawala
 
Imekua ni aghalabu panapotokea mikusanyiko ya vyama vya siasa hususan chama kimoja cha siasa hapa nchini ambacho nisingependa kukitaja kwa kuepuka fitna muda mwingi kutumika kufanya siasa za maji taka.... .siasa za kusema na kukichafua ccm pamoja viongozi wake instead of politics of issues,the folks are more than happy to talk about everything they think is wrong with ccm na serikali yake but they didn't have much to say about how they will make it right...wanasema watatoa elimu bure ukiwauliza vyanzo vyao vya mapato vitakavyowawezesha kutekeleza hilo wanaitisha press com. Sio kujibu hoja bali kukutukana na kudai hufai hata kuwa kiongozi wa kata n.k wametawaliwa na uoga usio na msingi... Naomba nichukue nafasi hii ya thamani sana kukipongeza chama cha siasa cha cuf hasa bwana lipumba kutokana na kuzungumza mambo ambayo watanzania wanapea kuyasikia.

lecture ya lipumba leo jangwani:anasema tanzania inakusanya bilioni 400 na nusu kila muda mfupi toka mauzo ya mali asili..ambapo kila mtanzania anaweza kugaiwa dola 100 kwa ajili ya shuguli zake binafsi...na anatoa mifano kwamba hili limewezekana nchi za alaska..mongolia na bolivia.

Nawasilisha.

Hata mahakamani mke haruhusiwi kuwa shaidi wa mumewe kwani wanaaminika kuwa ni mwili mmoja.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
kaka alaska sio nchi. lipumba ni chizi sasa wewe dola 100 itakupeleka wapi?

uchadema umewapumbaza kiasi unashindwa hata kupambanua mtu wa kipato cha chini ama sikini anapa wastani ya chini dola moja kwa siku mara 30 days ni takriba dola 30 pato la mtz wa sasa lipumba kwa hesabu mtz atapa dola 100 toka dola 30. Acheni ujuha
 
kaka alaska sio nchi. lipumba ni chizi sasa wewe dola 100 itakupeleka wapi?

uchadema umewapumbaza kiasi unashindwa hata kupambanua mtu wa kipato cha chini ama sikini anapa wastani ya chini dola moja kwa siku mara 30 days ni takriba dola 30 pato la mtz wa sasa lipumba kwa hesabu mtz atapa dola 100 toka dola 30. Acheni ujuha.
 
Imekua ni aghalabu panapotokea mikusanyiko ya vyama vya siasa hususan chama kimoja cha siasa hapa nchini ambacho nisingependa kukitaja kwa kuepuka fitna muda mwingi kutumika kufanya siasa za maji taka.... .siasa za kusema na kukichafua ccm pamoja viongozi wake instead of politics of issues,the folks are more than happy to talk about everything they think is wrong with ccm na serikali yake but they didn't have much to say about how they will make it right...wanasema watatoa elimu bure ukiwauliza vyanzo vyao vya mapato vitakavyowawezesha kutekeleza hilo wanaitisha press com. Sio kujibu hoja bali kukutukana na kudai hufai hata kuwa kiongozi wa kata n.k wametawaliwa na uoga usio na msingi... Naomba nichukue nafasi hii ya thamani sana kukipongeza chama cha siasa cha cuf hasa bwana lipumba kutokana na kuzungumza mambo ambayo watanzania wanapea kuyasikia.

lecture ya lipumba leo jangwani:anasema tanzania inakusanya bilioni 400 na nusu kila muda mfupi toka mauzo ya mali asili..ambapo kila mtanzania anaweza kugaiwa dola 100 kwa ajili ya shuguli zake binafsi...na anatoa mifano kwamba hili limewezekana nchi za alaska..mongolia na bolivia.

Nawasilisha.

BRAVO MR. U'VE MADE IT...!!
Ni wale tu wanaotumia makalio yao kufikiri na si vichwa vyao ndio wanaoweza kupinga hili...! Tuendelee kuwafahamisha maana hawajui walisimamialo.
 
Kim ni Kim kweli kama yule OG. Vyanzo vya mapato viko vingi sana kodi tunazolipa ni pesa nyingi mno ila zinaliwa na wachache ukiwemo wewe wa Kim
 
sasa slaa anaogopa nini kusema atatoza kodi nyingi ili apate pesa za kutupatia matibabu na elimu ambayo kiukweli tutakua tunayalipia kwa njia ya kodi tuliyokamuliwa na serikali yake,hakuna kitu cha bure hata marekani na ulaya ambao ni matajiri kuliko sisi hawatoi huduma yeyote ya kijamii bure,labda marehemu ghadafi na waarabu wenzake wengine ndio waliweza kuthubutu
 
Majungu......sijaona cha maana hapo!

Apambane na ccm aache kupambana na CDM manake hakipo madarakani!

Yeye wakati anawakataza waislamu wasihesabiwe alikuwa anafanya siasa za maji safi?

Hana hoja kwanza siku hizi kapoteza mvuto hivyo asitafute umaarufu kupitia chadema! Chadema chama kubwa wala haiwezi kamwe! AACHE MAJUNGU AIMARISHE CCM B YAKE MANAKE TUKIZIKA CCM A na hiyo B haiwezi kubaki salama!
na bahati mbaya ananyonyoka mpaka nywele siku hizi.
 
Na kusema cuf ni chama cha waislam je?
utakwendaje kwenye mkutano wa siasa na kanzu,barghashia,baibui na mavazi ambayo kimsingi watanzania wameaminushwa kwamba ni ya kiislam wakati unajua kabisa wazee wa propaganda wapo kwa ajili ya kukuharibia.vipi uwalaumu cdm wakati ishu ya udini ilitumika sana na ccm kuivuruga cuf.na leo unaungana na ccm tena kusema cdm ni chama cha kidini.nijuavyo mimi elimu haiongezi busara na ndio maana wengi wetu humu tunashiriki kuwaua wenzetu kwa maradhi yaliyotuua sisi ama kwa hakika watz ni wasahaulifu naamini ni kwa makusudi.akili ikichanganywa na imani huzaa ujinga na ndio sababu mtu azidiwae na imani haogopi hata kuua mwanae kwa vigezo vya imani husika.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom