ILI nchi iendelee inahitajiquoted)
1. Watu (wapo wakutosha Tanzania)
2. Ardhi (Nayo ipo bwerere iliyosheheni fursa za kilimo, madini na maliasi nyingine kibao)
3 Siasa safi na Uongozi bora (Hapa ndipo penye shida)
Hence:
Adui wa ustawi wa maendeleo kiuchumi na kijamii Tanzania kwa sasa ni siasa chafu na uongozi dhaifu. Watanzania wanahitaji vyama imara vya upinzani (either kwa muungano ama chama madhubuti kuing'oa CCM madarakani)
Kwahiyo adui wetu hapa ni uongozi dhaifu wa CCM. CDM au CUF hawana dola. Cha ajabu vyama vinavyotemewa kuongoza mabadiliko ndio kwanza vinaparurana vyenyewe tena kwa hoja dhaifu kama hasa ya udini tena hadharani mchana kweupeee.
Hebu CUF na CDM hata kama ni vugumu kuungana basi acheni kupigana vijembe kwani vita vyenu (panzi) kunguru (CCM) anangalia kwa hamu mno (divide and conquer) na kwa mtaji huo wote CDM na CUF msahau kuingia ikulu mtaifanya CCM itawale milele!
Halafu nyie CUF niliona jana hoja zetu zinauelekeo wa dini dini hivi, Pia mlikuwa kama mnaunga mkono propaganda za CCM ili ionekane kama CDM huwa ni chanzo cha vurugu. Kumbukeni hata nyie mlipokuwa na nguvu sana mlipigiwa propaganda hizihizi na kuuawa (Kule pemba watu zaidi ya 21 mwaka 2001, mwembechai, Lipumba mwenyewe alisha vunjwa mkono nk). Wakati ule mlikuwa mnalaumu serikali kutumia vibaya dola (POLISI) kuwanyamazisha na mliungwa mkono . Mbona leo mnataka kutuaminisha tofauti?