CUF na SIASA SAFI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CUF na SIASA SAFI

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KIM KARDASH, Sep 9, 2012.

 1. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #1
  Sep 9, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Imekua ni aghalabu panapotokea mikusanyiko ya vyama vya siasa hususan chama kimoja cha siasa hapa nchini ambacho nisingependa kukitaja kwa kuepuka fitna muda mwingi kutumika kufanya siasa za maji taka.... .siasa za kusema na kukichafua ccm pamoja viongozi wake instead of politics of issues,the folks are more than happy to talk about everything they think is wrong with ccm na serikali yake but they didn't have much to say about how they will make it right...wanasema watatoa elimu bure ukiwauliza vyanzo vyao vya mapato vitakavyowawezesha kutekeleza hilo wanaitisha press com. Sio kujibu hoja bali kukutukana na kudai hufai hata kuwa kiongozi wa kata n.k wametawaliwa na uoga usio na msingi... Naomba nichukue nafasi hii ya thamani sana kukipongeza chama cha siasa cha cuf hasa bwana lipumba kutokana na kuzungumza mambo ambayo watanzania wanapea kuyasikia.

  lecture ya lipumba leo jangwani:anasema tanzania inakusanya bilioni 400 na nusu kila muda mfupi toka mauzo ya mali asili..ambapo kila mtanzania anaweza kugaiwa dola 100 kwa ajili ya shuguli zake binafsi...na anatoa mifano kwamba hili limewezekana nchi za alaska..mongolia na bolivia.

  Nawasilisha.
   
 2. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #2
  Sep 9, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Usitukataze siasa za maji taka, huo ndio mtaji wetu, unataka tusemeje? Tuache tulivyo.
   
 3. Ufipa-Kinondoni

  Ufipa-Kinondoni JF-Expert Member

  #3
  Sep 9, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 4,475
  Likes Received: 2,140
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo ulichoifurahia CUF ni kwamba unaweza ukapata dollar 100? au sera za kuendesha nchi ilifisadiwa na waroho. CCMB haina jipya.
   
 4. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #4
  Sep 9, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Kuna baadhi ya watu wasipokipiga kijembe Chadema siku yao haijakamilika.
   
 5. M

  MMASSY JF-Expert Member

  #5
  Sep 9, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 225
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Wewe unasumbuliwa na ugonjwa wa insanity.sasa wakiitisha press conference si ili kukwapa vihiyo kama wewe taarifa?acha umbumbumbu utapitwa na wakati kijana
   
 6. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #6
  Sep 9, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Majungu......sijaona cha maana hapo!

  Apambane na ccm aache kupambana na CDM manake hakipo madarakani!

  Yeye wakati anawakataza waislamu wasihesabiwe alikuwa anafanya siasa za maji safi?

  Hana hoja kwanza siku hizi kapoteza mvuto hivyo asitafute umaarufu kupitia chadema! Chadema chama kubwa wala haiwezi kamwe! AACHE MAJUNGU AIMARISHE CCM B YAKE MANAKE TUKIZIKA CCM A na hiyo B haiwezi kubaki salama!
   
 7. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #7
  Sep 9, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  na pia wengine bila kufaya hivo kwa ccm au nape siku inakua mbaya kwao,ndio matokeo ya siasa za vyama vingi,twende nayo hivyo hiyo tutazoeana tu
   
 8. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #8
  Sep 9, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Kiufupi watanzania wana njaa,maisha magumu,haya mambo ya ufisadi sijui nini ni kelele tu ambazo hazitawashibisha watz,wanataka kusikia mipango madhubuti itakayoiwezesha nchi kuwa na strong middle class,kwa maana ukiwa na middle class ya namna hiyo ni wazi uchumi utakua stimulated nayo,kwa kuwa watu wengi watakua na uwezo wa kununua na kupelekea uzalishaji kuongezeka ambapo ajira nyingi zaidi zitatengenezwa,lipumba anapozungumzia mtu kupewa dola 100 anamaanisha kumuongezea ama kumpa mtanzania purchasing power...
   
 9. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #9
  Sep 9, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145

  taarifa kwamba kiongozi fulani hafai kuongoza hata kata!!!zina maslahi gani kwa taifa hasa?watumie muda huo kuelezea mipango na vyanzo vyao vya mapato vitavyowezesha utekelezaji wa hiyo mipango,haitoshi tu kuropoka elimu na matibabu bure bila kutaja vyanzo vyako vya mapato vitavyokuwezesha kusubsidized hizo huduma kwa maana ya kwamba mwisho wa siku ni lazima kuwe na mtu wa kuzilipia hizo huduma ambae kwa hapo mtu huyo atakua ni serikali yako,je utapata wapi fedha hizo?jibu ni kwamba utakuja kwangu(middle class families & small businesses) na kututax more kwenye mishahara yetu na vijimiradi vyetu(viosk) ndio mana tukikuuliza vyanzo husemi unatoa povu kwa kuwa unajua kusema utaongeza kodi kwa mtanzania kutakuondolea hiyo cheap popularity uliyonayo...thats y u want my vote but u don't want me to know your plan cuz u know your plan won't sell,nio mana nasema wafuasi wengi wa iko chama ni illiterate au misukule wanapelekwa pelekwa tu bila kuhoji mambo ya msingi kwa viongozi wao.
   
 10. n

  nrashu Senior Member

  #10
  Sep 9, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kama anaweza kugawa dola 100 kwa kila mwananchi kwa nini unakataa kuwa elimu yaweza kutolewa bure na hicho chama cha siasa unachoogopa kukitaja? kuwa mkweli kardash. mbona kipndi cha mwinyi hakushauri hayo na alikuwa mshauri mkuu wa mambo ya kiuchumi? Mimi mwenyewe namkubali sana Profesa kwa nadharia zake.
   
 11. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #11
  Sep 9, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Tatizo hao viongozi wa iko chama hawatambii vyanzo vya mapato ya kufanya wanayotaka tuamini watafanya tukiwachagua,unadhani wanaogopa nini kutaja kwamba itabidi watukamue zaid kodi sisi watu wa middle class na wafanyabiashara ndogo
   
 12. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #12
  Sep 9, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Lecture ya Prof ilikuwa nzuri sana.
   
 13. n

  nrashu Senior Member

  #13
  Sep 9, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwa nini uite wenzio misukule. hivi nchi kama hii unahitaji kuonyeshwa chanzo cha mapato? unazokusanya unafuja zaidi ya asilimia 50(CAG report), bado unazosamehe, bado unazokataa kuziundia sheria kwa kuwa utawaudhi mafisadi. Tafakari na uchukue hatua. hapa Mwanza mwenye nyumba yangu halipi kodi japo ananitoza 450,000 kwa mwezi. wapo wangapi?
  Ngoja nigombee udiwani tuone kama mtapandisha kodi hovyo.

   
 14. n

  nrashu Senior Member

  #14
  Sep 10, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  siamini kama huelewi ila nahisi umeamua kubisha tu? hivi mapato ya sasa tu yakitumiwa vizuri tungekuwa wapi? nipo hapa BOT mwanza na naelewa ninachokueleza.
   
 15. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #15
  Sep 10, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Kim Kardash mbona mada yako ni maji taka tupu? Ulitegemea CUF ambayo is in the same bed with CCM to say anything different from what her husband has told her to say? The glib answer is nay. Thus those who think CCM and CUF are two different entities politically must be yahoos if not gowks. CDM has been dealing with issues more than personalities. Again, for those whose ears eyes and hearts are gagged, this is nothing they can see. To them whatever CDM does to erase the long time debauchery, is but abuses and what not. Guy, what don't you grow up at least cognitively so that you can see the light instead of thinking that the dark is the light and vice versa?
   
 16. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #16
  Sep 10, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,534
  Likes Received: 10,452
  Trophy Points: 280
  nimeipenda hii, umeonyesha uungwana.!!
   
 17. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #17
  Sep 10, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Umeongea mambo ya maana sana kuwashinda hata viongozi wako wa iko chama ambao wamekosa ujasiri wa kueleza vyanzo vya mapato kwa kuogopa kuwaudhi walipa kodi ambao ni wapiga kura wakisema watawatoza koi kubwa ili ziwawezeshe kutoa elimu bure.
   
 18. THINKINGBEING

  THINKINGBEING JF-Expert Member

  #18
  Sep 10, 2012
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 2,726
  Likes Received: 854
  Trophy Points: 280
  Kama unaamini kuna uwezekano wa kugaiwa na CUF dola 100(kila mtanzania) lakini huamini kuna uwezekano wa kusoma bure unahitaji kumuona mtaalamu wa magonjwa ya akili.
   
 19. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #19
  Sep 10, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  naona lipumba naye anaanza kufuata nyayo za SITTA
   
 20. S

  Sayfulhaq Senior Member

  #20
  Sep 10, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 118
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
  Acheni kasumba yaliyosemwa na kardash kurejea maneno yaliyosemwa na Prof. Lipumba ni sahihi. Haiwezi mtu akasema atafanya jambo fulani bila kuonyesha atalifanyaje, ni kweli mali zipo sasa kuwepo kwa mali pekee inatosha bila kuainisha hiyo mali itatumikaje. CDM acheni siasa za maji taka na nyinyi wafuasi wake hebu tumieni vichwa vyenu kufikiri haya na sio makalio!
  NDIO KUSOMA HUJUI, HATA PICHA HUONI BASI.
   
Loading...