Nyambala
JF-Expert Member
- Oct 10, 2007
- 4,465
- 1,172
Chuma.
Kama Mtei anaona kaonewa awafuate CUF sio hapa JF.mimi bado naamini maneno ya CUF,Nyerere aliondoka madarakani mwaka 1985 lakini miaka kumi mbele 1995 aliweza kumuweka MKAPA kwenye nafasi ya urais wa Tanzania huku akiwa si rais wa nchi wala mwenyekiti wa CCM.
Mtei aliweza kuwaingiza BOT watu wa kabila lake na jamaa zake wengi tu kama Mwenyekiti wa Chadema Taifa hivi sasa ambaye ni mkwe wake na alikuwa hana elimu ya kumfanya aajiriwe BOT.sasa anaposema alikuwa na perfomance ya juu sio kweli kwani aliajiri watu wengi wa kabila lake na ndugu zake.
Mkuu unaonyesha wazi kwamba una-attack personality na sio hoja. Na kama una hoja can you plz summarize hoja yako maana unazungumza zungumza kama wale wanawake wa mipasho. Ukijibiwa hili unazusha lile, na ni kama vile unatafuta sympathy kutoka watu fulani humu JF and all of them in vague formality. Kuhusu suala la kiingereza unachokiita kizungu nadhani hufahamu taratibu za JF, lugha zote hizi i.e kiswahiLi na kiingereza ruksa na kama hufahamu kati ya lugha mojawapo omba utafsiriwe or else kaa kimya......... All in all your arguments are not constructive and it is people like you ambao mnaifanya au kustawisha Tanzania iwe kama ilivyo sasa.