Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,135
Mkuu alimaanisha Maprofesa kama Maji MarefuYule mzee Safari siyo profesa?
Mkuu alimaanisha Maprofesa kama Maji MarefuYule mzee Safari siyo profesa?
maprof. si watendaji ni watu wa vitabu zaidi na maisha si vitabu perceeMaprofesa ni watu makini wanaopenda vyama makini.CUF ina mwanachama mmoja tu ambaye ni Profesa naye ni Profesa Lipumba ingawa si full profesa.CHADEMA pia kina mwanachama mmoja tu ambaye ni profesa naye ni Profesa BAREGU.
CCM ina maprofesa kibao list yao haitoshi kujaza jamii forums.
Maprofesa baada ya kutafakari kwa kina naona wamegundua ubabaishaji kwenye hivyo vyama.
Kukosa maprofesa wengi kwenye chama kuna madhara makubwa.Mojawapo ni hili la meya wa Dar es salaam ambaye ni meya pia wa kusimamia vyuo vikuu kama Dar es salaam.
Kwa mara ya kwanza toka tanzania ipate uhuru Dar es salaam imepata meya mwenye kiwango kidogo cha elimu kuliko meya yoyote aliyewahi kuweko dar es salaam.Ni aibu kwa CHADEMA
Naomba unitajie professor mmoja tu anaishika nyadhifa yeyote ndani ya CCM :zingatia kwamba Rais wa nchi ana nafasi yakuchagua maprofessor katika uongozi ila haina mana kwamba ni viongozi wa CCM ndio mana unaona maprofessor wengi katika uongozi wa nchi na si uongozi wa Chama.Tofautisha utumishi wa umma na chama .Chadema nayo ingeshika madaraka ingefanya hivyo hivyo kuteua maprofessor kua mawaziri makatibu wakuu,wakuu wa mikoa nakadhalika.Rudi ukajifunze tena.Na uje na Jibu ni professor gani anaeshika nyadhifa ya uongozi ndani ya chama cha mapinduzi.Maprofesa ni watu makini wanaopenda vyama makini.CUF ina mwanachama mmoja tu ambaye ni Profesa naye ni Profesa Lipumba ingawa si full profesa.CHADEMA pia kina mwanachama mmoja tu ambaye ni profesa naye ni Profesa BAREGU.
CCM ina maprofesa kibao list yao haitoshi kujaza jamii forums.
Maprofesa baada ya kutafakari kwa kina naona wamegundua ubabaishaji kwenye hivyo vyama.
Kukosa maprofesa wengi kwenye chama kuna madhara makubwa.Mojawapo ni hili la meya wa Dar es salaam ambaye ni meya pia wa kusimamia vyuo vikuu kama Dar es salaam.
Kwa mara ya kwanza toka tanzania ipate uhuru Dar es salaam imepata meya mwenye kiwango kidogo cha elimu kuliko meya yoyote aliyewahi kuweko dar es salaam.Ni aibu kwa CHADEMA
Kula [emoji106] mkuuNaomba unitajie professor mmoja tu anaishika nyadhifa yeyote ndani ya CCM :zingatia kwamba Rais wa nchi ana nafasi yakuchagua maprofessor katika uongozi ila haina mana kwamba ni viongozi wa CCM ndio mana unaona maprofessor wengi katika uongozi wa nchi na si uongozi wa Chama.Tofautisha utumishi wa umma na chama .Chadema nayo ingeshika madaraka ingefanya hivyo hivyo kuteua maprofessor kua mawaziri makatibu wakuu,wakuu wa mikoa nakadhalika.Rudi ukajifunze tena.Na uje na Jibu ni professor gani anaeshika nyadhifa ya uongozi ndani ya chama cha mapinduzi.
Kichwa kikishajaa utoko ni ngumu sana kupambanua mambo! Ni professor gani makini atashabikia utumbo wa ccm? Akina Banna ndo unaringia hao?Ni associate proffesor sio profesa ila wengi hupenda kumwita profesa
Maprofesa ni watu makini wanaopenda vyama makini.CUF ina mwanachama mmoja tu ambaye ni Profesa naye ni Profesa Lipumba ingawa si full profesa.CHADEMA pia kina mwanachama mmoja tu ambaye ni profesa naye ni Profesa BAREGU.
CCM ina maprofesa kibao list yao haitoshi kujaza JamiiForums.
Maprofesa baada ya kutafakari kwa kina naona wamegundua ubabaishaji kwenye hivyo vyama.
Kukosa maprofesa wengi kwenye chama kuna madhara makubwa.Mojawapo ni hili la meya wa Dar es salaam ambaye ni meya pia wa kusimamia vyuo vikuu kama Dar es salaam.
Kwa mara ya kwanza toka tanzania ipate uhuru Dar es salaam imepata meya mwenye kiwango kidogo cha elimu kuliko meya yoyote aliyewahi kuweko dar es salaam.Ni aibu kwa CHADEMA.
Wapo likizo sasa!Teheteheee....
Kijana umefanya assignment au unahangaika huku kwenye social media tu!