DulleShaibu
Member
- Jun 5, 2015
- 98
- 14
Mtoa mada yupo kisiasa zaidi maana hana data za kweli CDM prof mmoja??!!!!!
Maprofesa ni watu makini wanaopenda vyama makini.CUF ina mwanachama mmoja tu ambaye ni Profesa naye ni Profesa Lipumba ingawa si full profesa.CHADEMA pia kina mwanachama mmoja tu ambaye ni profesa naye ni Profesa BAREGU.
CCM ina maprofesa kibao list yao haitoshi kujaza JamiiForums.
Maprofesa baada ya kutafakari kwa kina naona wamegundua ubabaishaji kwenye hivyo vyama.
Kukosa maprofesa wengi kwenye chama kuna madhara makubwa.Mojawapo ni hili la meya wa Dar es salaam ambaye ni meya pia wa kusimamia vyuo vikuu kama Dar es salaam.
Kwa mara ya kwanza toka tanzania ipate uhuru Dar es salaam imepata meya mwenye kiwango kidogo cha elimu kuliko meya yoyote aliyewahi kuweko dar es salaam.Ni aibu kwa CHADEMA.
Tofauti ni NINI? je, ulisha wahi sikia "Associate Professor", kama Kitila kwa mfano, akitajwa kuwa Associate Professor Fulani? Ukisha fikia ngazi hii (Profesa mshiriki),TAYARI UMESHAKUWA Profesa!.....Ni associate proffesor sio profesa ila wengi hupenda kumwita profesa
Tofauti ni NINI? je, ulisha wahi sikia "Associate Professor", kama Kitila kwa mfano, akitajwa kuwa Associate Professor Fulani? Ukisha fikia ngazi hii (Profesa mshiriki),TAYARI UMESHAKUWA Profesa!.....
Maprofesa ni watu makini wanaopenda vyama makini.CUF ina mwanachama mmoja tu ambaye ni Profesa naye ni Profesa Lipumba ingawa si full profesa.CHADEMA pia kina mwanachama mmoja tu ambaye ni profesa naye ni Profesa BAREGU.
CCM ina maprofesa kibao list yao haitoshi kujaza JamiiForums.
Maprofesa baada ya kutafakari kwa kina naona wamegundua ubabaishaji kwenye hivyo vyama.
Kukosa maprofesa wengi kwenye chama kuna madhara makubwa.Mojawapo ni hili la meya wa Dar es salaam ambaye ni meya pia wa kusimamia vyuo vikuu kama Dar es salaam.
Kwa mara ya kwanza toka tanzania ipate uhuru Dar es salaam imepata meya mwenye kiwango kidogo cha elimu kuliko meya yoyote aliyewahi kuweko dar es salaam.Ni aibu kwa CHADEMA.
Yaani umekaa mwenyewe ukatafuta topic ya kuandika na ukaamua kuandika huu ujinga?Maprofesa ni watu makini wanaopenda vyama makini.CUF ina mwanachama mmoja tu ambaye ni Profesa naye ni Profesa Lipumba ingawa si full profesa.CHADEMA pia kina mwanachama mmoja tu ambaye ni profesa naye ni Profesa BAREGU.
CCM ina maprofesa kibao list yao haitoshi kujaza JamiiForums.
Maprofesa baada ya kutafakari kwa kina naona wamegundua ubabaishaji kwenye hivyo vyama.
Kukosa maprofesa wengi kwenye chama kuna madhara makubwa.Mojawapo ni hili la meya wa Dar es salaam ambaye ni meya pia wa kusimamia vyuo vikuu kama Dar es salaam.
Kwa mara ya kwanza toka tanzania ipate uhuru Dar es salaam imepata meya mwenye kiwango kidogo cha elimu kuliko meya yoyote aliyewahi kuweko dar es salaam.Ni aibu kwa CHADEMA.
sawa tunajua ukianza kuwataja kina profesa maji marefu hawataweza jaa hapa jamii forum....mna hasira za kupokwa jiji nona jinc mlivyopanic..polen sana na tutawafukuza mijini kote muende mkatawale vijijini huko na uprofesa wenuMaprofesa ni watu makini wanaopenda vyama makini.CUF ina mwanachama mmoja tu ambaye ni Profesa naye ni Profesa Lipumba ingawa si full profesa.CHADEMA pia kina mwanachama mmoja tu ambaye ni profesa naye ni Profesa BAREGU.
CCM ina maprofesa kibao list yao haitoshi kujaza JamiiForums.
Maprofesa baada ya kutafakari kwa kina naona wamegundua ubabaishaji kwenye hivyo vyama.
Kukosa maprofesa wengi kwenye chama kuna madhara makubwa.Mojawapo ni hili la meya wa Dar es salaam ambaye ni meya pia wa kusimamia vyuo vikuu kama Dar es salaam.
Kwa mara ya kwanza toka tanzania ipate uhuru Dar es salaam imepata meya mwenye kiwango kidogo cha elimu kuliko meya yoyote aliyewahi kuweko dar es salaam.Ni aibu kwa CHADEMA.
so associate professor c professor?Lipumba ni ASSOCIATE PROFFESSOR hajawahi kuwa Professor.Assosiate Professor ni cheo cha chini ya Proffessor.Ukitoka kuwa associate proffessor ndio unapanda na unakuwa profesa.
Uswahilini ndi wanamjua kuwa ni Professor.