YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,900
- 52,054
- Thread starter
- #101
..Ni kama katika Kanisa katoliki la Kiroma, Askofu msaidizi HUITWA Askofu. Mthodious Kilaini, kwa mfano ni Askofu M. Kilaini. (Hapa naamanisha as a SALUTATION TITLE)...... Sawasawa?
Yaani uwongo hadi makanisani.Askofu msaidizi anaitwa ASKOFU?
Ilitakiwa aitwe Askofu Msaidizi Method Kilaini ili dunia nzima ijue wakiwemo washomile wa Bukoba wajue kuwa huyo ni Askofu msaidizi siyo askofu.
Hivi ukianza kusema mheshimiwa askofu msaidizi kilaini unakuwa umekosea nini au umetenda dhambi ipi ya mauti? Kumwita askofu msaidizi, Askofu ni kutenda dhambi ya uongo.Unakuwa umevunja amri ya mungu inayosema USISEME UONGO.