CUF na CHADEMA kwa wagombea hawa, upinzani mtaishia kunawa tu, kula hamtakula kamwe

Nimemsikiliza Tundu Lisu katika clip fulani akihojiwa na mwandishi wa MWANANCHI communication, eti anasema Lipumba na CUF yake wapo ili kuhakikisha Maalim Seif hagombei urais mwaka 2020, kwasababu serikali itagoma kuitambua CUF ya Maalimu

Nimeshtushwa sana na statement hii ya Tundulisu, kwanza nimeshangaa kwa kijana machachari na mwenye vision kama Tundu Lisu kuamini kuwa bado Maalimu anafaa kugombea Urais tena 2020.

Maalim na Lowasa muda wao umeshapita, wamechoka kisiasa, pia hata kiumri, na hawana nguvu tena ya mapambano haya yanayoendelea katika siasa za sasa. Wangefaa sana kuwa washauri katika uchaguzi ujao na kuwapisha vijana kama kina Jusa, Lisu mwenyewe, na wengineo.

Wakati CCM wakiwaandaa wakina Mwiguru, January, Kigwangala, Polepole, nyie bado mnahubiri kuwasimamisha wazee walioanza kugombea tangu 1995, miaka 20 imepita tangu LOWASA na MAALIM wameanza harakati za Urais, na 2020 watakuwa wanatimiza miaka 25 ya FAILURE , kwanini bado kijana kama LISU anaamini hawa wananguvu na uwezo wa kuvusha jahazi la UPINZANI lililowashinda 25 years all along.

Nilitegemea LISU kwa nguvu ileile ya mabadiliko katika TLS aamshe mabadiliko katika kuchagua wagombea vijana, wenyenguvu na mvuto, cha kushangaza anahubiri habari ya MAALIMU 2020, seriously

Kwa wagombea hawa, upinzani mtaishia kunawa tu, kula hamtakula kamwe
Bora wazee kuliko kijana aina ya Bashite.
 
Mpeni maalimu seif ushindi wake mliompora, mbona mnatufanya watanzania hatuna akili, shein tunamdharau
Kwa maelezo ya Mzee nasoro moyo, maalim Seif alishinda uchaguzi wa 2010 lakini akakubali kupozwa kwa kiasi kikubwa cha pesa. Kama aliuza ushindi mwaka ule, aweza kuuza chochote. Hapaswi kuaminiwa huyu. Apishe wengine.
 
huyo LOWASA mbona alishajitangaza ye mwenyewe kitambo sana mkuu,

abu fikiria hawa watu wameanza harakati mwaka 1995, hivi unategemea nini kipya au mabadiliko gani kutoka kwao mwaka 2020???

seriously,
Kwa hiyo utaratibu wa kuwa mgombea Siku hizi ni ukishajitangaza tu kugombea ndio umeshapitishwa kwenye chama chako!?. Acha kujishushia heshima basi ndugu!!
 
Nimemsikiliza Tundu Lisu katika clip fulani akihojiwa na mwandishi wa MWANANCHI communication, eti anasema Lipumba na CUF yake wapo ili kuhakikisha Maalim Seif hagombei urais mwaka 2020, kwasababu serikali itagoma kuitambua CUF ya Maalimu

Nimeshtushwa sana na statement hii ya Tundulisu, kwanza nimeshangaa kwa kijana machachari na mwenye vision kama Tundu Lisu kuamini kuwa bado Maalimu anafaa kugombea Urais tena 2020.

Maalim na Lowasa muda wao umeshapita, wamechoka kisiasa, pia hata kiumri, na hawana nguvu tena ya mapambano haya yanayoendelea katika siasa za sasa. Wangefaa sana kuwa washauri katika uchaguzi ujao na kuwapisha vijana kama kina Jusa, Lisu mwenyewe, na wengineo.

Wakati CCM wakiwaandaa wakina Mwiguru, January, Kigwangala, Polepole, nyie bado mnahubiri kuwasimamisha wazee walioanza kugombea tangu 1995, miaka 20 imepita tangu LOWASA na MAALIM wameanza harakati za Urais, na 2020 watakuwa wanatimiza miaka 25 ya FAILURE , kwanini bado kijana kama LISU anaamini hawa wananguvu na uwezo wa kuvusha jahazi la UPINZANI lililowashinda 25 years all along.

Nilitegemea LISU kwa nguvu ileile ya mabadiliko katika TLS aamshe mabadiliko katika kuchagua wagombea vijana, wenyenguvu na mvuto, cha kushangaza anahubiri habari ya MAALIMU 2020, seriously

Kwa wagombea hawa, upinzani mtaishia kunawa tu, kula hamtakula kamwe
Wanaofahamu kama Lowassa na Maalim Seif wamechoka ni Wake zao, sijui nawe ni mmoja kati yao? Au mchepuko?

Alichokisema Lissu ni ukweli mchungu kwenu, purukushani zote za Lipumba na Waliomtuma ni kuhakikisha Seif hana pa kushika ili asidai haki yake na pia 2020 asigombee, ndiye tishio pekee kwa wapuuzi wa Zanzibar!
 
Nimemsikiliza Tundu Lisu katika clip fulani akihojiwa na mwandishi wa MWANANCHI communication, eti anasema Lipumba na CUF yake wapo ili kuhakikisha Maalim Seif hagombei urais mwaka 2020, kwasababu serikali itagoma kuitambua CUF ya Maalimu

Nimeshtushwa sana na statement hii ya Tundulisu, kwanza nimeshangaa kwa kijana machachari na mwenye vision kama Tundu Lisu kuamini kuwa bado Maalimu anafaa kugombea Urais tena 2020.

Maalim na Lowasa muda wao umeshapita, wamechoka kisiasa, pia hata kiumri, na hawana nguvu tena ya mapambano haya yanayoendelea katika siasa za sasa. Wangefaa sana kuwa washauri katika uchaguzi ujao na kuwapisha vijana kama kina Jusa, Lisu mwenyewe, na wengineo.

Wakati CCM wakiwaandaa wakina Mwiguru, January, Kigwangala, Polepole, nyie bado mnahubiri kuwasimamisha wazee walioanza kugombea tangu 1995, miaka 20 imepita tangu LOWASA na MAALIM wameanza harakati za Urais, na 2020 watakuwa wanatimiza miaka 25 ya FAILURE , kwanini bado kijana kama LISU anaamini hawa wananguvu na uwezo wa kuvusha jahazi la UPINZANI lililowashinda 25 years all along.

Nilitegemea LISU kwa nguvu ileile ya mabadiliko katika TLS aamshe mabadiliko katika kuchagua wagombea vijana, wenyenguvu na mvuto, cha kushangaza anahubiri habari ya MAALIMU 2020, seriously

Kwa wagombea hawa, upinzani mtaishia kunawa tu, kula hamtakula kamwe
Tupe facts sio maneno matupu! "Acha maneno weka music"
 
CUF UKAWA kule Zanzibar ilikula ikafurutuada na ikavimbiwa. Lioliotokea alioachiwa sahani nyeupe ALIAMUA KUCHUKUA MTUTU KUWALAZIMISHE WATAPIKE SHIBE ILI WALE MATAPISHI. CCM NDIO ILIVYOFANYA ZANZIBAR
 
Ndugu songoka, umezungumzia jambo la ukweli na la uhakika, hao wazee wametuchosha. Its time they became king makers NA wasituchagulie watoto wao.

Wakifanya hivyo wataweza kuleta mabadiliko
 
Povu jingi utumbo mtupu kichwani. Kama akili ni yako hii hiyo vision ya Tundu Lisu umeipima na nini?
Hiyo nguvu ya mapambano unayozungumzi iliyowaishia Lowasa na Maalim Seif ni ya kubeba mawe?
Waulize hao vijana uliowataja wanaoandaliwa ni nini walikutananacho ktk uchaguzi mkuu uliopita watakijibu na sijui kama utaelewa maana akili zako ni za kuzibia pacha tu.
 
Kama Maalimu amaechoka na hachaguliki tena, mbona hiyo CCM yako haijawahi kumshinda huyo Maalimu aliyechoka katika uchaguzi mkuu?. Au unajitia upofu na upumbuvau kujifanya kwamba umedondoka leo kutoka sayari ya Mars na hufahamu yaliyojiri huko Zanzibar? Shame on your buttocks!
 
Nilitegemea LISU kwa nguvu ileile ya mabadiliko katika TLS aamshe mabadiliko katika kuchagua wagombea vijana, wenyenguvu na mvuto, cha kushangaza anahubiri habari ya MAALIMU 2020, seriously
Ukitaka Lisu afukuzwe upinzani, afikiri tofauti na Kina Mbowe.. Wanakua na akili pale wanapoikosoa CCM tu.. Ila wakirudi katika vyama vyao akili inapotea.. Sijui Mbowe anatumia uchawi gani
 
Povu jingi utumbo mtupu kichwani. Kama akili ni yako hii hiyo vision ya Tundu Lisu umeipima na nini?
Hiyo nguvu ya mapambano unayozungumzi iliyowaishia Lowasa na Maalim Seif ni ya kubeba mawe?
Waulize hao vijana uliowataja wanaoandaliwa ni nini walikutananacho ktk uchaguzi mkuu uliopita watakijibu na sijui kama utaelewa maana akili zako ni za kuzibia pacha tu.
watu kama nyie ndo mnfanya tanzania inakuwa tajiri kiasi cha kutoa misaada kwa marekani na ulaya, hongera mkuu
 
Nimemsikiliza Tundu Lisu katika clip fulani akihojiwa na mwandishi wa MWANANCHI communication, eti anasema Lipumba na CUF yake wapo ili kuhakikisha Maalim Seif hagombei urais mwaka 2020, kwasababu serikali itagoma kuitambua CUF ya Maalimu

Nimeshtushwa sana na statement hii ya Tundulisu, kwanza nimeshangaa kwa kijana machachari na mwenye vision kama Tundu Lisu kuamini kuwa bado Maalimu anafaa kugombea Urais tena 2020.

Maalim na Lowasa muda wao umeshapita, wamechoka kisiasa, pia hata kiumri, na hawana nguvu tena ya mapambano haya yanayoendelea katika siasa za sasa. Wangefaa sana kuwa washauri katika uchaguzi ujao na kuwapisha vijana kama kina Jusa, Lisu mwenyewe, na wengineo.

Wakati CCM wakiwaandaa wakina Mwiguru, January, Kigwangala, Polepole, nyie bado mnahubiri kuwasimamisha wazee walioanza kugombea tangu 1995, miaka 20 imepita tangu LOWASA na MAALIM wameanza harakati za Urais, na 2020 watakuwa wanatimiza miaka 25 ya FAILURE , kwanini bado kijana kama LISU anaamini hawa wananguvu na uwezo wa kuvusha jahazi la UPINZANI lililowashinda 25 years all along.

Nilitegemea LISU kwa nguvu ileile ya mabadiliko katika TLS aamshe mabadiliko katika kuchagua wagombea vijana, wenyenguvu na mvuto, cha kushangaza anahubiri habari ya MAALIMU 2020, seriously

Kwa wagombea hawa, upinzani mtaishia kunawa tu, kula hamtakula kamwe
Kwakuwa una akili za kibashite utaona hivyo, lazimisha kuamsha ubongo wako na jiulize kwanini shetani jecha alifuta uchaguzi? Teuzi kwani bado zipo? mshaambiwa mfanye kazi msitegemee kitonga
 
Nimemsikiliza Tundu Lisu katika clip fulani akihojiwa na mwandishi wa MWANANCHI communication, eti anasema Lipumba na CUF yake wapo ili kuhakikisha Maalim Seif hagombei urais mwaka 2020, kwasababu serikali itagoma kuitambua CUF ya Maalimu

Nimeshtushwa sana na statement hii ya Tundulisu, kwanza nimeshangaa kwa kijana machachari na mwenye vision kama Tundu Lisu kuamini kuwa bado Maalimu anafaa kugombea Urais tena 2020.

Maalim na Lowasa muda wao umeshapita, wamechoka kisiasa, pia hata kiumri, na hawana nguvu tena ya mapambano haya yanayoendelea katika siasa za sasa. Wangefaa sana kuwa washauri katika uchaguzi ujao na kuwapisha vijana kama kina Jusa, Lisu mwenyewe, na wengineo.

Wakati CCM wakiwaandaa wakina Mwiguru, January, Kigwangala, Polepole, nyie bado mnahubiri kuwasimamisha wazee walioanza kugombea tangu 1995, miaka 20 imepita tangu LOWASA na MAALIM wameanza harakati za Urais, na 2020 watakuwa wanatimiza miaka 25 ya FAILURE , kwanini bado kijana kama LISU anaamini hawa wananguvu na uwezo wa kuvusha jahazi la UPINZANI lililowashinda 25 years all along.

Nilitegemea LISU kwa nguvu ileile ya mabadiliko katika TLS aamshe mabadiliko katika kuchagua wagombea vijana, wenyenguvu na mvuto, cha kushangaza anahubiri habari ya MAALIMU 2020, seriously

Kwa wagombea hawa, upinzani mtaishia kunawa tu, kula hamtakula kamwe
Lissu bado ni kijana? Atazeeka lini?
 
Back
Top Bottom