SONGOKA
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 1,841
- 1,843
Nimemsikiliza Tundu Lisu katika clip fulani akihojiwa na mwandishi wa MWANANCHI communication, eti anasema Lipumba na CUF yake wapo ili kuhakikisha Maalim Seif hagombei urais mwaka 2020, kwasababu serikali itagoma kuitambua CUF ya Maalimu
Nimeshtushwa sana na statement hii ya Tundulisu, kwanza nimeshangaa kwa kijana machachari na mwenye vision kama Tundu Lisu kuamini kuwa bado Maalimu anafaa kugombea Urais tena 2020.
Maalim na Lowasa muda wao umeshapita, wamechoka kisiasa, pia hata kiumri, na hawana nguvu tena ya mapambano haya yanayoendelea katika siasa za sasa. Wangefaa sana kuwa washauri katika uchaguzi ujao na kuwapisha vijana kama kina Jusa, Lisu mwenyewe, na wengineo.
Wakati CCM wakiwaandaa wakina Mwiguru, January, Kigwangala, Polepole, nyie bado mnahubiri kuwasimamisha wazee walioanza kugombea tangu 1995, miaka 20 imepita tangu LOWASA na MAALIM wameanza harakati za Urais, na 2020 watakuwa wanatimiza miaka 25 ya FAILURE , kwanini bado kijana kama LISU anaamini hawa wananguvu na uwezo wa kuvusha jahazi la UPINZANI lililowashinda 25 years all along.
Nilitegemea LISU kwa nguvu ileile ya mabadiliko katika TLS aamshe mabadiliko katika kuchagua wagombea vijana, wenyenguvu na mvuto, cha kushangaza anahubiri habari ya MAALIMU 2020, seriously
Kwa wagombea hawa, upinzani mtaishia kunawa tu, kula hamtakula kamwe