CUF, Kwanini kuleta Mdahalo Bara badala ya Zanzibar?

Mleta thread amepanic.
Tulieni sindano ziwaingie vizuri.
Hapa Othman pale Fatma Karume.
 
Acha mihemuko. Ni wapi nilipofanya ubaguzi katika post yangu. Ni wapi nimewazuia Wazanzibari kuja ubungo?

Nimesema wazi kuwa kwa maoni yangu, midahalo hii na makongamano haya yangekuwa na manufaa zaidi kwa watu wa zanzibar endapo yangefanyika huko Zanzibar na Wazanzibari wapate nafasi ya kuashiriki, kujadili na kuamua mustakabali wao.

Ni wazi kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar kuwa watu wa bara hawawezi wachagulia viongozi wala kuingilia michakato yao ya uchaguzi chini ya ZEC. Walijiamulia Wazanzibari na tunawaheshimu kwa uamuzi wao.

Sasa, (kwa akili ya kawaida kabisa isiyochafuliwa na viroba), ni vema na manufaa zaidi mambo haya yakafanyika ndani ya Zanzibar zaidi ya mahala pengine popote pale duniani.

Hebu tujuze, ni makomgamano mangapi yamefanyika Zanzibar kwa lengo la kuwashirikisha wananchi kujadili mustakabali wao baada ya kupigwa 'kitu' na Jecha? Kama haya mambo hayafanyiki Zanzibar, kuyafanyia Ubungo ni mbwembwe na kutafuta kiki.
Usiji vue ufaham ,, faham zanzibar ni sehem ya Tanzania funga mdomo wako...acha ubaguzi kama makaburu
 
Othman Masoud umeamua kuwa kibaraka wa cuf???? Tunakusubiri kwa hamu kesho kwenda kukuona unavyongangania kula matapishi yako.
Maskini Balahau umejisahau kama wewe ulikuwa DPP wa SMZ, ukawa AG wa SMZ na mshauri wa karibu wa Rais wa Zanzibar masuala ya sheria. Lakini ulianza kuonyesha rangi zako wakati wa mchakato wa katiba. Tangu wakati ule tunakujua X AG hukuwa muadilifu. Ulitumia cheo chako kupata momentum ya kisiasa na ma cuf wenzioo. Tulikujua mapema lkn maskini Dr Shein alifunikwa pazia la mahaba hadi ulipomchosha kwa uzuzu wako ndani ya Bunge la Katiba. Akakutimua kazi. Tangu kipindi kile ulichotimuliwa tunasikia hata akili zako zimepungua Othman Masoud, huko stable kabisa, kwasababu hukutegemea panga lile na hata lilipokukuta hukutegemea kwa kiburi chako cha kipemba kama utakuwa na utabakia fala hadi leo.
Sisi tulijua una akili kaka kumbe ndio yule yule Othman wa kuburuzwa na ma cuf. Tunakusubiri kesho kwenye mdahalo. Tunashangaa unakwneda kufanya mdahalo wakati wewe si Mwanachama wa TLS. Hukuwa na hukuwa na hamu ya kuomba uanachama kwasababu ya chuki zako dhidi ya Muungano wa Tanzania. wewe tangu awali si muumini wa Muungano huu. na hata ulipokuwa unasoma ulikuwa michango yako darasani ni ku criticize muungano huu. Sasa leo Tanganyika Law Society wanamualika mtu kama wewe kutoa mada ambae huna imani na Muungano. X AG usie na imani na Watanzania wenzio. Unapigania nchi igawanyike. Ndiowewe uliekuwa unaongoza kupotosha Baraza la Wawakilisho kwa kusema kwamba Tanzania Bara inainyinya Zanzibar. Zanzjbar haifaidiki katika Muungano huu na kheri ijitoe. Sasa mdahalo kwanini ukakubali kuufanyia Bara badala ya Zanzibar???? Ungefanyia Zanzibar tena hasa Pemba maana wapemba wenzio hawajawahi kuona midahalo kama hiyo. Ukawaelimishe wakuelewe Balahau.
Bi Fatma Karume na wewe wote mnatumika kwa cuf. Mnashabikia maalim seif. ni washauri wake wa kisheria na kesho mnakwenda kwenye mdahalo kama wawakilishi wa cuf si ndio Baba?? Mungu atakusaidia mjomba na huyo Kazuzu mwezio Fatma Karume.
Tumejipanga na tumejikoki tunakuja na zana kamili. kwasababu tunaelewa kutumika kwenu kesho ni kwa ajili ya propaganda ya cuf.
Tena kaka Othman Hongera kwa kumshauri Maalim Seif arudie uchaguzi na kumuahidi utamsaidia kumpigia debe kwa style za uamsho hahahahhahahaaaa balahau wachekesha. Enzi za Uamsho na style za uamsho zimeisha. Ukiteleza utaishia keko na kesho tunakuja na pingu zetu ukumbini. Ukibugi kumtukana kiongozi wetu muadham Magufuli au Dr Shein basi huendi Segerea. Tutakupeleka kwa Museven na huyo Wakili Safura Fatma Karume.
Bi Fatma zile ardhi za watu ulizozipora kesho usisahau kuzigusia kwenye mada yako tafadhali. Kuanzia ardhi ya Bw Sharif wa Dimani na Kanisa la Mbweni. ambayo haya Baba yako alikukingia kifua na zile dramas za media. Haaaaa umezidi hadi ardhi ya kanisa umeiba halafu unajiita msafi wa kujua mapungufu ya uchaguzi na matokeo yake wakati wewe mwenyewe Fatma Karume unanuka uvundo wa wizi wa Ardhi.
Ama kweli vituko hivi ni Tanzania tu.
Tuonane kesho ukumbini wapiganaji.
Othaman Masoud ushauri wa bure japo hupendi Muungano wa Tanzania kesho omba basi Uanachama wa TLS tafadhali walau ujulikane kama popo au ndege.

umeandika gazeti Ila shudu tupu
 
Ume Panic

1. Fatma Karume umemuita Kaka
2. Nani kakwambia kuwa TLS wana Support Muungano wenu wa Kiini Macho ?
3. CUF inaingiaje hapa ?Mkutano si umeitishwa na TLS na wamealika watu,Why attacking waalikwa badala ya Waalikaji ?
4. Kwa hiyo kuwa AG ni dhambi kuwa mwana CUF ?Mbona Dr Tulia wenu alikuwa kada wa CCM ?

=========
Jitokeze leo pale Blue Pearl utoe hoja zako sio kuja huku kulia lia
 
Ninaamini kuwa, ingekuwa na manufaa makubwa zaidi kwa watu wa zanzibar kufanya hii midahalo, makongamano na majadiliano ya mustakabali wa uchaguzi na nchi yao ndani ya Zanzibar.
Ingeleta maana zaidi na madhubuti kama Wazanzibari wangeshiriki makongamano kama haya.
Kwa nini Fatma na CUF wasiyafanye haya Zanzibar?
Hata Jussa huchepukia bara mara kwa mara kwa mambo yanayohusu Zanzibar.

hivi nyie maccm mnaweza mkaruhusu watu kufanya mkusanyiko kweli huko Zanzibar? mngewazuia kwa kigezo cha interejensia sijui imeona bla bla bla
 
Hivi Hii Ni Nayo Post Ya Kuleta Jf Kwa Wanajamvi!!!!!!??? Pumba, Matusi, Kashfa, Dharau, Ubaguzi Wa MAENEO (UPEMBA& UUNGUJA)!! Kikubwa Umeonyesha Ni Jinsi Ambavyo Ww Na Waliokutuma Mnavyojaribu Kuficha Ukweli Wa Kinachojiri Zenji Kwa Miaka Yote!! Kwa Kuhisi Hao WANASHERIA Watakuja KUWAVUA Nguo Na Ubaguzi, Unafiki, Fitina Na Dharau Zenu Kwa Ndugu Zenu!! KWANI Hilo Sasa Hivi Liko HADHARANI!!! KAMA Kweli Mmejipanga Kuja Na Nondo Zenu, Sasa Hayo Matusi Ya Nini!!? Si Mje Kujenga Na Kujibu HOJA!!! PIA Kufanyika Kwa Midahalo Huo Huku Bara, Imekuwa Ni Tatizo Kwenu, Eti KWANINI Usifanyike Visiwani Kwenu, Tena Sio Unguja Ni Pemba!!! HAPO Hapo Unajifanya Ni MUUMINI Wa Muungano!!!!!! JE. Bara Sio Sehemu Ya Huo Muungano Unaojipambanua Kuthamini!!!!!?? Na Zenji Sio Unguja Na Pemba!! BALI Kuna Pemba Na Wapemba Na Unguja Na Waunguja!! ALAFU Mnajinasibu Ni Ni Waumini Wa MUUNGANO!!!!!! SIO Kweli Ww Na Wenzio Ni WABAGUZI WAKUBWA!! Na Hivi Sasa Mnaowabagua Wameshajitambua, Sasa Mtulie Tu Na Mkubali Matokeo!!! La Kusema Eti Othuman Masoud Ndiye Anamshawishi Mh. Maalim Seif Kuikubali Hoja Ya CCM Na JECHA Ya Kurejea UCHAGUZI, Sio Kweli Kama Sio UONGO MTAKATIFU!!! HADI Leo CUF Hawajatoa Tamko Lao Na Vikao Vya Kutoa Matamko Kuhusu UCHAGUZI Huo, Vitaanza 27 Na 28!!!! SIJUI Kama Umetoa Utabiri Au Kujaribu Kutaka Kuwapotosha WATU!!!!! NADHANI UZI Za Aina Hii Zenye Kujenga CHUKI Na UHASAMA Ziwe Zinapigwa Ban Mapema Saana!!!!
 
Ume Panic

1. Fatma Karume umemuita Kaka
2. Nani kakwambia kuwa TLS wana Support Muungano wenu wa Kiini Macho ?
3. CUF inaingiaje hapa ?Mkutano si umeitishwa na TLS na wamealika watu,Why attacking waalikwa badala ya Waalikaji ?
4. Kwa hiyo kuwa AG ni dhambi kuwa mwana CUF ?Mbona Dr Tulia wenu alikuwa kada wa CCM ?

=========
Jitokeze leo pale Blue Pearl utoe hoja zako sio kuja huku kulia lia
majibu mazuri hivi itakuwa saa ngap? na je tv gani itaonesha ? naomba uni PM kama utanisaidia jibu au yeyote mwenye jibu plz
 
Alifukuzwa kazi na koloni lenu la kupangwa TANGANYIKA na wala siyo SHEIN
 
Na mimi nauliza kwanini Rais wa Zanzibar kwa tiketi ya ccm huwa anachaguliwa Dodoma na sio Zanzibar?
 
Unapoamua kuwa mkweli na kutumia Taaluma yako kuelimisha watu unakuwa Kibaraka? Inaelekea linawatesa sana hili litakalofanywa na TLS pale Ubungo Plaza! TLS wana Haki ya kumuita hata Donald Trump kuja kuelezea anachokifahamu kuhusu jambo husika. Mbona hukuwahi kuhoji Bunge Maalumu la Katiba kuwaalika kina Prof. Lumumba toka Kenya kuja kujadili mambo ya Tanzania? Othman ni Mwanasheria, na Mzanzibari kama alivyo Shein na wengine. Katiba zote mbili zinampa Freedom of Speech n Expression, na Freedom of Movement. Ndicho anachotekeleza. He was Honesty kwenye kura za Bunge la Katiba,hakuwa Mnafiki kama kina Kificho waliotoka Zanzibar na Msimamo mmoja kufika Dodoma wakaufyata. Aliietendea Haki Nchi yake na Nafsi yake. Nauliza, mnachokiogopa ni nini kwa Othman na Fatma? Mmezoea kuishi maisha ya uongo na unafiki muda wote,You dont change,halafu muangaliwe tu? Mambo ya uozo wa Fatma kwenye Ardhi unaweza kwenda Mahakamani, ni suala la kisheria instead ya kuja kujamba hapa jukwaani. Tulieni Cristapen iwaingie Vizuri!
Hongera xn mkuu
 
Katika mambo ya muungano tuliyokubaliana Swala la uchaguzi wa Zanzibar si swala la muungano.Wakaliongelee kwao.
Kitu cha ajabu kuhusu hao Tanganyika Law SOCIETY maada walizoweka zitakuwa nne.Moja inaongelea uchaguzi Tanzania bara tatu zinaongelea uchaguzi wa Zanzibar!!!! yaani asilimia 75 ya mada zote zinahusu Zanzibar!!! Hiyo ni Tanganyika law Society au Zanzibar law society? Ningetarajia mada nyingi zingehusu Tanganyika!!! Lakini hakuna

Kuna mamulluki nahisi ndani ya TLS.Yaani Tanganyika law society imejivika joho la Zanzibar law society na kuitisha kongamano ili wazanzibari Wa ZANZIBAR LAW SOCIETY wasiokuwa na Mpango na muungano wapate platform

TLS WAMEAMUA KUWA PLATFORM YA KUSHAMBULIA UPANDE MWINGINE WA MUUNGANO KITU AMBACHO SI SAHIHI.

Binafsi hawa TANGANYIKA LAW SOCIETY WAMENICHEFUA KUITISHA MDAHALO WA UCHAGUZI WA NCHI NYINGINE HURU YA ZANZIBAR HUKO NI KUVUNJA KATIBA.HATIBA YA WANZANZIBARI HAIKO CHINI YA TANGANYIKA LAW SOCIETY IKO CHINI YA WAZANZIBARI WENYEWE.
 
Huyu kapaniki kabisa na anaonyesha ushamba wa madikteta aka Nkurunzinza kufosi mambo. Wanafikiri Zanzibar ni ya CCM peke yao maskini!!aibuuuu.
 
Kwa mujibu wa wazanzibari na katiba yao wanadai wao ni nchi.

Maalim Seif, Jussa na Othman (alokuwa mwanasheria mkuu) walikuwa mstari wa mbele kuidai hiyo nchi hadi wakaingilia vipengele vya katiba ya JMT.
Imefika hatua Zanzibar ni "nchi" kiasi kwamba rais wa JMT hawezi ingilia uchaguzi wa rais wa Zanzibar na wala NEC haihusiki kwa lolote na chaguzi za ZEC.

Ndo maana baada ya Jecha kufanya upupu wake, Maalim kakimbilia kwa JK.
JK akamwambia yakhe ya huko kwenu hayanihusu....ushasahau?...si ulininyang'anya..nitaongea na mkuu wa majeshi akufanyieni upole baasi...
Hiyo ndo Zanzibar. Jibu hilo ni kama alilopewa Tundu Lisu wakati anang'ania kuongezwa muda wa maswala ya Bunge la Katiba na kura ya maoni...Akaulizwa..Tundu we si ndo ulitoka mishipa ya shingo kukataa nisipewe haya mamlaka? Sasa leo wataka nivunje sheria yako mwenyewe?

Haya ndugu yangu hiyo ndo"nchi" ya Zanzibar..
Na Bulembo anahusikaje kwa ushauri wako
 
Othman Masoud umeamua kuwa kibaraka wa cuf???? Tunakusubiri kwa hamu kesho kwenda kukuona unavyongangania kula matapishi yako.
Maskini Balahau umejisahau kama wewe ulikuwa DPP wa SMZ, ukawa AG wa SMZ na mshauri wa karibu wa Rais wa Zanzibar masuala ya sheria. Lakini ulianza kuonyesha rangi zako wakati wa mchakato wa katiba. Tangu wakati ule tunakujua X AG hukuwa muadilifu. Ulitumia cheo chako kupata momentum ya kisiasa na ma cuf wenzioo. Tulikujua mapema lkn maskini Dr Shein alifunikwa pazia la mahaba hadi ulipomchosha kwa uzuzu wako ndani ya Bunge la Katiba. Akakutimua kazi. Tangu kipindi kile ulichotimuliwa tunasikia hata akili zako zimepungua Othman Masoud, huko stable kabisa, kwasababu hukutegemea panga lile na hata lilipokukuta hukutegemea kwa kiburi chako cha kipemba kama utakuwa na utabakia fala hadi leo.
Sisi tulijua una akili kaka kumbe ndio yule yule Othman wa kuburuzwa na ma cuf. Tunakusubiri kesho kwenye mdahalo. Tunashangaa unakwneda kufanya mdahalo wakati wewe si Mwanachama wa TLS. Hukuwa na hukuwa na hamu ya kuomba uanachama kwasababu ya chuki zako dhidi ya Muungano wa Tanzania. wewe tangu awali si muumini wa Muungano huu. na hata ulipokuwa unasoma ulikuwa michango yako darasani ni ku criticize muungano huu. Sasa leo Tanganyika Law Society wanamualika mtu kama wewe kutoa mada ambae huna imani na Muungano. X AG usie na imani na Watanzania wenzio. Unapigania nchi igawanyike. Ndiowewe uliekuwa unaongoza kupotosha Baraza la Wawakilisho kwa kusema kwamba Tanzania Bara inainyinya Zanzibar. Zanzjbar haifaidiki katika Muungano huu na kheri ijitoe. Sasa mdahalo kwanini ukakubali kuufanyia Bara badala ya Zanzibar???? Ungefanyia Zanzibar tena hasa Pemba maana wapemba wenzio hawajawahi kuona midahalo kama hiyo. Ukawaelimishe wakuelewe Balahau.
Bi Fatma Karume na wewe wote mnatumika kwa cuf. Mnashabikia maalim seif. ni washauri wake wa kisheria na kesho mnakwenda kwenye mdahalo kama wawakilishi wa cuf si ndio Baba?? Mungu atakusaidia mjomba na huyo Kazuzu mwezio Fatma Karume.
Tumejipanga na tumejikoki tunakuja na zana kamili. kwasababu tunaelewa kutumika kwenu kesho ni kwa ajili ya propaganda ya cuf.
Tena kaka Othman Hongera kwa kumshauri Maalim Seif arudie uchaguzi na kumuahidi utamsaidia kumpigia debe kwa style za uamsho hahahahhahahaaaa balahau wachekesha. Enzi za Uamsho na style za uamsho zimeisha. Ukiteleza utaishia keko na kesho tunakuja na pingu zetu ukumbini. Ukibugi kumtukana kiongozi wetu muadham Magufuli au Dr Shein basi huendi Segerea. Tutakupeleka kwa Museven na huyo Wakili Safura Fatma Karume.
Bi Fatma zile ardhi za watu ulizozipora kesho usisahau kuzigusia kwenye mada yako tafadhali. Kuanzia ardhi ya Bw Sharif wa Dimani na Kanisa la Mbweni. ambayo haya Baba yako alikukingia kifua na zile dramas za media. Haaaaa umezidi hadi ardhi ya kanisa umeiba halafu unajiita msafi wa kujua mapungufu ya uchaguzi na matokeo yake wakati wewe mwenyewe Fatma Karume unanuka uvundo wa wizi wa Ardhi.
Ama kweli vituko hivi ni Tanzania tu.
Tuonane kesho ukumbini wapiganaji.
Othaman Masoud ushauri wa bure japo hupendi Muungano wa Tanzania kesho omba basi Uanachama wa TLS tafadhali walau ujulikane kama popo au ndege.
Tuuuaaacheee propropaagaand!!!!!!!
 
Sio mdahalo wa pemba ni mdahalo wa zanzibar iliyo sehem ya jamuhumri ya watu wa Tanzania,,ila ubaguzi kwa wapemba hii dhambi hakika itaanza na ww.........Mungu atawalipa makuwad wote wa ubaguzi

wapemba wanajibagua wenyewe na wala hakuna mtu anawabagua.
 
Ume Panic

1. Fatma Karume umemuita Kaka
2. Nani kakwambia kuwa TLS wana Support Muungano wenu wa Kiini Macho ?
3. CUF inaingiaje hapa ?Mkutano si umeitishwa na TLS na wamealika watu,Why attacking waalikwa badala ya Waalikaji ?
4. Kwa hiyo kuwa AG ni dhambi kuwa mwana CUF ?Mbona Dr Tulia wenu alikuwa kada wa CCM ?

=========
Jitokeze leo pale Blue Pearl utoe hoja zako sio kuja huku kulia lia
Judge Ramadhani alikuwa CCM
 
Ucha uzuz nyie ccm ndo hii dhambi inawatafuna ,,kwa nn kila kitu wakifanya manasema wapemba?? Acheni ubaguz ccm

kama wabisha , tafuta GF wa kipemba leo alafu uone vidume vya kipemba vitakavyokuharibia,
 
Hatuongelee mapenzi hapa ni jukwaa la great thinkers ,na mada iliyoletwa na huyu zuzu ,ya kibaguz Tanzania ni moja karibuni sana wanzanzibar kwenye mjadala
 
Back
Top Bottom