CUF, Kwanini kuleta Mdahalo Bara badala ya Zanzibar?

Mwaka wa maajabu,,,,,ww angalia vizur kila sehem uchaguz unawekewa mizengwe angalia Meya dsm wakiona wanashindwa wanaanza kuleta vioja
 
Hatuongelee mapenzi hapa ni jukwaa la great thinkers ,na mada iliyoletwa na huyu zuzu ,ya kibaguz Tanzania ni moja karibuni sana wanzanzibar kwenye mjadala

Kama tanzania ni moja vunjeni zanzibar law society na Tanganyika law society anzisheni Tanzania law society ndipo tutawaelewa vinginevyo na nyie wanasheria mumekubuhu kwa ubaguzi kwa nini muwe na vyama vya sheria vya kibaguzi viwili kila kimoja cha upande wake?

Msituzengue na nyie na majoho yenu
 
Wabagiz ccm wasiotaka serekali tatu ,zanzibar,Tanganyika na Tanzania,,,mzizi wa fitina uko hapo ,na ccm wanafanya hivyo ili waweze kubagua watu ,,,na kujificha ,,,ukwel u wazi Tanganyika Law society ,,ndo imewaalika hawa kuzungumzia maswala ya zanzibar ,kwa nn ccm mnataka wasije huku ,wakati wa kuchagua mamewa wa huku bara kwasababu ya maslahi ndo mnajidai mwawapenda acheni unafiki ....
 
Othman Masoud umeamua kuwa kibaraka wa cuf???? Tunakusubiri kwa hamu kesho kwenda kukuona unavyongangania kula matapishi yako.
Maskini Balahau umejisahau kama wewe ulikuwa DPP wa SMZ, ukawa AG wa SMZ na mshauri wa karibu wa Rais wa Zanzibar masuala ya sheria. Lakini ulianza kuonyesha rangi zako wakati wa mchakato wa katiba. Tangu wakati ule tunakujua X AG hukuwa muadilifu. Ulitumia cheo chako kupata momentum ya kisiasa na ma cuf wenzioo. Tulikujua mapema lkn maskini Dr Shein alifunikwa pazia la mahaba hadi ulipomchosha kwa uzuzu wako ndani ya Bunge la Katiba. Akakutimua kazi. Tangu kipindi kile ulichotimuliwa tunasikia hata akili zako zimepungua Othman Masoud, huko stable kabisa, kwasababu hukutegemea panga lile na hata lilipokukuta hukutegemea kwa kiburi chako cha kipemba kama utakuwa na utabakia fala hadi leo.
Sisi tulijua una akili kaka kumbe ndio yule yule Othman wa kuburuzwa na ma cuf. Tunakusubiri kesho kwenye mdahalo. Tunashangaa unakwneda kufanya mdahalo wakati wewe si Mwanachama wa TLS. Hukuwa na hukuwa na hamu ya kuomba uanachama kwasababu ya chuki zako dhidi ya Muungano wa Tanzania. wewe tangu awali si muumini wa Muungano huu. na hata ulipokuwa unasoma ulikuwa michango yako darasani ni ku criticize muungano huu. Sasa leo Tanganyika Law Society wanamualika mtu kama wewe kutoa mada ambae huna imani na Muungano. X AG usie na imani na Watanzania wenzio. Unapigania nchi igawanyike. Ndiowewe uliekuwa unaongoza kupotosha Baraza la Wawakilisho kwa kusema kwamba Tanzania Bara inainyinya Zanzibar. Zanzjbar haifaidiki katika Muungano huu na kheri ijitoe. Sasa mdahalo kwanini ukakubali kuufanyia Bara badala ya Zanzibar???? Ungefanyia Zanzibar tena hasa Pemba maana wapemba wenzio hawajawahi kuona midahalo kama hiyo. Ukawaelimishe wakuelewe Balahau.
Bi Fatma Karume na wewe wote mnatumika kwa cuf. Mnashabikia maalim seif. ni washauri wake wa kisheria na kesho mnakwenda kwenye mdahalo kama wawakilishi wa cuf si ndio Baba?? Mungu atakusaidia mjomba na huyo Kazuzu mwezio Fatma Karume.
Tumejipanga na tumejikoki tunakuja na zana kamili. kwasababu tunaelewa kutumika kwenu kesho ni kwa ajili ya propaganda ya cuf.
Tena kaka Othman Hongera kwa kumshauri Maalim Seif arudie uchaguzi na kumuahidi utamsaidia kumpigia debe kwa style za uamsho hahahahhahahaaaa balahau wachekesha. Enzi za Uamsho na style za uamsho zimeisha. Ukiteleza utaishia keko na kesho tunakuja na pingu zetu ukumbini. Ukibugi kumtukana kiongozi wetu muadham Magufuli au Dr Shein basi huendi Segerea. Tutakupeleka kwa Museven na huyo Wakili Safura Fatma Karume.
Bi Fatma zile ardhi za watu ulizozipora kesho usisahau kuzigusia kwenye mada yako tafadhali. Kuanzia ardhi ya Bw Sharif wa Dimani na Kanisa la Mbweni. ambayo haya Baba yako alikukingia kifua na zile dramas za media. Haaaaa umezidi hadi ardhi ya kanisa umeiba halafu unajiita msafi wa kujua mapungufu ya uchaguzi na matokeo yake wakati wewe mwenyewe Fatma Karume unanuka uvundo wa wizi wa Ardhi.
Ama kweli vituko hivi ni Tanzania tu.
Tuonane kesho ukumbini wapiganaji.
Othaman Masoud ushauri wa bure japo hupendi Muungano wa Tanzania kesho omba basi Uanachama wa TLS tafadhali walau ujulikane kama popo au ndege.
Huu ni utumbo wa nguruwe kabisa
Kila mtu ana haki ya kuwa katika chama chochote
 
Pumba tupu. Hamna hoja hata moja! Ndo aina ya Watanzania tulio nao siku hizi. Eti kwa nini mdahalo ufanyika Ubungo badala ya Pemba?! Ajabu kabisa, kwani Ubungo siyo Tanzania au Pemba siyo Tanzania?!
 
Usiji vue ufaham ,, faham zanzibar ni sehem ya Tanzania funga mdomo wako...acha ubaguzi kama makaburu
Sina hata chembe ya ubaguzi wala muhemko katika hili.
Ni jambo lililowazi kuwa Zanzibar ni sehemu ya JMT na ni wazi pia uchaguzi wa rais wa Zanzibar sio swala la muungano.
Na kwa kweli swala hili lina msisitizo mkubwa katika katiba mpya ya Zanzibar.
Mie nasisitiza rai yangu kuwa, kwa kuzingatia hayo mambo niliyotaja hapo juu, ni muhimu kwa Wazanzibari kufanya na kushiriki makongamano na mijadala kama hii inayoamua mstakabari wao.
Kwani kwa mujibu wa katiba yao, Watu wa bara na rais wa JMT hawana uwezo wa kuwaamulia mustakabali wao.
 
ingekuwa busara zaidi hayo makongamano yangekuwa yanafanyikia zanzibar kwa manufaa ya wazanzibar.
 
Sina hata chembe ya ubaguzi wala muhemko katika hili.
Ni jambo lililowazi kuwa Zanzibar ni sehemu ya JMT na ni wazi pia uchaguzi wa rais wa Zanzibar sio swala la muungano.
Na kwa kweli swala hili lina msisitizo mkubwa katika katiba mpya ya Zanzibar.
Mie nasisitiza rai yangu kuwa, kwa kuzingatia hayo mambo niliyotaja hapo juu, ni muhimu kwa Wazanzibari kufanya na kushiriki makongamano na mijadala kama hii inayoamua mstakabari wao.
Kwani kwa mujibu wa katiba yao, Watu wa bara na rais wa JMT hawana uwezo wa kuwaamulia mustakabali wao.
Mbona mgombea wa ccm mnampatia dodoma,huoni shida ?? pili matatizo yote ya zanzibar wanaosababisha ni ccm na Tanganyika imeifanya zanzibar kama koloni ,,, na waandaaji wa mjadala ni wa huku bara wanawashirikisha wanzanzibar ili wasikike kwasababu ccm wamewatawala kimabavu zanzibar ......
 
Huyu mtoa mada ni ndugu yake khadija kopa .ni kibuzi malika .anadiscuss person .wakati othman anadiscuss issue .nende jalale wewe nguvu kiunoni
 
Mbona mgombea wa ccm mnampatia dodoma,huoni shida ?? pili matatizo yote ya zanzibar wanaosababisha ni ccm na Tanganyika imeifanya zanzibar kama koloni ,,, na waandaaji wa mjadala ni wa huku bara wanawashirikisha wanzanzibar ili wasikike kwasababu ccm wamewatawala kimabavu zanzibar ......
Mimi ninaona umeamua kuhamishia chuki zako dhidi ya ccm kwenye post yangu kiasi kwamba unapata upofu kuona mantiki ya wazi na ya muhimu kwa Wazanzibari katika niliyoyasema.

Sasa kama mgombea urais wa ccm zanzibar kupitishwa na ccm dodoma ni kero, je wajua makao makuu ya CUF ni buguruni dsm (bara)?

Je wajua kuwa hadi hivi tunavyolumbana hapa Maalim na viongozi wote wa cuf wanakuja buguruni, makao makuu ya CUF ili kamati kuu na baraza vitoe maamuzi kuhusu tamko la Jecha la kurudia uchaguzi Zanzibar?
Mbona wajitia upofu?

Sasa narudia tena. Ni muhimu sana kwa Wazanzibari kuja kujadili swala hili kiundani ndani ya Zanzibar. Watalijadili kote duniani lakni wasipolijadili ndani ya Zanzibar itakula kwao big time.
 
Othman Masoud umeamua kuwa kibaraka wa cuf???? Tunakusubiri kwa hamu kesho kwenda kukuona unavyongangania kula matapishi yako.
Maskini Balahau umejisahau kama wewe ulikuwa DPP wa SMZ, ukawa AG wa SMZ na mshauri wa karibu wa Rais wa Zanzibar masuala ya sheria. Lakini ulianza kuonyesha rangi zako wakati wa mchakato wa katiba. Tangu wakati ule tunakujua X AG hukuwa muadilifu. Ulitumia cheo chako kupata momentum ya kisiasa na ma cuf wenzioo. Tulikujua mapema lkn maskini Dr Shein alifunikwa pazia la mahaba hadi ulipomchosha kwa uzuzu wako ndani ya Bunge la Katiba. Akakutimua kazi. Tangu kipindi kile ulichotimuliwa tunasikia hata akili zako zimepungua Othman Masoud, huko stable kabisa, kwasababu hukutegemea panga lile na hata lilipokukuta hukutegemea kwa kiburi chako cha kipemba kama utakuwa na utabakia fala hadi leo.
Sisi tulijua una akili kaka kumbe ndio yule yule Othman wa kuburuzwa na ma cuf. Tunakusubiri kesho kwenye mdahalo. Tunashangaa unakwneda kufanya mdahalo wakati wewe si Mwanachama wa TLS. Hukuwa na hukuwa na hamu ya kuomba uanachama kwasababu ya chuki zako dhidi ya Muungano wa Tanzania. wewe tangu awali si muumini wa Muungano huu. na hata ulipokuwa unasoma ulikuwa michango yako darasani ni ku criticize muungano huu. Sasa leo Tanganyika Law Society wanamualika mtu kama wewe kutoa mada ambae huna imani na Muungano. X AG usie na imani na Watanzania wenzio. Unapigania nchi igawanyike. Ndiowewe uliekuwa unaongoza kupotosha Baraza la Wawakilisho kwa kusema kwamba Tanzania Bara inainyinya Zanzibar. Zanzjbar haifaidiki katika Muungano huu na kheri ijitoe. Sasa mdahalo kwanini ukakubali kuufanyia Bara badala ya Zanzibar???? Ungefanyia Zanzibar tena hasa Pemba maana wapemba wenzio hawajawahi kuona midahalo kama hiyo. Ukawaelimishe wakuelewe Balahau.
Bi Fatma Karume na wewe wote mnatumika kwa cuf. Mnashabikia maalim seif. ni washauri wake wa kisheria na kesho mnakwenda kwenye mdahalo kama wawakilishi wa cuf si ndio Baba?? Mungu atakusaidia mjomba na huyo Kazuzu mwezio Fatma Karume.
Tumejipanga na tumejikoki tunakuja na zana kamili. kwasababu tunaelewa kutumika kwenu kesho ni kwa ajili ya propaganda ya cuf.
Tena kaka Othman Hongera kwa kumshauri Maalim Seif arudie uchaguzi na kumuahidi utamsaidia kumpigia debe kwa style za uamsho hahahahhahahaaaa balahau wachekesha. Enzi za Uamsho na style za uamsho zimeisha. Ukiteleza utaishia keko na kesho tunakuja na pingu zetu ukumbini. Ukibugi kumtukana kiongozi wetu muadham Magufuli au Dr Shein basi huendi Segerea. Tutakupeleka kwa Museven na huyo Wakili Safura Fatma Karume.
Bi Fatma zile ardhi za watu ulizozipora kesho usisahau kuzigusia kwenye mada yako tafadhali. Kuanzia ardhi ya Bw Sharif wa Dimani na Kanisa la Mbweni. ambayo haya Baba yako alikukingia kifua na zile dramas za media. Haaaaa umezidi hadi ardhi ya kanisa umeiba halafu unajiita msafi wa kujua mapungufu ya uchaguzi na matokeo yake wakati wewe mwenyewe Fatma Karume unanuka uvundo wa wizi wa Ardhi.
Ama kweli vituko hivi ni Tanzania tu.
Tuonane kesho ukumbini wapiganaji.
Othaman Masoud ushauri wa bure japo hupendi Muungano wa Tanzania kesho omba basi Uanachama wa TLS tafadhali walau ujulikane kama popo au ndege.

Umejawa chuki tu Bwege wewe, hata aibu huna!!!

Ubaguzi na chuki hizi zitawamaliza
 
Mimi ninaona umeamua kuhamishia chuki zako dhidi ya ccm kwenye post yangu kiasi kwamba unapata upofu kuona mantiki ya wazi na ya muhimu kwa Wazanzibari katika niliyoyasema.

Sasa kama mgombea urais wa ccm zanzibar kupitishwa na ccm dodoma ni kero, je wajua makao makuu ya CUF ni buguruni dsm (bara)?

Je wajua kuwa hadi hivi tunavyolumbana hapa Maalim na viongozi wote wa cuf wanakuja buguruni, makao makuu ya CUF ili kamati kuu na baraza vitoe maamuzi kuhusu tamko la Jecha la kurudia uchaguzi Zanzibar?
Mbona wajitia upofu?

Sasa narudia tena. Ni muhimu sana kwa Wazanzibari kuja kujadili swala hili kiundani ndani ya Zanzibar. Watalijadili kote duniani lakni wasipolijadili ndani ya Zanzibar itakula kwao big time.
Chuki unazo wewe neno pembalimekujaje ?? fatma na masoud ,,persnonal attack hizo ,,,acha ubaguz haufai ndugu
 
Katika mambo ya muungano tuliyokubaliana Swala la uchaguzi wa Zanzibar si swala la muungano.Wakaliongelee kwao.
Kitu cha ajabu kuhusu hao Tanganyika Law SOCIETY maada walizoweka zitakuwa nne.Moja inaongelea uchaguzi Tanzania bara tatu zinaongelea uchaguzi wa Zanzibar!!!! yaani asilimia 75 ya mada zote zinahusu Zanzibar!!! Hiyo ni Tanganyika law Society au Zanzibar law society? Ningetarajia mada nyingi zingehusu Tanganyika!!! Lakini hakuna

Kuna mamulluki nahisi ndani ya TLS.Yaani Tanganyika law society imejivika joho la Zanzibar law society na kuitisha kongamano ili wazanzibari Wa ZANZIBAR LAW SOCIETY wasiokuwa na Mpango na muungano wapate platform

TLS WAMEAMUA KUWA PLATFORM YA KUSHAMBULIA UPANDE MWINGINE WA MUUNGANO KITU AMBACHO SI SAHIHI.

Binafsi hawa TANGANYIKA LAW SOCIETY WAMENICHEFUA KUITISHA MDAHALO WA UCHAGUZI WA NCHI NYINGINE HURU YA ZANZIBAR HUKO NI KUVUNJA KATIBA.HATIBA YA WANZANZIBARI HAIKO CHINI YA TANGANYIKA LAW SOCIETY IKO CHINI YA WAZANZIBARI WENYEWE.
Hata Wao Pia Unewachefua Kwa Kupayuka Tu Hovyo, Wkt Haujui Chochote Kile, KAMA Wajua Ktk Mambo Ambayo Tumeyatoa Ktk Masuala Ya Muungano, Ni Mchakato Wa UCHAGUZI Wa ZANZIBAR!!! Je, Kwanini Dkt Shein, Maalim Seif Na Balozi Seif Wavuke Maji Waje Kujadili Suala Hilo Magogoni Bara!!!!!?? KAMA Masuala Hayo Ni Ya Kwao Wao Pekee!!!!!!??? HAYA Ktk Mambo Tuliyoondoa Ni Miundombinu Na Uchukuzi, Why Leo Ameteuliwa Mzenji Kuja Kuwa Ktk Wizara Hiyo, Ambayo HAIFANYI KAZI Zenji!!!!?? Mbona Hakuna Mbara ALIYETEULIWA Kuwa Waziri Ktk Serikali Ya MAPINDUZI Ya ZANZIBAR!!!!!!??? SUALA La ZANZIBAR Kuwa Ni NCHI, Wala Sio HOJA Tena, Hata Mtt Wa Grade 1 Analijua Hilo!! Na Wenyewe Wanapenda Na Wanaendelea Kujinasibu Na Kuitetea NCHI Yao!!! TOFAUTI Na Ww Ambaye Unakikimbia Kivuli Cha NCHI YAKO Ya Tanganyika, Kiasi Cha Kuiita TANZANIA BARA Na Wkt Wenzako Wakiita Zanzibar Na Sio TANZANIA VISIWANI, Kama Tunavyoaminishwa!!! Na Wanaelekea Kulizika Hilo Kwa New Generation Yao!!! LEO Ww Hata Kutamka Tu Neno TANGANYIKA Waona Ukakasi Mkubwa!!! Imefikia Pahala Eti, Badala Ya Kusema 9Dec Ni Siku Ya Uhuru Wa Tanganyika, Eti Tunasema Uhuru Wa TANZANIA BARA, Na Tunajaribu Kuwaaminisha Kizazi Chetu, Kuwa Sio Uhuru Wa Tanganyika Ni Wa Tanzania Bara!!!! Ndorooobai!!! Sasa Wao Na Ww Ni Nani Mwenye Akili Timamu Na Ambaye Wanajitambua!!!!!?
 
Othman Masoud umeamua kuwa kibaraka wa cuf???? Tunakusubiri kwa hamu kesho kwenda kukuona unavyongangania kula matapishi yako.
Maskini Balahau umejisahau kama wewe ulikuwa DPP wa SMZ, ukawa AG wa SMZ na mshauri wa karibu wa Rais wa Zanzibar masuala ya sheria. Lakini ulianza kuonyesha rangi zako wakati wa mchakato wa katiba. Tangu wakati ule tunakujua X AG hukuwa muadilifu. Ulitumia cheo chako kupata momentum ya kisiasa na ma cuf wenzioo. Tulikujua mapema lkn maskini Dr Shein alifunikwa pazia la mahaba hadi ulipomchosha kwa uzuzu wako ndani ya Bunge la Katiba. Akakutimua kazi. Tangu kipindi kile ulichotimuliwa tunasikia hata akili zako zimepungua Othman Masoud, huko stable kabisa, kwasababu hukutegemea panga lile na hata lilipokukuta hukutegemea kwa kiburi chako cha kipemba kama utakuwa na utabakia fala hadi leo.
Sisi tulijua una akili kaka kumbe ndio yule yule Othman wa kuburuzwa na ma cuf. Tunakusubiri kesho kwenye mdahalo. Tunashangaa unakwneda kufanya mdahalo wakati wewe si Mwanachama wa TLS. Hukuwa na hukuwa na hamu ya kuomba uanachama kwasababu ya chuki zako dhidi ya Muungano wa Tanzania. wewe tangu awali si muumini wa Muungano huu. na hata ulipokuwa unasoma ulikuwa michango yako darasani ni ku criticize muungano huu. Sasa leo Tanganyika Law Society wanamualika mtu kama wewe kutoa mada ambae huna imani na Muungano. X AG usie na imani na Watanzania wenzio. Unapigania nchi igawanyike. Ndiowewe uliekuwa unaongoza kupotosha Baraza la Wawakilisho kwa kusema kwamba Tanzania Bara inainyinya Zanzibar. Zanzjbar haifaidiki katika Muungano huu na kheri ijitoe. Sasa mdahalo kwanini ukakubali kuufanyia Bara badala ya Zanzibar???? Ungefanyia Zanzibar tena hasa Pemba maana wapemba wenzio hawajawahi kuona midahalo kama hiyo. Ukawaelimishe wakuelewe Balahau.
Bi Fatma Karume na wewe wote mnatumika kwa cuf. Mnashabikia maalim seif. ni washauri wake wa kisheria na kesho mnakwenda kwenye mdahalo kama wawakilishi wa cuf si ndio Baba?? Mungu atakusaidia mjomba na huyo Kazuzu mwezio Fatma Karume.
Tumejipanga na tumejikoki tunakuja na zana kamili. kwasababu tunaelewa kutumika kwenu kesho ni kwa ajili ya propaganda ya cuf.
Tena kaka Othman Hongera kwa kumshauri Maalim Seif arudie uchaguzi na kumuahidi utamsaidia kumpigia debe kwa style za uamsho hahahahhahahaaaa balahau wachekesha. Enzi za Uamsho na style za uamsho zimeisha. Ukiteleza utaishia keko na kesho tunakuja na pingu zetu ukumbini. Ukibugi kumtukana kiongozi wetu muadham Magufuli au Dr Shein basi huendi Segerea. Tutakupeleka kwa Museven na huyo Wakili Safura Fatma Karume.
Bi Fatma zile ardhi za watu ulizozipora kesho usisahau kuzigusia kwenye mada yako tafadhali. Kuanzia ardhi ya Bw Sharif wa Dimani na Kanisa la Mbweni. ambayo haya Baba yako alikukingia kifua na zile dramas za media. Haaaaa umezidi hadi ardhi ya kanisa umeiba halafu unajiita msafi wa kujua mapungufu ya uchaguzi na matokeo yake wakati wewe mwenyewe Fatma Karume unanuka uvundo wa wizi wa Ardhi.
Ama kweli vituko hivi ni Tanzania tu.
Tuonane kesho ukumbini wapiganaji.
Othaman Masoud ushauri wa bure japo hupendi Muungano wa Tanzania kesho omba basi Uanachama wa TLS tafadhali walau ujulikane kama popo au ndege.

wewe umeandika porojo tupu hapa, Ivi wewe akili zako zina Acid? Othman Massoud kweli alikuwa mwanasheria wa SMZ sasa kulikuwa na ubaya gani bunge la Katiba kusimamia Katiba kwa maslahi ya Zanzibar?

Kazi kubwa ya wanasheria ni kutoa taaluma ya kisheria kwa jamii juu ya jambo lolote lile lenye mvutano kwa nanmna yeyote ile kumbe ulitaka abaki nyumbani? mbona una kasumba na chuki za wazi??

Sasa kwa taarifa yako hii ni rasha rasha tu mvua inakuja kabla ya huo uchaguzi wenu get ready Madam.
 
Back
Top Bottom