CUF, Kwanini kuleta Mdahalo Bara badala ya Zanzibar?

Mimi ninaona umeamua kuhamishia chuki zako dhidi ya ccm kwenye post yangu kiasi kwamba unapata upofu kuona mantiki ya wazi na ya muhimu kwa Wazanzibari katika niliyoyasema.

Sasa kama mgombea urais wa ccm zanzibar kupitishwa na ccm dodoma ni kero, je wajua makao makuu ya CUF ni buguruni dsm (bara)?

Je wajua kuwa hadi hivi tunavyolumbana hapa Maalim na viongozi wote wa cuf wanakuja buguruni, makao makuu ya CUF ili kamati kuu na baraza vitoe maamuzi kuhusu tamko la Jecha la kurudia uchaguzi Zanzibar?
Mbona wajitia upofu?

Sasa narudia tena. Ni muhimu sana kwa Wazanzibari kuja kujadili swala hili kiundani ndani ya Zanzibar. Watalijadili kote duniani lakni wasipolijadili ndani ya Zanzibar itakula kwao big time.
Vyama vya siasa ni vya kitaifa sio vya zanzibar peke yake au bara .pili mtanzania anaweza kwenda eneo lolote katika jamuhuri ya muungano na kufanya lolote ilimradi awe havunji sheria .wewe wa wapi wewe .wewe unakile kinachoitwa dogmatism behavier .yaani rigidity of person believe.yaani watu mia wakimuona kuku na wakasemavyule ni kuku ,wewe mmoja peke yako utasema yule ni ngo'mbe na utasimamia hivo hivo kwamba ni ngo'mbe
 
Mwaka wa maajabu,,,,,ww angalia vizur kila sehem uchaguz unawekewa mizengwe angalia Meya dsm wakiona wanashindwa wanaanza kuleta vioja
Inashangaza ifike mahala waone aibu wanazo halimashauri nyingi wanazoziongoza lakini jiji tu dar linasumbua.hii sio haki.
 
ingekuwa busara zaidi hayo makongamano yangekuwa yanafanyikia zanzibar kwa manufaa ya wazanzibar.
Ingekuwa Busara Pia Kwa Dkt Shein, Maalim Seif Na Balozi Idd Wakae Tu ZANZIBAR Kujadili Masuala Yao Na Si Kuja Magogoni Kujadiliana Na MAGUFULI!! Pia Wangekuwa Na VYAMA Vyao Vya Siasa!!! Lkn Kwa Vile Msajili Wa Vyama Vya Siasa Anacheza Kote Na Vyama Hivyo Ndio Vinavyoshiriki Uchaguzi, So Tatizo La Midahalo Kufanyika Tanganyika Liko Wapi!!!?? KIKATIBA, KISHERIA Na KIKANUNI!!!!??? ACHENI Ushoga Huo, Kwa Mujibu Wa KATIBA Ya 1977 Kila MTANZANIA Ana Haki Ya Kwenda, Kuishi POPOTE Ktk ARDHI Ya JMT Na Haki Kusema CHOCHOTE Na POPOTE, MRADI HAVUNJI SHERIA, KATIBA, Kanuni Na Taratibu Za NCHI!!! So Why Wazanzibar KUSHIRIKI Midahalo Ambayo Inajadili Masuala Yao, Eti Kwa Vile Inafanyika Tanganyika Na Waandaji Ni Watanganyika!!! PUMBAVUUUUUUU!!!!!!!
 
Othman Masoud umeamua kuwa kibaraka wa cuf???? Tunakusubiri kwa hamu kesho kwenda kukuona unavyongangania kula matapishi yako.
Maskini Balahau umejisahau kama wewe ulikuwa DPP wa SMZ, ukawa AG wa SMZ na mshauri wa karibu wa Rais wa Zanzibar masuala ya sheria. Lakini ulianza kuonyesha rangi zako wakati wa mchakato wa katiba. Tangu wakati ule tunakujua X AG hukuwa muadilifu. Ulitumia cheo chako kupata momentum ya kisiasa na ma cuf wenzioo. Tulikujua mapema lkn maskini Dr Shein alifunikwa pazia la mahaba hadi ulipomchosha kwa uzuzu wako ndani ya Bunge la Katiba. Akakutimua kazi. Tangu kipindi kile ulichotimuliwa tunasikia hata akili zako zimepungua Othman Masoud, huko stable kabisa, kwasababu hukutegemea panga lile na hata lilipokukuta hukutegemea kwa kiburi chako cha kipemba kama utakuwa na utabakia fala hadi leo.
Sisi tulijua una akili kaka kumbe ndio yule yule Othman wa kuburuzwa na ma cuf. Tunakusubiri kesho kwenye mdahalo. Tunashangaa unakwneda kufanya mdahalo wakati wewe si Mwanachama wa TLS. Hukuwa na hukuwa na hamu ya kuomba uanachama kwasababu ya chuki zako dhidi ya Muungano wa Tanzania. wewe tangu awali si muumini wa Muungano huu. na hata ulipokuwa unasoma ulikuwa michango yako darasani ni ku criticize muungano huu. Sasa leo Tanganyika Law Society wanamualika mtu kama wewe kutoa mada ambae huna imani na Muungano. X AG usie na imani na Watanzania wenzio. Unapigania nchi igawanyike. Ndiowewe uliekuwa unaongoza kupotosha Baraza la Wawakilisho kwa kusema kwamba Tanzania Bara inainyinya Zanzibar. Zanzjbar haifaidiki katika Muungano huu na kheri ijitoe. Sasa mdahalo kwanini ukakubali kuufanyia Bara badala ya Zanzibar???? Ungefanyia Zanzibar tena hasa Pemba maana wapemba wenzio hawajawahi kuona midahalo kama hiyo. Ukawaelimishe wakuelewe Balahau.
Bi Fatma Karume na wewe wote mnatumika kwa cuf. Mnashabikia maalim seif. ni washauri wake wa kisheria na kesho mnakwenda kwenye mdahalo kama wawakilishi wa cuf si ndio Baba?? Mungu atakusaidia mjomba na huyo Kazuzu mwezio Fatma Karume.
Tumejipanga na tumejikoki tunakuja na zana kamili. kwasababu tunaelewa kutumika kwenu kesho ni kwa ajili ya propaganda ya cuf.
Tena kaka Othman Hongera kwa kumshauri Maalim Seif arudie uchaguzi na kumuahidi utamsaidia kumpigia debe kwa style za uamsho hahahahhahahaaaa balahau wachekesha. Enzi za Uamsho na style za uamsho zimeisha. Ukiteleza utaishia keko na kesho tunakuja na pingu zetu ukumbini. Ukibugi kumtukana kiongozi wetu muadham Magufuli au Dr Shein basi huendi Segerea. Tutakupeleka kwa Museven na huyo Wakili Safura Fatma Karume.
Bi Fatma zile ardhi za watu ulizozipora kesho usisahau kuzigusia kwenye mada yako tafadhali. Kuanzia ardhi ya Bw Sharif wa Dimani na Kanisa la Mbweni. ambayo haya Baba yako alikukingia kifua na zile dramas za media. Haaaaa umezidi hadi ardhi ya kanisa umeiba halafu unajiita msafi wa kujua mapungufu ya uchaguzi na matokeo yake wakati wewe mwenyewe Fatma Karume unanuka uvundo wa wizi wa Ardhi.
Ama kweli vituko hivi ni Tanzania tu.
Tuonane kesho ukumbini wapiganaji.
Othaman Masoud ushauri wa bure japo hupendi Muungano wa Tanzania kesho omba basi Uanachama wa TLS tafadhali walau ujulikane kama popo au ndege.
Tangu jf ianze wewe ni mjinga mwandamizi
 
Jumapili hii unatafuta kutusiwa....hivi cuf ni ya zanzibar au ya tanzania...?? Chama cha wanasheria Tanganyika ni cha zanzibar au tanzania...??
 
Kwanini mdahalo wa pemba uletwe ubungo?
Kuna sheria imevunjwa?

Mbona midahalo inayohusu uchaguzi inafanyikia UDSM na isanyikie NEC

Au mbona mijadala ya katiba inafanyikia UDSM na isifanyikie wizara ya sheria ka katiba?
 
Othman Masoud umeamua kuwa kibaraka wa cuf???? Tunakusubiri kwa hamu kesho kwenda kukuona unavyongangania kula matapishi yako.
Maskini Balahau umejisahau kama wewe ulikuwa DPP wa SMZ, ukawa AG wa SMZ na mshauri wa karibu wa Rais wa Zanzibar masuala ya sheria. Lakini ulianza kuonyesha rangi zako wakati wa mchakato wa katiba. Tangu wakati ule tunakujua X AG hukuwa muadilifu. Ulitumia cheo chako kupata momentum ya kisiasa na ma cuf wenzioo. Tulikujua mapema lkn maskini Dr Shein alifunikwa pazia la mahaba hadi ulipomchosha kwa uzuzu wako ndani ya Bunge la Katiba. Akakutimua kazi. Tangu kipindi kile ulichotimuliwa tunasikia hata akili zako zimepungua Othman Masoud, huko stable kabisa, kwasababu hukutegemea panga lile na hata lilipokukuta hukutegemea kwa kiburi chako cha kipemba kama utakuwa na utabakia fala hadi leo.
Sisi tulijua una akili kaka kumbe ndio yule yule Othman wa kuburuzwa na ma cuf. Tunakusubiri kesho kwenye mdahalo. Tunashangaa unakwneda kufanya mdahalo wakati wewe si Mwanachama wa TLS. Hukuwa na hukuwa na hamu ya kuomba uanachama kwasababu ya chuki zako dhidi ya Muungano wa Tanzania. wewe tangu awali si muumini wa Muungano huu. na hata ulipokuwa unasoma ulikuwa michango yako darasani ni ku criticize muungano huu. Sasa leo Tanganyika Law Society wanamualika mtu kama wewe kutoa mada ambae huna imani na Muungano. X AG usie na imani na Watanzania wenzio. Unapigania nchi igawanyike. Ndiowewe uliekuwa unaongoza kupotosha Baraza la Wawakilisho kwa kusema kwamba Tanzania Bara inainyinya Zanzibar. Zanzjbar haifaidiki katika Muungano huu na kheri ijitoe. Sasa mdahalo kwanini ukakubali kuufanyia Bara badala ya Zanzibar???? Ungefanyia Zanzibar tena hasa Pemba maana wapemba wenzio hawajawahi kuona midahalo kama hiyo. Ukawaelimishe wakuelewe Balahau.
Bi Fatma Karume na wewe wote mnatumika kwa cuf. Mnashabikia maalim seif. ni washauri wake wa kisheria na kesho mnakwenda kwenye mdahalo kama wawakilishi wa cuf si ndio Baba?? Mungu atakusaidia mjomba na huyo Kazuzu mwezio Fatma Karume.
Tumejipanga na tumejikoki tunakuja na zana kamili. kwasababu tunaelewa kutumika kwenu kesho ni kwa ajili ya propaganda ya cuf.
Tena kaka Othman Hongera kwa kumshauri Maalim Seif arudie uchaguzi na kumuahidi utamsaidia kumpigia debe kwa style za uamsho hahahahhahahaaaa balahau wachekesha. Enzi za Uamsho na style za uamsho zimeisha. Ukiteleza utaishia keko na kesho tunakuja na pingu zetu ukumbini. Ukibugi kumtukana kiongozi wetu muadham Magufuli au Dr Shein basi huendi Segerea. Tutakupeleka kwa Museven na huyo Wakili Safura Fatma Karume.
Bi Fatma zile ardhi za watu ulizozipora kesho usisahau kuzigusia kwenye mada yako tafadhali. Kuanzia ardhi ya Bw Sharif wa Dimani na Kanisa la Mbweni. ambayo haya Baba yako alikukingia kifua na zile dramas za media. Haaaaa umezidi hadi ardhi ya kanisa umeiba halafu unajiita msafi wa kujua mapungufu ya uchaguzi na matokeo yake wakati wewe mwenyewe Fatma Karume unanuka uvundo wa wizi wa Ardhi.
Ama kweli vituko hivi ni Tanzania tu.
Tuonane kesho ukumbini wapiganaji.
Othaman Masoud ushauri wa bure japo hupendi Muungano wa Tanzania kesho omba basi Uanachama wa TLS tafadhali walau ujulikane kama popo au ndege.
Kwao hakukaliki,mShein kawatia pini!
 
Nikulize swali zanzibar ni nchi au sio nchi ???
Je watanzania bara wanapiga kura Zanzibar??? Midahalo ilitakiwa ifanyikie Zanzibar sio bara otherwise is useless...hawana kazi ya kufanya hao.
 
Mbona hata nyie vikao vya utezi kwenye chama mwafanyia dodoma ...kwahiyo aliyechaguliwa ni useless ...kama hujui ccm wamefanya zanziba kolonilao
 
Sina hata chembe ya ubaguzi wala muhemko katika hili.
Ni jambo lililowazi kuwa Zanzibar ni sehemu ya JMT na ni wazi pia uchaguzi wa rais wa Zanzibar sio swala la muungano.
Na kwa kweli swala hili lina msisitizo mkubwa katika katiba mpya ya Zanzibar.
Mie nasisitiza rai yangu kuwa, kwa kuzingatia hayo mambo niliyotaja hapo juu, ni muhimu kwa Wazanzibari kufanya na kushiriki makongamano na mijadala kama hii inayoamua mstakabari wao.
Kwani kwa mujibu wa katiba yao, Watu wa bara na rais wa JMT hawana uwezo wa kuwaamulia mustakabali wao.
Kweli wewe ni kunguru....sasa kama muungano hausiki kwa uchaguzi wa zanzibar akina shein.. Seif walikuja kwa magufuri kufanya nini jizi eti wanampa hali ilivyo zanzibar..
 
Ama kweli akili ni nywele
 
Ninaamini kuwa, ingekuwa na manufaa makubwa zaidi kwa watu wa zanzibar kufanya hii midahalo, makongamano na majadiliano ya mustakabali wa uchaguzi na nchi yao ndani ya Zanzibar.
Ingeleta maana zaidi na madhubuti kama Wazanzibari wangeshiriki makongamano kama haya.
Kwa nini Fatma na CUF wasiyafanye haya Zanzibar?
Hata Jussa huchepukia bara mara kwa mara kwa mambo yanayohusu Zanzibar.
Huu mdahalo kama ulivyosoma kwa mleta mada hapa umeandaliwa na TLS ni chombo cha Tanganyika huku Tanzania Bara. Othman Masud ni mualikwa tu.

La pili kwa vile lengo ni kuwafikia wananchi, kwa kutumia TV ama redio, watausikia na kuuona huu mdahalo popote tu utakapofanyika, naamini umefanyika Tanganyika kwa kupunguza gharama na vile vile kuweza kuwafikia watu wengi zaidi na wenye umuhimu zaidi kama vile diplomats.

Hii ni taaluma lakini kwa wakati huo huo watu wanatumia mwanya huu kwa kibiashara kama vile matangazo. Kuna nafasi kubwa ya biashara Tanganyika kwa kupitia matamgazo kuliko Zanzibar.
 
Othman Masoud umeamua kuwa kibaraka wa cuf???? Tunakusubiri kwa hamu kesho kwenda kukuona unavyongangania kula matapishi yako.
Maskini Balahau umejisahau kama wewe ulikuwa DPP wa SMZ, ukawa AG wa SMZ na mshauri wa karibu wa Rais wa Zanzibar masuala ya sheria. Lakini ulianza kuonyesha rangi zako wakati wa mchakato wa katiba. Tangu wakati ule tunakujua X AG hukuwa muadilifu. Ulitumia cheo chako kupata momentum ya kisiasa na ma cuf wenzioo. Tulikujua mapema lkn maskini Dr Shein alifunikwa pazia la mahaba hadi ulipomchosha kwa uzuzu wako ndani ya Bunge la Katiba. Akakutimua kazi. Tangu kipindi kile ulichotimuliwa tunasikia hata akili zako zimepungua Othman Masoud, huko stable kabisa, kwasababu hukutegemea panga lile na hata lilipokukuta hukutegemea kwa kiburi chako cha kipemba kama utakuwa na utabakia fala hadi leo.
Sisi tulijua una akili kaka kumbe ndio yule yule Othman wa kuburuzwa na ma cuf. Tunakusubiri kesho kwenye mdahalo. Tunashangaa unakwneda kufanya mdahalo wakati wewe si Mwanachama wa TLS. Hukuwa na hukuwa na hamu ya kuomba uanachama kwasababu ya chuki zako dhidi ya Muungano wa Tanzania. wewe tangu awali si muumini wa Muungano huu. na hata ulipokuwa unasoma ulikuwa michango yako darasani ni ku criticize muungano huu. Sasa leo Tanganyika Law Society wanamualika mtu kama wewe kutoa mada ambae huna imani na Muungano. X AG usie na imani na Watanzania wenzio. Unapigania nchi igawanyike. Ndiowewe uliekuwa unaongoza kupotosha Baraza la Wawakilisho kwa kusema kwamba Tanzania Bara inainyinya Zanzibar. Zanzjbar haifaidiki katika Muungano huu na kheri ijitoe. Sasa mdahalo kwanini ukakubali kuufanyia Bara badala ya Zanzibar???? Ungefanyia Zanzibar tena hasa Pemba maana wapemba wenzio hawajawahi kuona midahalo kama hiyo. Ukawaelimishe wakuelewe Balahau.
Bi Fatma Karume na wewe wote mnatumika kwa cuf. Mnashabikia maalim seif. ni washauri wake wa kisheria na kesho mnakwenda kwenye mdahalo kama wawakilishi wa cuf si ndio Baba?? Mungu atakusaidia mjomba na huyo Kazuzu mwezio Fatma Karume.
Tumejipanga na tumejikoki tunakuja na zana kamili. kwasababu tunaelewa kutumika kwenu kesho ni kwa ajili ya propaganda ya cuf.
Tena kaka Othman Hongera kwa kumshauri Maalim Seif arudie uchaguzi na kumuahidi utamsaidia kumpigia debe kwa style za uamsho hahahahhahahaaaa balahau wachekesha. Enzi za Uamsho na style za uamsho zimeisha. Ukiteleza utaishia keko na kesho tunakuja na pingu zetu ukumbini. Ukibugi kumtukana kiongozi wetu muadham Magufuli au Dr Shein basi huendi Segerea. Tutakupeleka kwa Museven na huyo Wakili Safura Fatma Karume.
Bi Fatma zile ardhi za watu ulizozipora kesho usisahau kuzigusia kwenye mada yako tafadhali. Kuanzia ardhi ya Bw Sharif wa Dimani na Kanisa la Mbweni. ambayo haya Baba yako alikukingia kifua na zile dramas za media. Haaaaa umezidi hadi ardhi ya kanisa umeiba halafu unajiita msafi wa kujua mapungufu ya uchaguzi na matokeo yake wakati wewe mwenyewe Fatma Karume unanuka uvundo wa wizi wa Ardhi.
Ama kweli vituko hivi ni Tanzania tu.
Tuonane kesho ukumbini wapiganaji.
Othaman Masoud ushauri wa bure japo hupendi Muungano wa Tanzania kesho omba basi Uanachama wa TLS tafadhali walau ujulikane kama popo au ndege.[/QUOT
Huu ni mwanzo wa siasa za chuki. Kuna ubaya gani madahalo kufanyika Dar? Pia mtoa mada ameelekeza hoja zake kwenye personal attacks bila kugusia maudhui ya mdahalo.
 
Back
Top Bottom