Donyongijape
JF-Expert Member
- May 28, 2010
- 1,497
- 811
Mimi ni mwanachama mwaminifu wa CHADEMA. Sipendi huyu 'aliyekuwa' mbunge wa Kg kusini arudi chamani. Ni mtu mwenye matatizo sana. Hivyo basi, kama anataka kurudi chamani na kuwa mpambanaji katika probation akiwa mwanachama wa kawaida sawa kabisa, ila siyo kuwa na hadhi yoyote ya uongozi ndani ya chama mpaka hapo tabia yake itakapobadilika. Kama ana njaa ya uongozi, namshauri aende CUF akakutane na Mtatiro,atuachie chama chetu. Tuna vijana wengi wenye wanaokubalika na uwezo mkubwa wa kujaza nafasi ya kg kusini kuliko huyu ndumilakuwili..!