CUF iko juu ya sheria Tanzania?

Tofautisha kati ya mtu kujitangaza na chama cha siasa kutembea na mwanachama wake mikoani na kufanya mikutano ya hadhara na kumuombea kura za urais 2015.
Najua wewe ni CUF lakini nikuulize ni Lini ilipitisha jina la mgombea urais wa uchaguzi mkuu ujao?
Swali la 2-Kwanini msajili wa vyama vya siasa Tendwa aliropoka kwamba hakubali M4C ya CDM kwa madai inapiga kampeni za uchaguzi wakati si kweli na haina mgombea inayemnadi mikutanoni kama CUF inavyomnadi kwa wananchi na kumuombea kura?
Mkuu naomba nikurekebishe. Mimi si CUF, na wala sijawahi kumiliki Card ya CUF,kushiriki/kuhudhulia mkutano wowote wa CUF na Lipumba akichukua Nchi, nitaomba UKIMBIZI
 
Mkuu Adolay
Mkutano wao wa Arusha umewavua nguo.Kitendo cha kutoa watu 500 Dar kwenda kuwahutubia Arusha ni aibu kubwa katika historia ya siasa duniani.

Kinachonishangaza mkuu, hivi yale sio matumizi mabaya ya fedha zetu walipa kodi? ni kweli Arusha hakuna binadamu wa

kuwasikiliza sera zao? nakama ndivo kwanini waende na wapambe ambao mwisho wa siku hawatapigia kura Arusha?
 
Mkuu naomba nikurekebishe. Mimi si CUF, na wala sijawahi kumiliki Card ya CUF,kushiriki/kuhudhulia mkutano wowote wa CUF na Lipumba akichukua Nchi, nitaomba UKIMBIZI

Mkuu lakini mfuasi wa Magamba automatically ni mfuasi wa CUF and vise versa is true.Kwa hiyo bado niko sahihi.
 
Kinachonishangaza mkuu, hivi yale sio matumizi mabaya ya fedha zetu walipa kodi? ni kweli Arusha hakuna binadamu wa

kuwasikiliza sera zao? nakama ndivo kwanini waende na wapambe ambao mwisho wa siku hawatapigia kura Arusha?

Mkuu Adolay
Nyerere alisema hakuna kitu kibaya kama umasikini wa mawazo.Hawa walisomba watu na kuwamwaga Arusha ili kushindana na CDM wakaambulia aibu kubwa.Huu ni umasikini tu wa mawazo.Ukiona chama ambacho kinazunguka mikoani leo kumnadi mgombea urais wa miaka 3 ijayo tusemeje kama sio umasikini tu wa mawazo?
 
Hivi huyu JOHN MREMA huko CDM makao makuu kazi yake ni nini hasa? Kila siku anashinda JF kumwaga fitna tu! ZZK wa CDM si katangaza hadharani kugombea urais mbona hamsemi?

Ulishasoma vigezo na masharti ya JF?
 
Binafsi sioni kama ni tatizo kwa wao kutangaza mfalme wao kuwa ni mgombea wa maisha. Pia wanaomba kura kwa uchaguzi ujao si uhaini kwa rais aliyepo.
Wakati mwingine vituko kama hivi inafaa kuwaachia wenyewe ili tujadili masuala ya maana.
 
Mkuu Noexcuse
Kwa hiyo CUF kumtembeza Sultani na kumuombea kura sasa si kosa? Na je CDM kufanya operesheni ya M4C kuingiza wanachama vijijini ndiyo kosa? Mbona sasa tunamsikia Tendwa akiikataa M4C ya CDM isubiri wakati wa kampeni na hakatai kampeni ya Sultani Lipumba?
Wewe huoni double standards hapo? Kwamba hapa hamna kitu cha maana cha kujadili?
 
hpbdy 2 u kamanda 2ko pamoko

Mkuu wangu Magesi kama mtu mmoja anakuwa na ID 19 kwanini asitumie nyingine kuvunja sheria za JF? Si anajua akifungiwa moja zinabaki nyingine 18?
 
Mkuu lakini mfuasi wa Magamba automatically ni mfuasi wa CUF and vise versa is true.Kwa hiyo bado niko sahihi.
Mkuu mimi ni Mtanzania, lakini JK alipochukua nchi, niliondoka TZ. Kwahiyo sio mwanachama wa Chama chochote cha siasa, lakini naipenda Tanzania na ni muhubiri wa siasa za mgombea binafsi. Kwahiyo umejaribu two times na umekosa, please don't try any more.
 
Post yako ya kwanza imekuonyesha wazi wewe ni mtu wa aina gani?
 
Hivi huyu JOHN MREMA huko CDM makao makuu kazi yake ni nini hasa? Kila siku anashinda JF kumwaga fitna tu! ZZK wa CDM si katangaza hadharani kugombea urais mbona hamsemi?

Mbona hueleweki unazungumza nini in relation to the current mada???
 
CUF ni chama cha dini ya Rais, Makamu wa Rais, Rais wa Zanzibar na Makamu wake wote wawili, IGP, Judge Mkuu, Judge Kiongozi na Mkuu wa Uhasama wa Taifa.
Nani atanyanyua mdomo wake kukikemea?
Mkuu Kabwela, mbona unakuwa hivyo? Acha kuwa una-hit point namna hii. Utasikia wenyewe wakitaka waunde tume wachunguze kama madai haya yana ukweli au ni uchochezi wa CDM! Chezea ndoa ya waifu "KAFU" na hazibandi wake "Nyinyiemu" wewe?
 
Back
Top Bottom