CUF hiyooooooooo

hili tangazo limenukuliwa wapi? mbona kama lakupikwa! limenukuliwa kwenye gari la matangazo, kwenye stendi za mabasi, makao makuu ya chama? lilivyoandikwa naona kama mtoa thread hii katudanganya
 
Inaonyesha hata JF pameanza mchecheto ,hivi ni nani asieelewa kuwa CUF hawatafuti umaarufu bungeni kwa itikadi ya kupasua mabomu ndani ya bunge wakati sio sehemu yake ? Nijuavyo dhulma zozote zifanywazo na chama tawala na serikali yake usuluhisho wake sio kuzisemea bungeni ,bunge ni sehemu ya majadiliano mwisho wa siku bajeti inapitishwa ,kwa mfumo uleule ukisema ndio au hapana ,kwani hapana isipokuwa hiyo na ndio kwa ndio hiyohiyo ,hivi ni lini mlisikia bajeti ya Waziri kukwamishwa ??

Na mkutano wa CUF WaTanzania wataweza kumjua jogoo wa vita katika nchi yao ,halafu wacheni kutumia mbinu zile za shemegi yenu CCM kusema CUF ni Chama cha udini ,wacheni tabia hio,sasa mnawaita uamsho na kweli watakuwa uamsho kwa Watanganyika waliolala na kuwemo ndani ya usingizi mzito.

Mmewaburuta WaTanzania na kuwavutia huko kwa makobe wakati mbinu na mikakati ya kisiasa hamuijui ,zaidi mmeipandisha CCM kwenye chati na kuipa kiburi . Taarifa za CUF zinasema kwa mara nyingine wanakuja na ngangari ileile ya sha sha sha ,na kukata kwa kuondoa kiburi cha CCM na vikaragosi vyake.

Si mchezo ,watawala wataamua kusuka au kunyoa ,kwani ule woga wao kuiogopa CUF ulikuwa umepoa ,zile kashkash za CUF zilikuwa hazipo kwa muda mrefu ,sasa hivi waZanzibari na WaTanganyika wanata kuachwa wapumue ,kama ni noma basi iwachwe iwe noma.
 
Duh !!!!
nini tena au sababu ya dini yake maana hawa jamaa bila kigezo cha dini chama kinakufa Rejea kauli ya JUSSA

Inawezekana Mtatiro anaandamwa kwa dini yake mkuu.Hata hivyo nasikia CUF walianza vita na Mtatiro tangu siku ile alipolaani Uamsho kuchoma makanisa.
 
Inaonyesha hata JF pameanza mchecheto ,hivi ni nani asieelewa kuwa CUF hawatafuti umaarufu bungeni kwa itikadi ya kupasua mabomu ndani ya bunge wakati sio sehemu yake ? Nijuavyo dhulma zozote zifanywazo na chama tawala na serikali yake usuluhisho wake sio kuzisemea bungeni ,bunge ni sehemu ya majadiliano mwisho wa siku bajeti inapitishwa ,kwa mfumo uleule ukisema ndio au hapana ,kwani hapana isipokuwa hiyo na ndio kwa ndio hiyohiyo ,hivi ni lini mlisikia bajeti ya Waziri kukwamishwa ??

Na mkutano wa CUF WaTanzania wataweza kumjua jogoo wa vita katika nchi yao ,halafu wacheni kutumia mbinu zile za shemegi yenu CCM kusema CUF ni Chama cha udini ,wacheni tabia hio,sasa mnawaita uamsho na kweli watakuwa uamsho kwa Watanganyika waliolala na kuwemo ndani ya usingizi mzito.

Mmewaburuta WaTanzania na kuwavutia huko kwa makobe wakati mbinu na mikakati ya kisiasa hamuijui ,zaidi mmeipandisha CCM kwenye chati na kuipa kiburi . Taarifa za CUF zinasema kwa mara nyingine wanakuja na ngangari ileile ya sha sha sha ,na kukata kwa kuondoa kiburi cha CCM na vikaragosi vyake.

Si mchezo ,watawala wataamua kusuka au kunyoa ,kwani ule woga wao kuiogopa CUF ulikuwa umepoa ,zile kashkash za CUF zilikuwa hazipo kwa muda mrefu ,sasa hivi waZanzibari na WaTanganyika wanata kuachwa wapumue ,kama ni noma basi iwachwe iwe noma.

Msije mkaamrisha wafuasi wenu kuchoma makanisa huku bara.Chuki yenu kwa kanisa sijui ni ya nini.
 
Mchumi ,professor, msomi yote hayo tisa,kumi linganisha na kuwa mshauri mkuu wa uchumi wa raisi wa enzi zile za Mr ruksa
 
Ndg zetu CUF, ni kwa nini mnajiua wenyewe? ni kwa nini mnaijenga CDM Bila ninyi kujua? jiulizeni Chadema ugomvi wao ni kati ya ccm na wao, ninyi kila kukicha CDM...CDM, hata hawa watoto wataichukia cuf, adui yetu ni ccm, sasa muda utaamua.
 
CDM haikubaliki .hilo halina ubishi ni jambo lililo wazi ,sasa nyie kaeni mkao wa kushangaa ,CUF kwa mara ingine inaondoka kasi kwa gear ya kurusha vumbi ,si ajabu ukazimwa umeme siku hiyo na matangazo yao kukatishwa. Watajuuutah !
Njooni kwa wingi watu wakiondoka hapo wanaelekea Ikulu ,kwa mchakamchaka ,huko ndio huko kula kulala ,usiseme hukuambiwa hadi kieleweke.
 
Mbona mnakuwa mnababaika mnapoambiwa CDM inahusika na kifo cha Ulimboka ? Mi nimeingiwa na shaka pale mkuu wa CDM alipozuiwa kumwona Dak.Ulimboka ,hiki nikitendawili kikubwa sana ,tusubiri huo utandawazi wa CUF , nina wasiwasi vyombo vya dola vitauzuia mkutano wa wanangangari hao ,ambao wanajulikana dunia nzima kuwa hawana masihala wanapoamua.

Naamini kabisa kuwa siku hiyo mtaelewa CUF ni tawi au shina la CCM !!! Mana si ajabu hata matangazo yao ambayo kwa mara ya kwanza yatarushwa angani na kusikika dunia nzima ,fursa ambayo walikuwa wakiipigania kufa na kupona yakakatishwa.

Tayari jiji la Dar es salaam limeanza kutikisika na kila unaemuona ameanza kuvaa cap za CUF ,si mchezo ,eti polisi nao wameanza kujipanga ,aloo hawa CUF wanatisha.Mabendera mitaani si ya kawaida utazani ni zile enzi za Nyerere kwenda airport kumpokea mgeni kutoka China.

Viongozi wa CUF wanasema ngoma au kazi itakayokuwepo hapo si kazi ya watoto wadogo ni ya watu wazima ,hivyo wale wanaoogopa polisina kuingiwa na hofu haraka wakae pembeni na kuangalai runinga zao.
Unaongea kama mtu kapika chakula kibaya na kibichi, sasa anajaribu fanya vituko na kukila kwa bidii ili kuwavutia wengine.We lini CUF inakwa ngangari ,huku imeolewa na CCM.CCM wanajiita dume, au ungangari wenu ni wa kuvumilia mapenzi ya CCM?Sound km mashoga wanotaka itwa ngangari.

Cuf haina direction kifikra, kimaadili, na hata kimitazamo.Huku kudandia mambo ya chadema , na kumuona cdm ni mpinzani wako kuliko CCM huku kuindoa CCM ni kazi mliyokimbia ni udhaifu sana.

Sioni tofauti na wasomi wa kizanzibar ambao huwa wanajitangulizia kuwa waandishi maarufu duniani, wasomi wakubwa(sijui wa elimu ya duni ya nyota na mahusiano ya safari za majini) , wajamaa, sijui wapenda democrasia, sijui wapigania haki.Kabla hawajaanza elezea utumwa wao kwa waarabu, chuki zao kwa wayahudi, na mifumo iliyofanikiwa magharibi,chuki kwa wasio waslam etc.

Lini waislama watakuwa watu wazima na huru kiasi cha kuacha kuwa reflectors wa tamaduni duni na wenye wivu kwa nyinngine kama arabism?
 
CUF iliiga CDM kuwa na CHOPA baadaye wakavunjika kwa ubadhirifu, na hivyo kushindwa kushiriki Arumeru, sasa wanatak waingie katika mikutano live.Soon watavynjika kipande cha mwisho kabla ya kukosa pa kuvunjika.Ni bakora tuu zitachapwa kama wale wavao pensi nyanya wanavyochapana wakigombea sadaka,au vile vizeee vya Yanga vinavyopinduana pale.
 
Back
Top Bottom