CUF hiyooooooooo

Tawi la CCM nalo linaiga.Halafu Jumapili wakristo wengi watakuwa kanisani.Sasa sijui mkutano wao ni mahsusi kwa ajili ya wapagani au?

nchi nzima itakuwa alert kujua uchaguzi wa yanga umekwendaje so hawatakuwa na muda na mkutano wa wanauamsho . mbaya zaidi mkutano mnaufanya opposite na hq ya yanga africa. bora mngefanyia kule uwanja wa kibandamaiti zenji.
 
CUF nshaolewa nyie nkdw wa ntu anatakiwa akhae na mmewe tu ndani acheze nti tuu na haitakiwi avae kufuri ili mme atembeze nti kila atakapoo.
 
Nilijua tu ,CUF wataizizimisha Tanzania nzima ,hawa jamaa mwisho ,nimetonywa kuwa huenda siri ya nanihuyu Ulimboka ikasemwa na kufanunuliwa kwa uhakika ,kama ni serikali au Chadema.

mbona kama zilezile za waandishi duni kuitwa waandishi mashuhuri duniani, halafu utumbo unafuata.Mikutano kama ya uamsho ndio huwa ina hizi tabia.Sijui "siri ya kanisa na MOU", "siri ya muungano", "siri ya kifo cha Karume", "siri ya kifo cha nyerere", "siri ya uhuru", "siri ya ukristu", "siri sayansi" etc.Ila siri ya Majinn ni ya kweli ila mmeweza ificha

Kajifunze kuondoa signatures za UAMSHO, halafu ndio uje na habari.Mkiwasingizi CDM wanawamaliza kwa kuwapa jina lenu jipya "UAMSHO-CCM-B".
 
Kajifunze kuondoa signatures za UAMSHO, halafu ndio uje na habari.Mkiwasingizi CDM wanawamaliza kwa kuwapa jina lenu jipya "UAMSHO-CCM-B".

Mbona mnakuwa mnababaika mnapoambiwa CDM inahusika na kifo cha Ulimboka ? Mi nimeingiwa na shaka pale mkuu wa CDM alipozuiwa kumwona Dak.Ulimboka ,hiki nikitendawili kikubwa sana ,tusubiri huo utandawazi wa CUF , nina wasiwasi vyombo vya dola vitauzuia mkutano wa wanangangari hao ,ambao wanajulikana dunia nzima kuwa hawana masihala wanapoamua.

Naamini kabisa kuwa siku hiyo mtaelewa CUF ni tawi au shina la CCM !!! Mana si ajabu hata matangazo yao ambayo kwa mara ya kwanza yatarushwa angani na kusikika dunia nzima ,fursa ambayo walikuwa wakiipigania kufa na kupona yakakatishwa.

Tayari jiji la Dar es salaam limeanza kutikisika na kila unaemuona ameanza kuvaa cap za CUF ,si mchezo ,eti polisi nao wameanza kujipanga ,aloo hawa CUF wanatisha.Mabendera mitaani si ya kawaida utazani ni zile enzi za Nyerere kwenda airport kumpokea mgeni kutoka China.

Viongozi wa CUF wanasema ngoma au kazi itakayokuwepo hapo si kazi ya watoto wadogo ni ya watu wazima ,hivyo wale wanaoogopa polisina kuingiwa na hofu haraka wakae pembeni na kuangalai runinga zao.
 
Nilijua tu ,CUF
wataizizimisha Tanzania nzima ,hawa jamaa mwisho ,nimetonywa kuwa huenda
siri ya nanihuyu Ulimboka ikasemwa na kufanunuliwa kwa uhakika ,kama ni
serikali au Chadema.

Nadhani pia watasisitizia umuhimu wa kugomea sensa..kumuunga mkono mshauri wao mkuu sheikh Pondwa!
 
Duh !!!!
nini tena au sababu ya dini yake maana hawa jamaa bila kigezo cha dini chama kinakufa Rejea kauli ya JUSSA

alificha laptop, halafu aliwa danganya kuwa wameipoteza chadema kwa kufungua matawi 40, sasa baada ya kufanya uchunguzi wamegundua jam mmojamaa hakufanya mkutano hata mmoja na hayo matawi hayaonekani..
 
na hela ya posho kala, matawi hakuna, laptop kauza huyu mtu hatufai CDM aende tu kwenye magamba
 
Mbona mnakuwa mnababaika mnapoambiwa CDM inahusika na kifo cha Ulimboka ? Mi nimeingiwa na shaka pale mkuu wa CDM alipozuiwa kumwona Dak.Ulimboka ,hiki nikitendawili kikubwa sana ,tusubiri huo utandawazi wa CUF , nina wasiwasi vyombo vya dola vitauzuia mkutano wa wanangangari hao ,ambao wanajulikana dunia nzima kuwa hawana masihala wanapoamua.

Naamini kabisa kuwa siku hiyo mtaelewa CUF ni tawi au shina la CCM !!! Mana si ajabu hata matangazo yao ambayo kwa mara ya kwanza yatarushwa angani na kusikika dunia nzima ,fursa ambayo walikuwa wakiipigania kufa na kupona yakakatishwa.

Tayari jiji la Dar es salaam limeanza kutikisika na kila unaemuona ameanza kuvaa cap za CUF ,si mchezo ,eti polisi nao wameanza kujipanga ,aloo hawa CUF wanatisha.Mabendera mitaani si ya kawaida utazani ni zile enzi za Nyerere kwenda airport kumpokea mgeni kutoka China.

Viongozi wa CUF wanasema ngoma au kazi itakayokuwepo hapo si kazi ya watoto wadogo ni ya watu wazima ,hivyo wale wanaoogopa polisina kuingiwa na hofu haraka wakae pembeni na kuangalai runinga zao.
unaonyesha jinsi gani ulivyo mbabaishaji nani kakwambia amefariki au ndiyo dua lako????
 
Nilijua tu ,CUF wataizizimisha Tanzania nzima ,hawa jamaa mwisho ,nimetonywa kuwa huenda siri ya nanihuyu Ulimboka ikasemwa na kufanunuliwa kwa uhakika ,kama ni serikali au Chadema.

[h=6]Julius Mtatiro[/h]Wednesday

MICHEZO YA USALAMA WA TAIFA ITALIINGIZA TAIFA HILI KWENYE MACHAFUKO. NASEMA WAZIWAZI KUWA WALIOMCHUKUA DR. ULIMBOKA NYUMBANI KWAKE NI USALAMA WA TAIFA NA IGP ANAWAJUA, NA RAIS ANAJUA MCHEZO WOTE.
...............

ONYO TUNALOTAKA WATAWALA WALIJUE NI KUWA WANAHARAKATI HATUTAKUBALI CCM IFE KWA NJIA YA KUDHURU, KUTISHA NA HATA KUUA WATU. ..........................

DR ULIMBOKA NA WADAU WOTE TUSIKATE TAMAA, MAPAMBANO YA KUITENGEZA TANZANIA YA WANANCHI NA SIYO YA VIONGOZI NA WAHUNI WACHACHE NDIO UNASHIKA KASI.

TUNAFUATILIA UVUNJAJI HUU WA HAKI KWA UKARIBU SANA.

JULIUS MTATIRO,
0717 536 759.
 
UKIIKOSA HII UTAJILAUMU MILELE.....

Siku ya jumapili tarehe 15.07.2012 kuanzia saa 6.00 mchana, maelfu ya wakazi wa DAR ES SALAAM watamwagika kwa wingi uwanja wa JANGWANI, uwanja wa nyumbani wa THE CIVIC UNITED FRONT.....CUF, patakuwa na shughuli ya kufa mtu na asiyefika atakosa wa kumlaumu.

Ikitimu saa 10.00 jioni tutakuwa LIVE kwenye TELEVISHENI na REDIO mtakazojulishwa siku chache zijazo. CHAMA KUBWA itatoa elimu ya kufa mtu kwa WATANZANIA MILIONI 40 nchini kite, NCHI ITASIMAMA KWA SAA MBILI.

Mchumi nambari moja duniani na MWENYEKITI WA CHAMA CHA WANANCHI WOTE atasasambua ajenda nzito za kitaifa na mwelekeo WA nchi yetu. Wapiganaji wote wanaofanya kazi ya kuleta mabadiliko chini ya MNYAMWEZI full bright visiting proffesor LIPUMBA wakiongozwa na MACHANO HAMIS ALI, MAALIM SEIF SHARRIF HAMAD, SALUM BARUANI, MAGDALENA SAKAYA, MCHUNGAJI MWIJARUBI, HABIB MNYAA na wabunge na vipngozi WA kitaifa kibao watafanya mambo makubwa.

Kama unataka kujua kwa nini Tanzania ni masikini kila uchwao,
kama unataka kujua kwa nini NINI VINAPANDA BEI,
Kama unataka kujua kwa nini vijana hawana ajira,
kama unataka kujua kwa nini bajeti za CCM zinazidi kuongeza umasikini,
kama unataka kujua mgawanyo sahihi wa rasilimali za nchi utapaswa kuwaje,
kama unataka kujua CHAMA kitakachoiokoa Tanzania,
kama unataka kujua katiba mbadala inapaswa kuwaje na mambo mengine mengi, kazi yako ni moja tu - KUFIKA Uwanja wa nyumbani JANGWANI tarehe 15.07.2012 siku ya jumapili,
na kwa wale WA mikoani fungulia TV yako kuanzia saa 10.00 jioni na wale WA vijijini fungulia REDIO yako muda huo.

Kwa wale wa DSM ukiweza kuna kwa mguu njoo, kwa maandamano twende, kwa maguta hayaa, baiskeli karibu, ukiweza kuja kwa trekta hamna noma, ukipanda treni fresh, ukija kwa bodaboda swadakta, ukija kwa mabasi yaendayo kasi umepatia, ukija kwa fuso kama kawa......asibaki mtu nyumbani.

Kwa taarifa zaidi, maoni na ushauri wasiliana na MHE. ABDUL KAMBAYA(KIPAZA SAUTI CHERY) - MKULU WA MAMBO YA HABARI NA MA-VYOMBO YA HABARI wa chama kubwa. Namba yake ni +255719566567. Au ofisa wa maneno ya HABARI na MA-UENEZI......+255655660030.

ASIBAKI MTU NYUMBANI na ASIACHE MTU KUFUNGULIA TELEVISHENI NA REDIO SIKU HIYO.....

UKIIKOSA HII YA JANGWANI.....UTAJINYONGA KWA BUBLISH(JOJO).

Lengo ni zuri lakini jinsi ulivyoandika tangazo hili haifai kabisa, ni vyema tukiwaambia ili msiendelee kufanya makosa. Tafiti mwenyewe.
 
Huku ni kutapa tapa kwa chama cha Cuf.
CCM walipo washawishi muingie kwenye muafaka nao,waliwazidi akili!
Muafaka huo umekuwa nyundo ya kuwaponda kichwani(CCM B?).
Hebu fikiria Maalim Seif ataongea nini cha maana?
Wabunge wa CUF ndio hao tunawashuhudia wanafanya allience na serikali bungeni!!
Kwa kweli,Cuf hamna dawa itakayo wazuia msielekee kwenye kifo chenu!
 
Back
Top Bottom