Yaani muda wote huu toka mwaka jana ndo vikao muanze kufanya leo,si bure mmepata kitu kidogo,tena vikao vianze baada ya CCM kupata mgombea why? Si bure hapa
teh teh kumekucha...cuf msisahau mliitwa waliberi na chadema..tuheshimiane mkuu... Cuf ndiyo chama pekee ambacho hatujapata kashfa juu ya matumizi ya pesa pia rushwa... Wengine issue ya pesa wamevurugana sana.
yaani muda wote huu toka mwaka jana ndo vikao muanze kufanya leo,si bure mmepata kitu kidogo,tena vikao vianze baada ya ccm kupata mgombea why? Si bure hapa
nyie mbona hadi sasa hamja pata mgombea urais? Cuf ni wasaliti ? Lipumba kahongwa zile billion 30 za Yericko Nyerereyaani muda wote huu toka mwaka jana ndo vikao muanze kufanya leo,si bure mmepata kitu kidogo,tena vikao vianze baada ya ccm kupata mgombea why? Si bure hapa
naona mmemkumbuka mme wenu ccmTuheshimiane Mkuu... Cuf ndiyo chama pekee ambacho hatujapata kashfa juu ya matumizi ya pesa pia rushwa... wengine issue ya pesa wamevurugana sana.
nenda kapumzike na mumeo kagenzi huko ACT Pambaf !!!nyie mbona hadi sasa hamja pata mgombea urais? Cuf ni wasaliti ? Lipumba kahongwa zile billion 30 za Yericko Nyerere
Ndugu wanajamvi, nimehuzunishwa sana na jinsi ambavyo Cuf na viongozi wetu wamekuwa wakibezwa na kuzodolewa na wafuasi na washabiki wenzetu wa UKAWA. Kimsingi suala la sisi kuamua kukutana na kuweka maamuzi ya kichama ndio msingi imara wa kidemocrasia. Chama sio mtu mmoja kama ambavyo mnapenda tuamini. Prof lipumba hayupo juu ya sheria ya cuf. Tunaongozwa na katiba na maamuzi yetu tunaheshimu matakwa ya watu wetu.
Kwamsingi huu hakuna sababu ya wanachadema/nccr kutubeza. Kwenu wenzetu mmebahatika kwamba mkiamua kitu wafuasi wenu wanafuata tu hatakama mnawaburuza. huku kwetu hatuishi hivyo so naomba mtuheshimu.
Mnasema sisi ni wadini wabaguzi nk... kama nihivyo why mliungana na sisi hamkujua? ndio maana tunapata shaka uthabiti wa nia yenu katika muungano wetu... huenda ni kweli mnataka kupanda kupitia sisi then baadae mtugeuke...
Please tuacheni tufanye vikao vyetu kama katiba inavyotaka.
Nangu Mahwelu

Bavicha mbona mmepanic? Mbona nyie mtachagua mgombea Urais Agosti? Nyie mmezoea kuburuzwa kwa hiyo msidhani na wana CUF ni kama nyie!CUF acheni ubabaishaji...Mnarihidhisha U CCM-B wenu sasa. Kwani wakati kura zinapigwa ndani ya UKAWA akachaguliwa Dr. Slaa hamkujua mlihitaji ridhaa ya watu wenu kushiriki kupiga kura? Je, angekua amechaguliwa Prof. Lipumba bado mngekataa na kusema haturidhii Prof. apeperushe bendera ya UKAWA hadi wana CUF watoe ridhaa????
Hakuna mwana CUF atakaye post upumbavu kama huu....... Wewe siyo mwana CUF, bali unataka kutumia mwamvuli wa CUF kuivuruga UKAWA..... Wewe ni mpumbavu
Wanaochangia humu si wana UKAWA bali ni watanzania kwa ujumla wao - utakuwa umefanya kosa kubwa kuwahukumu CHADEMA na NCCR wakati huna uhakika wachangiaji wa humu ni kina nani!!...... Kwenu wenzetu mmebahatika kwamba mkiamua kitu wafuasi wenu wanafuata tu hatakama mnawaburuza.
Nangu Mahwelu
Tuheshimiane Mkuu... Cuf ndiyo chama pekee ambacho hatujapata kashfa juu ya matumizi ya pesa pia rushwa... wengine issue ya pesa wamevurugana sana.
Tuheshimiane Mkuu... Cuf ndiyo chama pekee ambacho hatujapata kashfa juu ya matumizi ya pesa pia rushwa... wengine issue ya pesa wamevurugana sana.