#COVID19 CUF: Hali ya maambukizi ya Covid-19 nchini Tanzania na hatua za kuchukua

CCM ikitoka tunaunda coalition ya vyama makini navyo vinajulikana na vingine vitaundwa ili kuripea demeji ilisababishwa na CCM ya yawamu ya tano
Vyama gani makini? Vyama vingi inaonekana vimeanzishwa kugawa kura za upinzani,sasa hivyo vyama unavyovizungumzia wewe ni vp?
 
Vyama gani makini? Vyama vingi inaonekana vimeanzishwa kugawa kura za upinzani,sasa hivyo vyama unavyovizungumzia wewe ni vp?
CHADEMA ACT Wazalendo mabingwa wa siasa za HAKI na ukweli hapana longolongo
 
Tanzania na Watanzania tuna kila sababu ya Kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutupatia Ndugu John Magufuli.

Ukiwasikiliza hawa jamaa wa Cuf Na hata wapinzani kwa Ujumla utagundua Akili zao zimeshukwa na Wazungu.

Yaani tukimbilie michanjo Ambayo Haijathibitika kwamba ni tiba Bali ni Kufanyia watu majaribio Ambayo hatujajua madhara Yake kwenye mfumo wa Afya za watu.

Pili tukimbilie Mikopo Ambayo hatakama niya riba nafuu Iwe isiwe ni lazima nchi itazilipa.

Tatu Ni Ujinga wa Viongozi hawa kudharau tiba zetu Asili za Kiafrica Ambazo ndio tiba Ambazo zimetukuza tangu henzi za mababu zetu huu ni ujinga wa kupitiliza kabisa.

Nahapa niseme kabisa badhi ya Viongozi wa Africa niwa Athirika wa Utegemezi wa kutegemea wazungu.

Sisi kama Watanzania tutasimama na Ndugu Magufuli. Watu wajifukize wapige nyungu tangawizi. Malimao. Na vitunguu swahumu na Kumtanguliza Mwenyezi Mungu ndio tiba yetu.

Hawa vibaraka wa wazungu waende wakachanjwe wao na familia zao. Sisi hatutakubali kupokea vitu tusivyovijua kwa mustakabali wa Watanzania.
 
Hizo billioni 28 wanazosema zimetumika wakati alitangaza kuwa hakuna Korona bali ni changamoto ya kupumua na watu wapige nyungu na kuomba unaweza kuzitolea maelezo? Kama nao sio ufisadi ni nini
 
Chadema ACTwazalendo mabingwa wa siasa za HAKI na ukweli hapana longolongo
ACT gani tena wakati Lissu alishasema hicho chama hakijawahi kuwa chama cha upinzani, ilikuwa hivyo hivyo kwa Cuf leo kinaonekana chama cha upinzani kesho wanaonekana wameungana na CCM kuna muda wakaambiwa wamefunga ndoa na CCM.

Wewe kubali tu kumtoa CCM madarakani hilo ni jambo moja ila nani wa kumkabidhi nchi hilo tatizo lengine.
 
Kwahiyo ni Chama cha ngumi
Sasa wewe na Lissu nani anajua zaidi? nakutajia Lissu ili ndio ukubali maana mie nikisema hutonisikiliza,sasa Lissu mwenyewe ambaye wanajuana huko anasema ACT hakijawahi kuwa chama cha upinzani
 
Sasa wewe na Lissu nani anajua zaidi? nakutajia Lissu ili ndio ukubali maana mie nikisema hutonisikiliza,sasa Lissu mwenyewe ambaye wanajuana huko anasema ACT hakijawahi kuwa chama cha upinzani
Lissu hamumuwezi chagueni mafuvu mnayoyaweza
 
Back
Top Bottom