#COVID19 CUF: Hali ya maambukizi ya Covid-19 nchini Tanzania na hatua za kuchukua

CUF nyamazeni Corona ni kaa la moto!! msije mkaamsha na mengine.... mmesahau mnadaiwa hela mliyokwapuaga Hazina kupitia ofisi ya msajili mkawa mnagawaniana pale magomeni NMB mchana mchana!!
 
Kama ingelikua ndio wewe risasi 40 Kinyesi kingegonga feni
Ndio hivyo kaona bora athamini maisha yake maana unapigania watu kiasi kunusurika na kifo ila watu wenyewe hata kunitokeza mtaani tu kudai haki zao hawataki wao wanataka wapige kelele mitandaoni tu,si ajabu mngekuwa mshamsahau sasa hivi kama angekuwa amefariki kwa lile shambulizi na kifo chake kusingekuwa na athari yeyote kwenu.
 
Sisi tuko na jemadari Lissu hata mkimuua mapambano yataendelea mpaka Demokrasia na utawala wa sheria na HAKI za binadamu utakapo talamaki
 
Sasa anachokifanya Lissu inakuwa sio mapambano inakuwa ni sawa kiherehere tu,kwa sababu hao watu anaowapigania hawapo kwenye maisha halisi wao wapo mitandaoni tu na ndio maana alipowataka hao watu kuandamana hawakuonekana.
 
Sasa huo usokwe unaofanyika huoni?
 
Kwa hiyo ni kutumia nguvu badala ya hoja?
Kutumika nguvu haina maana upinzani ni makini,mara nyingi serikali inawapa umaarufu baadhi ya vingozi wa upinzani kwa mambo ya kijinga unakuta kiongozi wa upinzani kafanya jambo halina maana yeyote basi serikali nayo inaanza kuangaika nae na kumpa umaarufu usio na kichwa wala miguu. Imefika hatua imekuwa sifa kwenda jela kwa viongozi wa upinzani hali ya kuwa kinachowapeleka hela jela hakina kichwa wala miguu.
 
Nidyo hicho CCM mnakifanya hakina maana
 
Back
Top Bottom