Kama kiongozi mkuu kanunulika wengine nao lazima waone fursa..wasichojua ni kwamba kuipokea ile pesa nono ni rahisi sana lakini kuitumikia sio rahisi kabisaNa mhimili wa CUF upo zanzibar huku bara kuna wawakilishi tu ambao baadhi wameshikwa masikio na Lipumba sasa ngoja wafutwe uanachama wakaanzishe chama chao tuone umwamba wao
Ninachoona ni cuf bara hakuna chama kinskwenda kufutwa kwenye daftari ya msajiliNa mhimili wa CUF upo zanzibar huku bara kuna wawakilishi tu ambao baadhi wameshikwa masikio na Lipumba sasa ngoja wafutwe uanachama wakaanzishe chama chao tuone umwamba wao
Hakiwezi kufutwa ila huu mgogoro wa sasa utazaa mingine mingi kwakuwa kuna mapandikizi ndani yake...ambayo yatakidhoofisha sana chama na kumshughulisha Maalim kwa sehemu kubwaNinachoona ni cuf bara hakuna chama kinskwenda kufutwa kwenye daftari ya msajili
Hakika mtu kama Sakaya nae kaingia kichwakichwa wakati kipindi kile alisema hatuwezi msubiri Lipumba mana gari imeshawakaKama kiongozi mkuu kanunulika wengine nao lazima waone fursa..wasichojua ni kwamba kuipokea ile pesa nono ni rahisi sana lakini kuitumikia sio rahisi kabisa
Hakuna cha Cuf bara hapo watu wanatolewa uanachama biashara imeisha kasome katiba ya CUF mana najua ccm mpo nyuma kama mafisi mnasubiri mkono uangukeNinachoona ni cuf bara hakuna chama kinskwenda kufutwa kwenye daftari ya msajili
Wenye shida na cuf ni chademaHakuna cha Cuf bara hapo watu wanatolewa uanachama biashara imeisha kasome katiba ya CUF mana najua ccm mpo nyuma kama mafisi mnasubiri mkono uanguke
Na ndomana Lipumba yupo Bega kwa Bega na ccm mpaka mnamtafutia mabodigadiWenye shida na cuf ni chadema