Embu tuone mabadiliko ya sera ya habari na utangazaji kwa miaka kumi tu tokea mfumo wa vyama vingi TZ uanze mwaka 1992 hadi january 2003 kwa mujibu wa takwimu (
http://www.tanzania.go.tz/pdf/Serayahabarinautangazaji.pdf).
1992 January2003
1. Magazeti ya kila siku 2mwaka 1992, na 12 mwaka 2003
2. magazeti ya wiki 5mwaka 1992, na 30 mwaka 2003
3. Redio
1 mwaka 1992 (RTD) na 30 mwaka 2003
4. TELEVISION
0(Zero) mwaka 1992, na kufikia 2003 ni zaidi ya 30(Ikiwemo TVT iliyoanzishwa mwaka 2000 ingawajeITV ILIANZISHWA 1994)
TCRA yenyewe imeanjishwa hapo juzikati 2003, mwaka 1993 tulikuwa na Tume ya utangazaji Tanzania Baada ya kubanwa na wakajikuta wameachia masafa ya MW kwa ITV na RFA kabla ya masafa hayo kumilikiwa na serikali kwa sera iliyopelekwa Bungeni. na hao wawili waliobahatika kuyapata wakabaki nayo.
Jamani basi kabla sijaendelea embu makofi kwa mzee mwinyi tafadhali... pwa!! pwa!! pwaaa!! Imagine Tokea Uhuru hadi 1994, hakuna kituo cha Television TZ, miaka mingapi vile.. embu zero nipigie mathe hapo 2004-1961=33.. miaka 33, mtu aliyezaliwa 61, hadi anaingia umri wa kusomesha hajui TV, Wenzetu kenya wao mwaka television yao ya KBC CHANEL 1, IKO hewani TOKEA MWAKA
1963. Shirika la habari la serikali Kenya (KBC) lilianzishwa mwaka
1927 kwa kurusha matangazo yake ya redio na mnamo mwaka 1963 wakaanza kurusha matangazo ya TV. (
Radio Tanzania Dar es Salaam el maarufu kama RTD ilianzishwa 1974) Hadi mwaka 1990 wakati chanel nyingi zilipojitokeza kule Kenya ikiwemo ile ya Moi ya KTN.
Baada ya uhuru wa habari sasa kumekuwa na mageuzi mengi ya kiuchumi na maendeleo. Haipingiki.. Mikoa ambayo kuna Vyombo vya habari vingi, wamengoa utawala mgando, na tena wana maendeleo.. Ila nenda Tabora, nenda Lindi, nenda Mtwara, nenda Sumbawanga (Songea sijui manake sijawahi fika).. maeneo hayo yanatisha.. ndio maana mzee Magufuli ameamua kuwawekea lami wakazi wa Rukwa "na
ndugu zetu wa rukwa waone lami kwamba ninyeusi sio nyekundu.. Magufuli for speaker"
Mimi nashauri tu, sio CHADEMA, CUF, UDP, SAU sijui nini tena... bali yeyote mwanye uwezo akamate mkongo, rusha vitu hewana. kwa sasa kuna Degital TV, ambazo ni tofauti na zile za Analoque. Hizi Digital huhitaji kuwa na mitambo mikubwa ya gharama. Unahitaji just a simple studio ambazo utatengenezea ubunifu wa ujasiriamali wako, kisha unapeleka kwa broadcasting service provider.. kwa sasa ni TBC, AGAPE TV, na nyingine ambayo bado haijaanza. hao watakuchaji kitu kidogo tu kisha wanakurushia matangazo yako kwa nembo ya TV yako as if you have all at once.
Robot embu tuicheki hii na tuhamishie jukwaa hili kwenye TV, Cheki, JF sasa mlisema inaweza kuwa na watu 134,200.. ivi kama kila mtu akichangia 10,000 tu hapo tuna 1,342,000,000.. hapo tuko mbali zaidi ya TV.
Big UP.. !! ...............................................more info get from me:
jit_100@yahoo.com___________-=.. j