Crossroads! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Crossroads!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by M'Jr, Jul 31, 2011.

 1. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #1
  Jul 31, 2011
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Jamani eeh kuna kibinti NAKIPENDA sana na kwangu kina sifa za kuwa mke bora kabisa. Sasa tabu ni kwamba
  1. Kuna wakati nlikuwa karibu sana na dada yake so anahisi nlimdate dada yake na sasa nataka kumdate yeye pia [ukweli tulikuwa marafiki tu na hatukufikia ku-date]
  2. Mama yake ananipenda sana na ananichukulia kama mwanae [mpaka wakati mwingine najiuliza kama kum date mwanae ni sawa]

  Dah msaada jamani nifanye nn coz najua hiki kibinti kinanipenda pia ila tu kinaogopa zogo na dada yake
   
 2. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #2
  Jul 31, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Yaani ume-meet vigezo vyote vya kumchukua huyo binti, madam dada yake ni rafiki yako mkubwa basi unaweza kumueleza juu ya pendo lako kwa mdogo wake ili akusaidie kumuondoa wasiwasi kwamba hamkuwa pamoja. Ila uwe na uhakika kuwa dada mtu hana kabisa wazo la kuwa na wewe, vinginevyo utaharibu kote..

  Kama mama mtu anakupenda yaani una nafasi kubwa sana ya kukubalika kwake kama mkwe kwa sababu ameonesha kuwa na imani na wewe mpaka akafikia kukupenda kama mwanaye. Good luck
   
 3. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #3
  Jul 31, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Umemaliza kila kitu,na topic imefungwa
   
 4. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #4
  Jul 31, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,250
  Trophy Points: 280
  not so fast speaker...
  ukishaongea na dadake, na ikawa shwari talk to that gal na umsisitizie kuwa hujawahi kutoka na dadake na dadake aongee nae pia.ila kuweka imani zaidi make it official kama huna kizuizi sasa (kama shule etc). ila nikutahadharishe, mahuiano ya aina hii kama ikitokea yasipo-workout, it is nastier! utahama hadi nchi kwa aibu, u wont stop looking over ur shoulder. unless u ar a good boy, dont try this at home
   
 5. pomo

  pomo JF-Expert Member

  #5
  Jul 31, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 265
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  pole sana, kama dada yake anajua ishu zako za vimwana huwezi kumpata huyo binti, ila kama upo shwari hapo umejitwalia kabint kiulaiini
   
 6. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #6
  Jul 31, 2011
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Tabu iko hapo, tumewahi kuongelea hilö na tukakubaliana dada yake akirudi tuclarify hilo, but alivyokuja akaogopa tena.
  Sasa sina uhakika na hisia za dada mtu kwangu na sijui alichowahi kusema juu wakiwa wenyewe huko
   
 7. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #7
  Jul 31, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Aisee kama dada mtu anasita inabidi usilazimishe sana mambo, hapo ni suala la wewe kukomaa zaidi na binti bila kumshirikisha dadake,, kama dada mtu anakutaka pia basi kuna uwezekano wa bifu kuibuka.. Hekima, busara, uvumilivu na ujasiri vitahitajika sana ktk hali hii, kama mu marafiki wakubwa ikiwezekana angalia uwezekano wa kutoharibu mambo na uachane na huo mpango wako kwa mdogo mtu...!
   
 8. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #8
  Jul 31, 2011
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Kuna wakati nawaza kuachana na mpangö mzima but tunaweza tucwacliane hata kwa mwezi but tunajikuta tumeanza tena
   
 9. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #9
  Jul 31, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,613
  Likes Received: 419,787
  Trophy Points: 280
  mwombe dada yake amfunulie ukweli bila ya kificho vinginevyo naona umekwama hapo...........................mitazamo ya mama haina mashiko iwe mizuri au la.................
   
 10. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #10
  Jul 31, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Sijakuelewa hapo. Unaposema mnajikuta mmeanza tena, inakuwa mnaanza kitu gani ilhali kuna ngumu amekuwekea? Au una maana kuwa hizo hisia zenu ni mutual? Je dada mtu/rafikio ulimueleza lengo lako juu ya kumuoa mdogo wake au mliongelea juu juu tu? Isije ikawa anahisi huna malengo na mdogo ake ndo maana anasita.. Je status yako kwa dada mtu iko safi? Kwa maana kuwa huna sifa chafu machoni pake?
   
 11. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #11
  Jul 31, 2011
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Mi cjaongea na dada mtu, initially nilimwambia mdogo mtu amuulize dada yake lkn she culdnt, then nikamwambia mi ntamuuliza na ye akiwepo, akakubali but nlipotaka kumuuliza akanizuia. I can say therez somethn pullin us together bt also therez somethin that doesnt want us to connect
   
 12. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #12
  Jul 31, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  sasa tatizo ni kwamba mnaogopa zogo tu ......
  au ???
   
 13. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #13
  Jul 31, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Hahah..menifurahisha mkuu..
  Simu yangu imekosa tu kitufe cha like na thank!
   
 14. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #14
  Jul 31, 2011
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Afrodenzi, kitu kama hicho
   
 15. p

  punainen-red JF-Expert Member

  #15
  Jul 31, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,735
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kutegemeana na malezi/mazingira ya dada mtu, anaweza kukuwekea kauzibe.. Lkn kuna maswali muhimu hapa: Unajua chochote juu ya maisha ya kimapenzi ya dadamtu? Amewahi kumtambulisha au kumuongelea mchumba/mpenzi wake mbele yako? Kama alikuwa wazi kwako anaweza kukusaidia. Pia kama uko serious na kabinti unaweza kumtumia mtu mzima anayekubalika kwake kumuhakikishia kuwa hujawahi kuwa ma mahusiano na dadaake. Lkn kama unataka kugonga tu.... Unalo.
   
 16. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #16
  Aug 1, 2011
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Wel moja cwezi hata kuwa na wazo la kugonga tu maana shez mo than that. Dada mtu yeah tulikuwa tunapeana umbea mwingi sana zamani
   
 17. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #17
  Aug 1, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  wewe mwenyewe mwambie rafiki yako yaani dada mtu umempenda mdogo wake na unataka kumuoa,unamsubiria yeye amwambie dada yake wa nini? Wewe uko karibu sana na dada mtu jitose mwenyewe
   
 18. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #18
  Aug 1, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  <br />
  <br />
  endelea kuchelewesha, ipo siku utaitwa shemeji.
   
 19. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #19
  Aug 1, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Una nyumba kijana?
  Kazi?
  Usafiri je?
  Tembocard mastercard?

  Kama yote ni safi andaa msimamizi wa harusi, suti nk mke ushapata, Just break the nuz!

   
 20. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #20
  Aug 1, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Dah nimependa strategy ya huyo mamamkwe mtarajiwa yaani hapo kajua kama hukuchukua mkubwa utachukua mdogo........kwa nini asikupende vijana kama weye ni adhimu sana kuwapata nyakati za leo!
   
Loading...