cross eyes

bingu wa m

Member
Aug 10, 2011
20
7
baba mwenye makengeza alipamiana na mtoto kisha akawa mkali,we mtoto hutizami unakoenda,mtoto akajibu ni wewe unakotizama huendi.
 
Dogo aliona dingi kawasha indicator(taa zinamulika) anampa saiti, dingi kasababisha ajari!!

Nimeipenda hii!
 
Back
Top Bottom