B bingu wa m Member Joined Aug 10, 2011 Posts 20 Reaction score 7 Aug 11, 2011 #1 baba mwenye makengeza alipamiana na mtoto kisha akawa mkali,we mtoto hutizami unakoenda,mtoto akajibu ni wewe unakotizama huendi.
baba mwenye makengeza alipamiana na mtoto kisha akawa mkali,we mtoto hutizami unakoenda,mtoto akajibu ni wewe unakotizama huendi.
M mihiwe Member Joined May 28, 2011 Posts 23 Reaction score 4 Aug 12, 2011 #2 Huyo dogo angekuwa waziri wa kikwete ingekuwa safi sana.
M Mbishi SR Member Joined Jul 21, 2011 Posts 47 Reaction score 4 Aug 12, 2011 #3 Dogo aliona dingi kawasha indicator(taa zinamulika) anampa saiti, dingi kasababisha ajari!! Nimeipenda hii!
Dogo aliona dingi kawasha indicator(taa zinamulika) anampa saiti, dingi kasababisha ajari!! Nimeipenda hii!
S Shery Member Joined Jun 16, 2011 Posts 45 Reaction score 3 Aug 13, 2011 #4 Duuuu! Dogo noma!kama madenge!