Sasa tuanzie wapi, na wakili msomi ndo yuko ubaoni.Tatizo mfungaji.. Vifaa havina shida kabisa
Jr[emoji769]
Inabidi kufanya consultation kwanza na wazee wa milaSasa tuanzie wapi, na wakili msomi ndo yuko ubaoni.
Em waulize wazee huko akina subi na subiani kwenye majabali ya ulozi wakupe jibu
Kwa mwenendo wa hii kesi sisi wakogea kopo wa huku temeke mwembe yanga haki yetu tutaipata kweli.
kila mtu amsikilize mtu anayemtaka
[emoji23][emoji23][emoji120][emoji120][emoji109][emoji109][emoji123]We jamaa nakukubali sana kwenye kufikiria nje ya box [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
"Wote tunaulizana ndani ya mahakama tatizo ni holder au bulb??? "Wahudhuriaji wa kesi wote vicheko, mbavu zinabana wakumshika bega hayupo.
Wote tunaulizana ndani ya mahakama tatizo ni holder au bulb???
Maana vyoote ni Tronics lakini vinatuvuruga mpaka yaliyokuwa majibu yamegeuka maswali.
ukipata majibu unitag Mzee Mshana Jr.Ngoja kidogo nitafute kamusi [emoji23]
Jr[emoji769]